Ameandika Master Jay βπ»βπ»βπ»βπ»βπ» . Aya, hizi production zote alifanya nani? Wengine walishatangulia mbele ya haki, lakini wengi bado wapo kwahiyo tunaweza kuwauliza; Sugu (Album 5), Lady Jay Dee, Ngwea (RIP), Fid Q, Joh Makini, East Coast Team, Wagosi Wa
9th Sep, 2025 Views 22
n.k
.
Na bado kuna production hizi hapa kwa kushirikiana na legendary sound engineer Marlon Linje: Twanga Pepeta, FM Akademia, DDC Mlimani Park, Msondo Ngoma Music Band, TOT bendi, TOT taarab, TOT choir, Akudo sound, Diamond Sound Band, Chuchu Band, Hamza Kalala Band, Kwaya Ya Uinjilisti Kijitonyama Lutheran Church - Hakuna Mungi Kama Wewe, Marehemu Nasma Khamisi (Sanamu La Michelini/Mtu Mzima Hovyo) n.k ππ€·πΎββοΈ
.
Na Wimbo wa Lady Jay dee - Umuhimu wako Ft @sir_nature niliufanya mimi na wewe mwenyewe ulikuepo, DAH!! π€£.
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
Ameandika Master Jay βπ»βπ»βπ»βπ»βπ» . Aya, hizi production zote alifanya nani? Wengine walishatangulia mbele ya haki, lakini wengi bado wapo kwahiyo tunaweza kuwauliza; Sugu (Album 5), Lady Jay Dee, Ngwea (RIP), Fid Q, Joh Makini, East Coast Team, Wagosi Wa   >>> https://gonga94.com/semajambo/ameandika-master-jay-aya-hizi-production-zote-alifanya-nani-wengine-walishatangulia-mbele-ya-haki-la
Maoni
Click here to login and comments