EP 13.
Kila nikuwaza kwa nini koku ndo anifanyis hivi sipati majibu, D alikuwa kajiinamia tu hakunikalipia wala kuongea chochote, na nilijua leo nitapigwa nife, nikajikaza pamoja na maumivu yangu nitoloke,ila akanidaka ata kabla sijafika nje,alinitizama sana, " Manka siko sawa, naomba unioe utulivu sio huu ujinga unaofanya, sikupigi ila jua umefanya kosa kubwa sana, hapa najikaza kwa sababu tu, ya hali yako na nikwamba hukujua nini namaanisha, hujui kunisikiliza...
Nilijikuta tu nalia, alinibeba na kuniludisha kitandani, sikujua duka langu hali yake, nilimuuliza D, akanijibu nisimpigie kelele, wiki moja nikawa nimeanza kukaa vizuli, nililudi geti kali tena, D aliniuguza kwa bidii, lakini line yangu akawa amevunja, mwezi ulikata tunaishi tu sijui nini kinaendelea...
Mama angu nilikuwa nawasiliana nae, kwa kutumia simu ya D, siku moja kapiga simu anagomba, anasema kaongea na koku, nimeolewa nimemtelekeza, na mwanaume ni jambazi, akaongea maneno mengi ya uchungu, nakuomba nikimbie, D alisikia kila kitu...
Nilijua kabisa kuna baya anawaza kulitenda,nilikata simu nimuwahi kwanza kabla hajaenda kwa koku,nilimwahi na kumuomba tuyajadili kwanza, alinitizama akataka kunipush, nikapiga ukunga chap akaludi,nijatumia huo mwanya kumuelewesha,asipambane kwa kutumia hasira na nguvu...
Alinielewa japo kwa shida sana, kesho yake aliniaga anatoka ataludi baada ya siku tatu...
Kumbe alienda kwetu akaongea na mama,wakaelewana na mahali ikatolewa,akaludi kimya kimya hakuniambia chochote ila aliludi akiwa watofauti , alikuta mimi nimekonda mawazo na hali yangu....
Alinisogelea nakuniuliza,
Darian; Manka mke wangu, unatatizo gani?
Kwanza ikabidi nishangae🙄, huyu leo ameuliza mabadiliko yangu, mbona sio kawaida yake,🤔 huwa anauchuna tu, nilikosa majibu nikaamua kutoa kwanza duku duku langu...
Kwa nini ndugu yako, ndo katufanyia ubaya mkubwa hivi?
Darian; kwasababu hatuna undugu wa damu, na ndoto yake ni mimi kumuoa yeye...
Kupata full bonyeza hii link hapo juu ukasome yote hadi mwisho...
Itaendelea...💥
NIMEMUONJESHA ASALI MAFIA BOSS
EP 14.
🙄 Kwa hio nyie sio ndugu? " Ndio ila mimi niliokotwa na baba ake akanilea, hivyo tukawa ndugu kwa njia hio...
Na mmh wewe unafanya kazi gani? Alinielezea, na hatali zake pia, na kwa nini ananificha, nikajua mamaa, niko kwenye tatizo kubwa...
Niliona niulizie na duka langu, akasema kaliuza lote pesa iko kwenye acount wiki ijayo tutaenda kwetu nikaage muda huo anaanda passport zangu, aniondoe kwanza, nikakae nje ya nchi,kwa sababu maadui zake washatambua uwepo wangu, kupitia koku...
Nilishangaa yani koku huyu , alivyokuwa akinipenda, akinijali leo hii ndie ananifanyia haya🤔,nilichoka nakuapa sitaki tena marafiki...
Nilikuwa bando namuogopa sana D, tulienda nyumbani njia nzima nilikuwa na hofu, nikikumbuka mama alivyosema sikuile, sikujua kama D kashalekebisha kila kitu...
Upande wa koku, alikuwa na chuki kubwa sana aliungana na tom, wakaanza kutengeneza mbinu za kuninasa, koku alitamani hata niuliwe kabisa, na kwetu tuko wawili tu mimi na mdogo wangu baraka, koku aliwapa ramani ya nyumbanj kwetu yote...
Lakini huku sisi pia tulikuwa njiana tunahama familia nzima mama atabaki kwenye nyumba tuliyokuwa tunaishi, mimi na baraka tutaenda nje,tukiw njiani D aliomba tubadilishe gari, kweli tulibadilisha gari, tulivyofika, tukaweka taarifa ya habari tukakutana na taarifa ya habari ile gali tuliotoka nayo moshi, tukaachana nayo nakubadilisha imeshambuliwa vibaya mno na watu wasiojulikana, na dereva kakutwa kafariki kwa risasi zaidi ya 5...
Wote tylitazamani, D akasema tayali koku kashatoa siri zote sasa hivi hata pale ulipopanga watakuwa wameweka doria, sasa nahitaji kuweka sawa hili wakati mkiwa nje ikiwezekana wote mwende ili mimj nisafishe kwanza hali ya hapa ndio mlejee...
Kila mtu aliunga mkono, ila mimi nilisita, nikaomba tugushi tu rist za kuwa tumeshaondoka tz, ila tubaki hapahapa, kwa sababu baraka kashamaliza shule chuo kwa sasa atasomea online, D kubaki uku peke yako unapambana mwenyewe, sio sawa, najua unauzoefu na vita lakinj bado wewe peke yako huwezi, tushilikiane hata kwa mawazo, D ni mwepesi wa hasila bila kuzibiti hasila zake lazima itakugharimu...
Itaendelea...💥
Full 1000
Whatsp 0784468229.