Ingia

Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  never give up harmonize

BILIONEA NDANI YA HOTEL EP 43/44

23rd Aug, 2025 Views 143


Recho alikuw amekaa sebleni anatazam tv huku anakunywa juice aliyo pewa na yule nes wa vicky , Vicky akamuuliza ni tamuu??” ilikuwa juice ya matunda recho akajibu achaa alie itengeneza alikuwa fundi kweli kwelii yaan “
‘ ‘ juice za matunda hata huwa sizielewi ngoja ninywe na mmi’’

Vicky akachukua aliiweka ndani ya friji …
Hazikupia hata sec 30 kwa zile funda tatu alizo kunywa zilitosha kurudisha haraka majibu ya nes alicho kikusudia ,, tumbo lilianza kumuuma kama linavurug ,, akamwambia recho nahisi tumbo kuuma recho akamwambia twende hosptali Vicky akasema mmh kwani hu undo uchunguu? Sii huwa wanasema kiuno ndio kinauma?”

“hapa wote hatujui Vicky,, twende tu hospital mwenzangu”
Recho kitendo cha kuinuka kuigia tu chumbani akachuue simu ake na baadhi ya vitu ,, alisikia kelele nyingi huko alipo muacha Vicky ikabdi kurudi mbio mbio ,, akamkuta Vicky amelala chini analia sanaaa kilicho mshtua damu zilikuwa zinatoka nyingi sanaaaa

Akamuita dereva ambae alikabidhiwa hapo anaishi nyumba ya nyuma akamuita haraka , wakasaidizana kumpeleka hospital ,,, recho alikuwa ashapewa maelezo pa kumpeleka Vicky akipata shida ,, bahati nzuri haikuwa ile hospital ambayo masha alikuwa anadhan Vicky ataenda huko …

Recho haraka alichukua simu yake kumpigia shem qassano ndivyo alikuwa kamsave ,, simu iliita mara ya kwanza ikakata bila kupokelewa akapiga tenaa………..
Alberto alikuwa bado ndani ya kikao na wanahisa wote ,, kikao kilichukua muda mefu sana kuisha ,, simu ya recho ilikuwa inaita anaitazama ikaite mara ingine uvumilivu ukamshinda sio rahisi recho ampigie simu et kumsalimia tu lazimaa kutakuwa na jambo

ITAENDELEA.....

44

Akaomba ruhusa anahitaji kutumia maliwatoni ,, alimpigia recho simu ata haikuita sana akapokea “ Abby yupo salama ??”

“shem tupo njiani tunaelekea hospital tumbo linamuuma sana anavuja damu nyingi hata sielewi “

“muda wake bado ,,, imekuwaje sasa amefanya ninii? Kaanguka”

“ hapamna shemu ni gafla tuu yaan “

“ okay im on my way “

Aliikata simu haraka kichwani anahisi kuvurugwa akarudi kwa washiriki wake .. akawaambia kuna dharula kikao kimeahirishwa atawaita wakati mwngine

Kha! Mwanaume mmoja akasimama ni mtu mzima wa umri mbali kabisa na alberto akamuuliza ni wewe ndie ulie tuita ama sisi ndio tumekuita hapaa ??’

Alberto akaomba samahani huku akijitetea sana kwao mwanaume mwingie akasema kama Mr alberto utaondoka hapa bila muafaka wa hiki kikao nitajitoa katika kampuni yako nitaondoa hisa zangu zotee”

Huyu alikuwa ni mwanahisa mkubwa sana wa AQ GROUP bada ya yeye kutoa tamko wote walimuunga mkono kuwa watajitoa .. alijikuta anakaa chini jasho likazidi kumtoka

Rahul baada ya pombe kumkaaa kichwan halmashuri yake ya kichwa ndio ikafikia maamui ya kumpigia boss wake amwambie habar hii nzito ambayo hata yeye alishindwa kuibeba ,, akato simu yake akaona kuna simu ambazo boss wake alimtafuta na hakupokea ,, akampigia ,, muda huo alberto amebananishwa hajui afanye ninii simu yake ikaanza kuita mpigaji
Rahul alijikuta anasema asante mungu aliipokea haraka bila hata kujua Rahul kapiga anashida gani na hakutaka kabisa kulijua hilo

Muendelezooo saa 4:00 usiku
Saa nne kamili usiku.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

BILIONEA NDANI YA HOTEL EP 43/44  >>> https://gonga94.com/semajambo/bilionea-ndani-ya-hotel-ep-43-44

#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Maoni

You're not logged in
Click here to login and comments
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
never give up harmonize
ZETU
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest