♥️ACHANA NAO DARL ♥️
♥️Maisha ni safari isiyo na likizo. Ni safari yenye misukosuko na mawimbi tele. "Achana NAO darl"
♥️Kuyakabiri na kuyamiliki maisha yataka moyo dear. Japo mwanzo mugumu lakini hakuna mkate mugumu mbele ya chai.♥️ "Achana nao mpenzi".
🍅Achana nao hani maana si wema kwako. Wana magari, majumba, elimu, 🌹sura, pesa, majina lakini hawana utu, 🌹amani, upendo, 🌹furaha, huruma na hata mapenzi ya dhati kwa wenzio wao! .♥️ "Achana nao dear"
🌹Weka akilini niyasemayo maana yatakuwa darasa kwa siku za usoni kwako. Siko hapa kukufunga kimawazo Bali kukuweka huru kifkra, nakupenda sana!.💋
" Achana nao mpenzi."
By Franco Kissanga,
the really voice 💋.