.Jasho lilimtiririka usoni.
Kelvin alibaki amesimama pale mlangoni, akitazama mwili wa Nasra ulio wazi bila hifadhi. Ngozi yake iling’aa kwa mwanga hafifu wa bulb ndogo ya chumbani, na pumzi zake tulivu zilikuwa zikicheza taratibu kifuani.
“Mungu wangu…” Kelvin alinong’ona bila hiari, akijisikia damu ikipanda kwa kasi isiyo ya kawaida. Miguu yake ilihisi kama imezama sakafuni, moyo ukipiga mbio za ajabu.
Alijua hakupaswa kusimama pale, hakupaswa hata kufungua mlango bila ruhusa lakini macho yake hayakutaka kuondoka.
Kila kitu kilikuwa kimya… isipokuwa mapigo ya moyo wake.
Nasra, kana kwamba aliweza kuhisi mtu chumbani, aligeuka taratibu kitandani. Shuka liliteleza taratibu, na sasa sehemu kubwa zaidi ya mwili wake ilionekana. Kelvin alijikuta akipumua kwa shida, akihisi moto wa ajabu ukimchoma ndani.
“Kelvin?” sauti dhaifu ya Nasra ilisikika, ikikatisha ukimya ule.
Alishtuka kama mtu aliyekutwa akifanya kosa kubwa. “Samahani… nilikuwa nakuita… nilidhani…” alijikokota kwa maneno huku akigeuka haraka na kufunga mlango nyuma yake.
Lakini kile alichokiona hakikuondoka akilini. Picha ya mwili wa Nasra ilibaki kichwani mwake usiku mzima. Hata nilipolala kifuani pake baadaye, nilihisi mikono yake ikiwa baridi ajabu, akili yake ikiwa mbali.
Kuanzia siku hiyo, Kelvin alianza kubadilika zaidi. Alikuwa mnyonge mbele yangu, lakini macho yake hayakuficha tamaa mpya iliyokuwa ikimchoma. Nasra, kwa upande wake, alianza pia kubadilika hakupoteza heshima, lakini sasa alionekana kuwa na ujasiri zaidi karibu na mume wangu.
Anapopita sebuleni akiwa amevaa dera nyepesi, Kelvin aligeuza shingo bila hata kufikiri. Nikisema nimtumie dukani, mara nyingi Kelvin alijitolea kumpeleka, akisema,
“Si mbaya kumpeleka, ni usiku sasa. Dunia si salama, mke wangu.”
Sikujua kilichokuwa kikiendelea, nilikuwa kipofu Nayetembea nikiwa sijuwi wapi na kwenda na nini nakwenda kukifanya . Kadri siku zilivyozidi kwenda ukaribu wao ulizidi mara dufu mpaka sasa nikaanza kuutilia mashaka nilipomuuliza mume wangu alibaki kimya nilipomuuliza Nasra naye alibaki kimya.
Siku moja nikiwa jikoni, nilisikia sauti zao wawili wakiunguruma kwa vicheko sebuleni. Nilipojitokeza ghafla, walikaa kimya ghafla kana kwamba hakuna kilichokuwa kinaendelea. Kelvin alijifanya anatazama taarifa ya habari, huku Nasra akijishughulisha na simu yake.
basi muda ulienda na tuliingia kulala na mume wangu siku hiyo nilikuwa na kichupa cha hatari nahitaji kuchimbwa haswa maana kuna kitu hakiko sawa kwenye kitumbua changu na dawa ni sindano ya mume wangu. Tulianza kama kawaida na kama ilivyodeaturi yetu .
Gusa hapa mara pale mara kule ooooooo9oooooooooosh aaaaaaaaaaaaaaah jamani mume wangu sindano initibu tu nishajiandaaa vya kutosha basi tuliendelea na lile zoezi ambalo watoto hawatakiwi kulijua wala kulisikia . Nilikuwa kama wale wacheza pilau kushoto si kulia kukalia si kusimamia mpira unapigwa pasi kwenda mbele kusaka ushindi
Tukiwa kwenye safari nzito mara nikasikia akisema " Nasra taratibu" nilishtuka na kusema " mbona una mtaja mfanyakazi ?😭😭😭😭😭😭😭😭.
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni
Click here to login and comments