TULIPOISHIA ...
Masha akapata na pakupitishia jambo lake humo humoo ,, Rahul alibaki kimyaa anafatilia mazungumzo ya masha kwenye akili yake mambo yalikuwa yanagongana et Vicky amtelekeze mtot wake na aende pasipo julikanaa??? Kwanni?
Amemuona Vicky mda mchache lakini akili yake ilikataa alichosema mashaa ,, akasema masha Vicky ninae mjua nina uhakika hawezi kuelekeza mtoto hata awe anapitia kipindi kigumu kiasi ganiiโฆโฆ.
ENDELEA...
Masha hasira zilimshinda kudhizibitii alijikuta anaongea kwa kufoka tena kamtolea jicho la chuki Rahul
โ kwahiyo wewee unamjua sana huyo Vicky kuliko mimii ett,, unamjua sanaaa ,, afu nakuonaa unapenda sanaa kunifatilia embu usiwe unakuja hpa kwangu achana na familia yang wewee sawaaa ,,, kuwa karibu na mwanaume wangu sio ndio unizoee hivyooo mfyuuuuโฆ..โ
Masha akainuka kwa hasira akaingia ndanii ,, wote wakabaki mdomo wazi,, Rahul akauliza kwani kuna kitu nimeongea kibayaa?? ,,
Mama masha akamuwahi akasema usijali kuna kitu kinamfanya asiwe sawa leo .. mama yake akainuka kumfata nyuma Masha ,, Alberto akamwambia Rahul tuondoke siku ishaharibika hapa ,, wakatoka bila hata kumuaga mtu
โkwanii we masha una shida gani na Vicky mbona unamchukia sanaanโโ
โmama sitaki niache sitakiii ,,tusiongee Habari za huyo mtu hapaa ,, embu rudi kakae na wageni waambie nakuja โ
โwewe una kila kitu ,, Vicky hana chochote kwaninii unamchuโฆ.โ
โmamaaaaa aah eh nimechoka bwana embu niachee niache sitakiii aah ,,embu nenda huko kwanzaa โ
Mama akainuka bila kusema neno lingine , kafika chini kakuta mezani kuna mtoto tu wengine hawapo akatoka nje haraka anakuta ndo gari inamalizia kutoka getin .,,akajitahidi kukimbiaili akaongee nao awaulize mbona wanaondoka ,, mpaka anafika getin gari ishaondoka mudaa โฆ..
โ mwanamke wako hana akili vizuri huyu sa kwanini anamchukia Vicky?? โโ Rahul aliumia sana na swala la masha yaan ile picha aliyoifanya pale ilimkera sana
โachana nae,, embu jaribu kufatilia huyo Vicky ,, unajua nimejikuta natamani sana kujua story yake sasaa โ
โnitaanzia wapii sina mtu mwingine ninaemjua anamjua Vicky โ
โaaah Rahuuu ,, embu nenda mtaani kwao Iโm sure kuna watu wanataarifa zakeeโ
Hapo ndo umesema next week nitakuwa huko ,,,, safari ya wapii??โโ
โnipeleke nikapumzike tu โ
Rahul akamucha Boss wake Hotel aliyokuwa amepanga ,,,,, yeye akaendelea na kazi zake ....
Mr Alberto akachukua simu yake akawa anaitazama namba ya Vicky ... Abby kama anvyomju yeye .. akajifikiria amuandikie nini kammiss sanaa lakini anaogopa kumtafuta mara kwa mara ,, kila akiandika anafuta akiandika anafutaa โฆ.
Akakosa neno la kuandika akaweka simu pembeni ili afikiriie aandike ninii,, usingizi nao ukampitia bila taarifaa
Masha baada ya kupewa taarifa kua wageni wake wameondoka bila kuagaa,, alishuka ngazi kwa hasira manusura aangukee
โmam unanitafuta nini kwanguu??โ akamuuliza mama yake kwa hasiraa ,, mma yake akabaki anamtazama hajaelewa swali lenyewe
โmamaaa nakuuliza unataka nini kwanguuu ,, hamlii hukoo?? Mbona unapenda kuniharibia furaha yangu mama ,,wewe ndio sababu ungeondoka mapema yote yasinge tokeaa โ
โMashaaa!!nitakuwa mzazi mpuuzi sana kama nisipo kuwa nafurahi mafnikio yakoo,, masha mimi ni mama yakoo napenda uwe na furaha natamani uwe na amani ,, hayaa sisi tunakwenda mwanangu we baki na amani wala hutanion ten karibu yakoโ
Mama mash akachukua mtoto wakatoka alipo fika mlangoni akageuka kumtazama tena mwanae akamwambia
โumemkana mwanao kwa sababu ya helaa ,, usije kututafuta maisha yako yote utazaa Watoto wengine wa kitajiri huyu muacheโ
Masha hakujibu kitu Aliona afadhari wamuache kwanza aishi kwa amani ataenda kuwafata mambo yake yakiwa sawa
Baada ya mama yake kutoka alikaa kwenye kochi akashusha pumzii
โmamaa utanielewa tu siku moja mie nawapambania wotee ,hii ni faida yetu wote sio peke yanguu ,,kwani nani ambae hataki kuishi Maisha mazuri ?,,haya Maisha natafuta kwa ajili ya huyo huyo Groly sio yanguu,, aaah โ
Akainuka kwa hasira akaingia chumbani kwake ,, akachukua simu โฆ akaanza kupiga namba ya Alberto ,, alipiga mara nyingi haikupokelewa ,, akampigia hasimu wake Rahul ,, yeye alikuwa ofisini Akimaliza baadhi ya mipango yao ya kazii
โsikutaka kabisa awe na namba yanguu huyuu sijui yupoje kwanza havutii hata kidogo,, mwanamke nimeona yupo tupu na nguo zake za kumtegea bwana lakini hata maungo hayajashtukaa mmh ,, Alberto bwana yani mimi nahisi ningekuwepo hiyo siku hata kama nina sumu kiasi ganii mwanamke gani huyo sijui hata kama ana radhaaโฆโฆ.โโ
Yupo anajadili mambo kichwani peke yake simu ikakatika ndio akashtuka akaipiga ile namba huku anajiuliza sijui anataka ninii kama anataka kunifokea teโฆ.
Kabla hajamaliza masha akawa amepokea bila hata salamu aka?
โ kwanini mmeondoka nyumbani bila kuagaa??โ
aah mie nilikuwa nawahi kazi zanguuโ
โ ndo ukaondoka na Albertoโ
โah yeye alisema anakwendaa super market ,, embu wasiliana nae mana nimeachana nae umekuwa mda halafu nina kazi bye madamโ Rahuli hakusubiri jibu la masha akaikata ile simu akaanza kumcheka mashaa
โ yaan wewee et uolewe na Boss wanguu hivi unajua tumetoka wapi sieee ,, ile ilikuwa ajali tu bwanaa hahah kamejaa tama vilee ,, kanawezaje kuwa bikraa?? Angesema Vicky saw ahata nisinge pingana nalo โโ
Akaiweka simu yake pembeni kaendelea na kazi zake โฆ
Alberto aliamka muda umeenda tayari jua lilikuwa limetoka akachukua simu yake ilikuwa na simu nyingi ambazo hazikujibiwa ,, masha alikuwa amepiga mara nyingi sana ,, Rahul aliipiga mara kadhaa na simu za watu wengine lakini kuna simu mojaa tuu ndo alihisi kuchanganyikiwa baada ya kuiona namba ya abby ndivyo alivyomsave ,, alipiga mara moja akairudia kuipiga harakaa
Huku anajilaum kwanini hakiona wakati inaita,, akaipiga ikaitaa mpaka ikakata bila kupokelewa akarudia tena kupiga huku anasema pokea Abby come on ,, sijui hata kwanini nililala shit!
Huku Vicky alikuwa anaitazama wakati ile simu inaitaa , mpaka inakata ilipo anza kuita mara ya pili , Recho akaingia akaikuta simu inaita na Vicky anaitazama
โwe Vicky wewee embu acha upuuzi ipokeee ishiii!!!!โ Resho akataka kuipokonya ile simu lakini Vicky akaikwepeshaa
โsasa naongea nae niniii?? We kwanini ulimpigia aahโ
โ mwambie mie nilikuwa nataka tu kukusalimia we mbona hujiongezi weweee yaan ningekuwa miee daah โ
โaah bwana mie sitaki bwanaa! Walibishana mpaka simu ikakata ,, sec hiyo hiyo ikaanza tena kuita kwa mara ya tatu ,, Recho akajirusha akaipitia simuu haraka akaipokea
โhaloo Mr Qassano โ
โooh Rechoo ,, Abby yupo salama ??โ
โndio nampelekea simu mana yupo chumbani kwake nikaona isije kukata tena buree ,, huyu hapaa,, Abby simu yako hii ilikuwa inaita โ
Recho akampa simu huku anacheka taratibu bila kutoa sautii ,, Vicky akaipokea simu
โaah nimekuta umenipigia?โ Mr Qassano mwenyewe akajikuta anababaika baada ya kusikia sauti ya Abby
โaah โฆ mmh yah nilikuwa tu nakusalimiaaโ akaongea huku anamkazia jicho recho la umeyataka aah
Mr Qassano akanyoosha mikono juu kushukuru munguu moyoni akasema yes kazi imekuwa rahisi,, akamwambia Abby una muda tukale chakula cha usiku woteee??? โ
Recho akasema yesss, kwa sauti ya chiniii akamwambia kubaliiii ,, baada ya kuona Vicky anasita sitaa ,, โembu acha ujinga weweee โ recho akataka kumpokonya simu Vicky akajua huyu atazidi kumdhalilisha kwa Mawazo ya Vicky kujikomba komba kwa mtu hata hamjui ni saw ana kujishushia tu heshima yako .....
ITAENDELEAAA,
EP 24
TULIPOISHIA..
Mr Qassano akanyoosha mikono juu kushukuru munguu moyoni akasema yes kazi imekuwa rahisi,, akamwambia Abby una muda tukale chakula cha usiku woteee??? โ
Recho akasema yesss, kwa sauti ya chiniii akamwambia kubaliiii ,, baada ya kuona Vicky anasita sitaa ,, โembu acha ujinga weweee โ recho akataka kumpokonya simu Vicky akajua huyu atazidi kumdhalilisha kwa Mawazo ya Vicky kujikomba komba kwa mtu hata hamjui ni saw ana kujishushia tu heshima yako .....
ENDELEA.....
Vicky alipoona recho kamkalia kooni akakubali haraka akamwambia ninao ,, Mr Qassano akarusha ngumi hewani moyoni akasema namna hii ,, akamwambia nakufata hapo muda sio mrefuu ,, Vicky akasema sawaa ,,
Baada tu ya mr qassano kukata simu hakukumbuka hata kutafuta simu za kazi nyingi zilikuwa zimempigia hata mash hakumkumbuka kama alikuwa ni moja ya watu walio mpigia โฆ
Alikimbia bafuni chap akakoga haraka haraka akatoka
โmhuuuu nivae nguo gani at least nionekane kijanaa leooโ alikuwa anajiongelea huku analiza liza vidole vyake kwa kuvigongesha anatazama nguo moja moja ndani ya kabati ya nguoo
Akashindwa kufanya maaamuzii akachukua simu kampigia Rahul ,, Rahul alikuwa kwenye kikao,, ni muendelezo wa vikao kuhusu milady yao hapa Tanzania lakini aliion simu ya Boss wake wakati inaingia maana alikuwa ameiweka juu ya meza ila ametoa sautii
Ikiita zaidi ya mara tatu anaitazama kuna ujumbe ukaingia simu ya Rahul inonesha msg kwajuu
{pokea simu ni dharuraa}
Rahul akajikuta anababaika huenda kweli ni dharula maana anajua kabisa yupo kwenye kikao sio rahisi kumtafuta tafuta mtu
Rahul ikabidi aombe excuse akatoka pembeni ,, akampigia simu Bos wakeee
โkuna usalama Bossโ
โโRahul hii ni dharulaaโฆ. Embu nambie nikiva nguo gani kidogo naonekana kijana hata navutia achana na manguo ya kazi yaan nataka zile nguo za kutoka โ
Khaa!!!!Rahul alichokaa gaflaa ,, hajaamini anachokisikiaa
โyaaaan Boss unamaanisha unachoongea??โโ Rahul akatoa miwani yake kwanz akafuta jasho hakuamini anacho sikia
โRahuuuul fanya haraka,,,nimemuomba Abby tutoke amekubali ,,nataka akinione kidogo avutiwe na mimiiโ
Rahuli alishagaa yaani kazi imekuwa haina umuhimu tena kwa Alberto ila mwanamkee huuyuu Alberto leo wa kuhangaika hivii kisa mwanamkee?? ,kiasi akajikuta anamuonea huruma sanaa,,,
Akamwambia โAlberto!!! โฆ..yaani kivyovyote utakavyovaa ama kuwa ,, hakuna mwanamke atakae kuangalia akashindwa kutamani kuwa nawewe , vaa vyovyote mueleze nia yako huyo bint Iโm sure hawezi hata kujifikiria mara mbiliโ
Rahul akajikuta anakumbuk jinsi boss wake alivyokuwa anajiweka mbali na wanawake hakuwa anataka hata kukaribina nao ,, hakuwahi kutongoza wala kutamani kuwa na mwanamke leo anatapa tapa tena kwa sabbu ya mwanamke wa daraja la chiniii mnoo haendani nae hata kidogoo tena alietelekezwa akiwa mjamzito kiasi kwamba angekuwa mwanaume mwngine hapo angefika na kusema shida yake tena kwa dharauuuu na pengine asinge kataliwa โฆ..
โaaah Rahullll nataka nipendeze mzeeee!!โ Alberto hakukubaliana na swala la Rahul et avae nguo yeyote atakuwa vizuri tuu
Ameshazoea kuvaa kikazi kazi muda wote kujiniga na masuti hakutaka tena
Rahul akamwambia nipe nusu saa kuna jamaa nampigia simu anaduka la nguo atakuletea hapo nampa code kwahiyo usijaliii โฆ..
Alberto akamwambia jitahidi iwe fasta basiii ..
Rahul alimpigia simu muuza nguo ambae yeye huwa anachukua sana nguo hapo ,, akamueekeza aina ya nguo na size anayotakiwa kupeleka
Akarudi kuendelea na kikao,,, Nusu saa tu kweli nguo zilifika ,, akavaa haraka haraka kama anaogopa kuachwa n abasi โฆโฆโฆโฆโฆโฆ.
โheeee!! We nae sa ndo umevaaje hivyooo??โ recho alimuwahi Vicky mlangoni ndio alikuwa anatoka , amevaa kijora chake na mtandio kajitupia kichani , umeanguka mabegani mpakaunakaribia kuziba tumbo lake โฆ
โjamani ulitaka nivae surualii ??โ
โaah bwana vaa ile gauni yako ulienda nayo clinic juziโ
โ chafuuโ vicky akajibu bila hata kujali
โ mamaaa! Mama โฆ. Et ile gauni yako ulivaa kwenye harusi ya mwamvita ipo wapiiiโ Recho akamuuliza mama yake alikuwa chumbani kwake
โile ya Dark blue??โ
โ enhee hiy hiyoo โ
โ mmh mbona alishaichukua mama yako mdogo zamani hadi nisahasahauโ
โ mama nae kwa kugawa nguo aaah!!embu nisubiri ndani nakujaa sasa hivii โ
Recho akatoka mbio mbio mpaka kwenye nyumba ya Jirani kuna mdada huwa rafiki ake ,, huyo dada ana mtoto mdogo wa miezi km miwili ivi
Akamwambia โvero embu niazime ile gauni yako ya pink pink hivii nakuletea asubuhi dearโ
Vero akakataa akasema mie sivaliani nguo bwana na mie hua sivaliani nguo,, Recho akatoa pesa akampa akamwambia basi nikodishiee ,,,,,ndio yule dada akainuka Kwenda kutoa gauni kwelii
Recho alikimbia akampatia, vicky akamwambia haya vaa hii sasaa,, kweli bwana ilimpendeza mnoo Pamoja na tumbo lakeโฆ
Alberto alipiga honii baada ya kufika uwanjani kwa kina rachoo
โkafika toka sasaaโ
KWETU morogoro.
   
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.