Ingia

Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track

BILIONEA NDANI YA HOTEL 38,89

21st Aug, 2025 Views 178



“yeah alinambia ndio ,, huyo mwanaume anajua kila kitu na kamkubali hivyo hivyoo”

“vero ,sitaki huyo mtoto azaliwe veroo hivi unajua namaanisha”

“weweee andaa hiyo helaa, ntumie kesho tu utasikia habar nimemuajia juice ndani nimeweka dawa ya kuamsha uchungu kwa vile anainywa bila mpangilio na ni dawa ya asili huwa inatoa mimba mtoto atatoka kafa moja kwa mojaa…”

“sitaki hata amshuhudie huyo mtoto “

“ usijali mimi nina msubiri ,, nimeshaomba hii zamu wiki yote niwe mie akifika tu kwenye upasuaji chap misha mpanga na doctor”

Ooophss masha alishusha pumzii ,,, “ yaan Vicky kaolewa halafu mimii et nisiolewe heheh unanijua unanisikia mimi wewee hee hii ndo Tanzania broo!”

Masha alishindwa kuzuia wivu wake na chuki kwa mtu ambae hata hajui kama kuna mtu anamchukia ama anapambana kumpoteza yeye kwake mladi ale alale aamke basii hajui hata kama kuna vita anapigana karibu kila sec …..

ITAENDELEA……………………………

Ep 39

TULIPOISHIA........

usijali mimi nina msubiri ,, nimeshaomba hii zamu wiki yote niwe mie akifika tu kwenye upasuaji chap misha mpanga na doctor”

Ooophss masha alishusha pumzii ,,, “ yaan Vicky kaolewa halafu mimii et nisiolewe heheh unanijua unanisikia mimi wewee hee hii ndo Tanzania broo!”
Masha alishindwa kuzuia wivu wake na chuki kwa mtu ambae hata hajui kama kuna mtu anamchukia ama anapambana kumpoteza yeye kwake mladi ale alale aamke basii hajui hata kama kuna vita anapigana karibu kila sec …..

INAENDELEA.......

Albeto akarudi ndani ya gari , mwili wote umechoka akili imechoka “imekuwaje huko??”

Rahul kamuuliza wakati anaingia ndani ya gari
“ daah imekuwa ngumu bado anadai anataka ndoa ndo kitu pekee cha kumnyamzisha “

“halafu ,,

“halafu niiini”

“utakaa kusubiri mpaka azidi kuchafua zaidi? Muoe bro”
“Rahul ,, hujawahi bado kupenda aisee “

“kwanza umenikumbusha ,, inabidi ukaonane na mwanasheria pamoja na mshauri mkuu ,, mimi nakwenda kumtafuta Vicky ,,, nimkumbuka sana yule mtoto “

“watataka nimuoe”

“kwa maslah ya kampuni sio yako ,, hakuna njia ingine tumuue au umuoe full stop ,, endesha gari nitachukua tax kuelekea kwao masha “

Rahul akashuka kwenye gari akaenda kuchukua usafiri wa Kwenda kwao na masha kule kwa mama yake ,, alberto aliinamia gari peke yake zaidi ya nusu saa akifikilia Maisha yake na hili balaaa..

Akachukua simu yake akawa anapitia picha za abby ,, nyingii alikuwa kazihifadhi kwenye simu yakee ..

Safar ya Rahul moja kwa moja mpaka mtaani kwa kina masha , japo ni siku nyingi hajafika nyumba hakuwa ameisahau alibisha hodi lengo ni Kwenda kuongea na mama yake na masha, kuhusu Vicky kwa kina kabisa ,,

alikaribishwa na watu wengine tofuti na aliekuwa anamtarajia
Akaulizia kuhusu mama yake na masha akaambiwa hiyo nyumba iishauzwa kwahiyo wao ni wageni hapo
Akashangaa kidogo ,, lakini akavunga , alitoka taratibu hajui tena pa kuanzia ,, nyumba ya tatu Aliona duka ,, moyoni kasema lazima huyu atakuwa mwenyeji hapa ngoja nikaongee nae ,, alikatisha taratibuu ,,, kwakua Rahul ni mzungu pale kabisa yeye hajachanganya kama alberto ,,

Mwenye duka alimtetemekea sanaa ,, Rahul akatoa noti ya elfu kumi akaomba soda ,, mwenye duka akatasam maana alijua hapa kutakuwa na lugha gongano , kitendo cha Rahul kuongea Kiswahili kilichonyooka kushinda hata yeyee mzaliwa ilibidi tu ajicheke ujinga …

“kwenye hii nyumba kuna mdada alikuwa anaitwa Vicky hivi yupo wapi?”
akaanzishastory huku anakunywa peps yake taratibu , hapo alishamwambia muuzaj hiyo chenj kunywa soda na wewee
Sasa muuzaji ndio alianza kuongea kama amelipwa mshahara wa mwaka mzima hata mengine hakuwa ameulizwa

“yule bint bwana alihifadhiwa tu hapo na rafiki yake ,, sasa masha baada ya kupata Maisha kamfukuza mwenzie et masha alikuwa anamtesa sana yule bint,, huyo Vicky alikuwa anafanya vibarua kila siku pesa anachukua masha kisa tu et anaishi kwao ,,, yaan masha bwana hawezi hata kufua nguo zake hawezi kazi yeyote umalaya umemlipa siku hiizi sijuikapata bwana gani kamuokota alishazoea kuwa na wanaume wavuta bangi hawaeleweki et mungu nae kamuona sasa hivi daah “

“ embu umesema alikuwa na wanaume??? ,,, mbona masha alikuwa hatahajaanza wanaume ,, nilisikia huyo alie nae sasa hivi ndio mwanaume wake wa kwanza”

“Ahhhhh hahahaha aah hahahaha hahaha hhaha ,,, yaaan mashaa huyo masha gawa gawa huyoo ukiwa na elfu kumi unamla nishaipiga sana hiyoo hahaha et wa kwanzaa ,, ndo mana mshua kahonga nyumba hahaha daah nimecheka sana aisee mshua umenichekesha “

Rahul nae alikuwa anacheka tu kusindikiza lakini moyo wake ulianza Kwenda mbioo yaan hata Habari za Vicky akajikuta anasahau hamu ya kutaka kusikia habar za masha ikazidii
“khaa!!! Yaan mimi nilipata hizo taarifa et masha alikuwa bikra ,, kwahiyo wewe ulishuhudia sio bikra au ulihadithiwa tu nawewee”
Muuza duka akaona hapa leo kapata mzungu mswahili kweli kweli mana hadi kajitengeneza ili kupata ubuyu

“mzee mimi nihadithiwe na nanii?? Pale mimi nimepitaa tena nimeanza kuipiga ile demu yupo form one miaka hiyo akijui hat kuoga ,, halafu mimi mwenye nilizamaa sio kwamba et nilikuta hata kimebana banaa hahaha mshua eeh demu nimekuta pako waaah afu form one ,, yaan huyo kaanza kupigwa shule ya msingii,, afu unasema et bikraa aah ‘.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

BILIONEA NDANI YA HOTEL 38,89  >>> https://gonga94.com/semajambo/bilionea-ndani-ya-hotel-38-89

#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Maoni

You're not logged in
Click here to login and comments
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
profile
majario 21 Aug 2025 20:47
Hongera! Umefanikiwa kupata vocha: 14849260372478 AirtelTz
gonga94 official track
ZETU
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest