Simulizi... ANIPHA ππ
Sehemu ya 10.
Nilikaa chumbani muda mrefu hadi Mainda akaja kugonga mlango.
"Hello, Anipha fungua mlango basi mbona umekaa uku mwenyewe jamani"
"Mainda kwa nini mimi jamani eeeh kwa nini lakini ππ"
"nini wewe mbona sikuelew kwani una shida gani jamani kipenzi, nambie basi mama eeeh"
"kwani mimi Kosa langu mimi ni kumpenda si Ndio Mainda, niambie basi kama nimefanya makosa ππ"
"embu nieleweshe basi , kipenzi yani sikuelewe hata kidogo"
"Mainda, huyo Allen mdogo wako ndio yule yule Allen niliekusimulia Mainda ni yeye kabisa, lakini hajataka hata kuniangalia usoni kwel jamani ππ"
"basi mamy, nyamaza achana nae sasa, kuwa na Maisha yako kipenzi sawa"
"Siwezi Mainda nampenda sana Allen, naanzaje sasa kumsahau na kuanza upya maisha yangu mimi jamani"
"sasa sikia anipha, ukilia utampa kiburi Allen sawa, we kuwa busy na Maisha yako na ujifanye Huna muda nae kabisa sawa, kama bado anakupenda basi atarudi sawa kipenzi"
"daaaah sawa dear sina namna anipha mimi jamani"
"pole sana kipenzi, pia msamehe sana mama yetu Ndio alivyo sawa"
"nilisha msamehe zamani sana kipenzi usiwe na wasi wasi sawa"
"sawa dear, vaa vizuri twende sebleni na uwe busy sawa"
"Sawa, shoga yangu Ndio maan nakupenda sana π«"
"aya fanya haraka sasa nakusubili hapa hapa twende wote"
Nikafungua kabati langu la nguo na kuchagua nguo yangu ile nzuri kabisa nilionunuliwa na Brown nikavaa Baada ya hapo tukaelekea sebleni mimi na Mainda yani hapo mimi nimejikaza Sana maana ingekuwa enzi zangu zile weee mbona Tanasha angekuwa anatema tu damu muda huu ππ.
Bwana wee ile nimefika tu sebleni macho yangu na Allen yakagongana, Allen alinishangaa mpka ikabidi mimi sasa ndio nijifanye niko busy maan utadhani alikuwa anataka
kunitoboa maana sio kwa jicho hilo jamani hapo mimi nasema na bado Allen utaniangalia sana shenzi weweπππ.
Tukakaa sasa mezani kwa ajili ya chakula muda huo mimi niko busy na simu na chati na Brown ilimradi nimchanganye tu Allen, nikamwambia Brown aje kunichukua nyumbani maana sijiski vizuri kabisa. Na hivi Brown ni mtu wa sifa sana dakika tu nikasikia oni getini πππ. Nikanyanyuka na kwenda kufungua geti nikaingia na Brown hadi ndani.
"hey B, nisubri hapo nikachukue hand bag yangu tuondoke"
"sawa mama hamna neno ngoja mimi nisalimiane na wageni kwanza hapa"
"poah"
Niingia chumbani kuchukua kimkoba changu ili niondoke na Brown, nikamuacha brown anasalimiana na Allen na Tanasha Baada ya hapo nikamiga Mainda kisha tukaondoka zetu.
Itaendelea......
Full 1000
Whatsp 0784468229.