Story hii bado inatengenezwa haiuzwi ,
Naitwa Bensoni ila wengi wananiita Ben hiyo ni kwa ajili ya kukatisha jina langu ,
Naishi na baba yangu tu na hiyo ni kutokana na baba yangu kuachana na mama yangu ,Kisha mama yangu akachukua wadogo zangu na kuondoka nao Mimi nikabaki na baba ,japo nilitamani Sana niende na mama ila ilishindikana ,
Nilimaliza form 4 nikashindwa kuendelea na shule kutoka na kufeli , tuliishi na baba huku tukipika na kula wenyewe Kama mabachela huku baba akiniambia kuwa anatarajia kuoa ,nilifurahia nikijua kuwa huyo mama atakaeolewa na baba atatusaidia kupika na mambo mengine mengi kazi zanyumban sitazifanya tena ,
Kweli bana hayawi hayawi mambo yakawa ,baba akaoa , tena ndoa kabisa , Sasa kilichonishangaza ni yule mwanamke alieoa , yaani mi nikajua labda ataoa mama mtu mzima ili awe sawa na yeye lakini akaoa kitoto kidogo yaani makamo yangu kabisa ,
Mimi ninamiaka 18 na huyu msichana alikuwa na Miaka 18 hivi yaani hatujatofautiana kitu , na baba alikuwa na Miaka 56 umeona hapo utofauti ulivyomkubwa , nanahisi huyu msichana ameolewa kwa niaba ya wazazi wake maana Kama niyeye mwenyewe sizani Kama angekubali ,
Maisha ya ndoa yalianza baina ya baba na yule msichana ambae mi namwita ma mdogo ,
Ilipita mwezi mmoja tu nikatamani kuhama haapa nyumbani , na ili kuilinda heshima ya baba nilitaka kuhama ,
Siku moja asubuhi baba alienda zake kazini , hapa nyumbani tukabaki Mimi na huyu msichana ambae ndio mama yangu mdogo , kwa mwezi tuliokaa tulizoeana na huyu ma mdogo , japo sio kivile maana nilikuwa namuheshimu Sana Kama mama yangu mdogo ,
Mala nyingi Kama hatuna kazi tunachezaga karata ili kupoteza muda na kumpa uchangamfu ma mdogo ,
Sasa siku hiyo tulikuwa tunacheza karata ya makonzi , yaani ule mchezo wa kupigana makonzi ,
Sasa mala ya kwanza alinipiga makonzi kwa kuwa Mimi nilikosea , ila mala ya pili yeye ndo alikosea nikamwambia alete mkono nimpige akakataa , ilikuwa Kama utani tu ,
" Lete mkono ,,"
Nilimwambia akasema sitaki aliongea huku anacheka ,
Nikamvuta kwa nguvu ule mkono wake akaniponyoka na kukimbilia chumbani kwangu ,
" Heee nikashangaa huyu vipi tena chumbani kwangu ,
Nikafungua mlango nikamkuta amejificha nyuma ya mlango ,
"Njoo mwenyewe na ulete mkono nikupige makonzi ,"
Niliongea huku nikicheka ,nayeye akaanza kucheka huku akisema sitaki ,ilikuwa Kama tunacheza tu , nikamfuata pale nyuma ya mlango nikamshika mkono Nia yangu tutoke mule chumbani maana kuwa tu kule ndani kwangu ni msala , nilipomshika mkono akagoma kutoka , hee nikashangaa nikataka nimvute ila yeye aliniwahi akanivuta pale nyuma ya mlango nikajikuta nimemuegemea ,nikastuka huku namuomba samahani maana nilihis anaweza kuchukia ,lakini hakuchukia ,ndio kwanza akanipiga kibao Cha shavu akakimbia huku anacheka , Sasa badala akimbilie nje akakimbilia kitandani , nikamfuata huku namuuliza umenipigia nini ,?
Yeye akawa anacheka tu ,
" Unataka kunipiga , nipige Sasa nipige si nikohapa ,"
Aliongea huku akisimama akapitisha mikono yake kwenye shingo yangu ikakutana kwanyuma Kisha akaja karibu yangu kabisa kiasi Cha pia yake kugusana na yangu ,
" Nipige Sasa "
Bado aliongea lakini safari hii saut yake ilibadilika na kuwa ndogo , akabinua matiti yake yakagusa kifua changu ,
"Mmh ,,!
Niliguna ,
Itaendelea.