BLACK BUTTERFLY ๐ฆ 1
By Babie Love
Tsap 0742133100
Anzaaaa
โ Hello guys nataka umakin zaidi katika hoteli hii nadhan kila mmoja anajua wajibu wakee kwa wateja okay ...?!?โ Aliongeaa msichana mmoja matata sana alionyeshaa yeye Ndio mmiliki halali wa hotel hiyo
Msichana wa kisasa kabisa mwenye hadhi ya kitajirii haswaa alikuwa na kila kitu alichokitaka yeye alikuwa nacho
โ Madam Camilla kuna faili unatakiwa kuweka saini yako kwaajili ya mzigo hapaa....โ aliingia mmoja wa wafanyakazi wakee kwenye hotel Hiyo
โOkay wekaa hapa nitashughulikia hapo mara moja .....โ alijibu Camilla huku akichukua faili hizo akasain kisha akasema
โ Afu nahitaji chumba kizur kwajili ya part kubwa kiasi kitengenezwee kwa maua hai sitaki bandia hakikisha hiloo Oky?!?โ
โ Sawa madam nitampa mtaalam wa urembo wa chumbani hakika atafanya vizur sana ..โ alijibu yule mfanyakaz
โ Vizur unaweza kwenda ..โ
โ Sawaa madam..โ
Yule mfanyakaz Alitoka moja kwa moja hadi kwa meneja wao na kumtaarifu kile madam alichokitaka
โ Sawaa ukitoka muite Mariana Ndio anaweza kufanya hiyo kazii...โ
โ Sawaa meneja..โ
Mariana ni mmoja wa wafanyakazi pale kwenye hotel ile yeye alikuwa kwenye sehemu ya upambaji ama dizaini mkubwa wa chumba punde tu baada ya usafi
Mdada huyu alikuwa mkarimu mno kwa kila mmoja wao wengi wa wafanyakazi walimpenda sana Mariana
โ Mariana unaitwa na meneja tafadhal ..โ
โ Meneja tena!?!? Kuna nini?!?โ
Ali uliza Mariana kwasababu alijua kuna shida sio rahisi mtu kuitwa na meneja hovyo hovyo
โ Kuna kazi hii hapa hivyo meneja anakuita kwaajili ya maelezo kamili kwasababu ni chumba atakachotumia madam Camilla..โ
โ Ahaaha Sawaa ngoja niende...โ
Mariana alitoka haraka ofisini kwake na kuelekea kwa meneja haraka
โUmeniita meneja?!?!!โ Aliuliza punde alipofungua mlango
โ Ndio nahitaji chumba kizur ufanye kwa ufanisi maana atatumia madam Camilla nadhan unamjua sitaki makosa yatokee ...โ alisema meneja na kumfanya Mariana atabasam na kusema
โ Usijali meneja sitafanya makosa nakuahidii..โ
โVizur .....โ
Baada ya kuchukua maelezo jinsi ya hicho chumba kiweje Mariana alitoka ofisini kwa meneja na kwenda Kufanya maandilizi ya chumba hicho
๐น๐น๐น๐น๐น๐น
โ Hello darling hujafika badoo?!!โ Ali onekana Camilla akiongea na simu kwa madaha yote akiwa bado ofisini kwakee
โ Nina dk kadhaa za kushuka aridhini mpenzi najua umenimis sana ..โ iliskika sauti yakiume maridhawa kabisa iliyomfanya Camilla aachie tabasamu zito kabisa
โ Hakika nimekumic mno na Niko na maandiliz safi kabisaa nakuja muda sio mrefu hapo uwanja wa ndege dear ...โ
โ Okay โค๏ธ Nakupenda sana ..โ
โ Nakupenda zaidi Brayton ..โ
Camilla baada ya kukata simu alichukua pochi yakee kisha akatokaa nje ya ofisi yakee na kutoka nje ya hotel Hiyo na ku ingia moja ya gari ya kifaharii mno iliyokuwaa tayari na dereva ndani
โ Twende uwanja wa ndege haraka ...โ alisema Camilla baada tu ya ku ingia kwenye gari hiyoo
Dereva bila kusitaa aliwasha gari na safari kuanzaa kuelekeaa uwanja wa ndege
๐น๐น๐น๐น๐น๐น
Mariana tayari alikuwa bize kwa kuandaa chumba cha boss wakee kama alivyoambiwaa alitumiaa akili yakee yote kufanya kazi Hiyo hakutaka kufanya makosa kabisaa
โ Weka rangi za kuvutia sitaki taa za angavu sana zinaumizaa macho hizo slzitakii okay weka kila kitu Sawa tuna dk 10 kila kitu kiwe tayari...โalisema Mariana huku akiwa bize sana na jambo hilo
๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น
Baada ya dakika kadhaa ndege ilitua kwenye nchii hiyo na kuteremsha abiria wakee na mmoja wao alikuwa ni Mwanaume mmoja anaeitwaa brayton
Camilla alifurah alipomuonaa mpenz Wakee baada ya miaka mitano kupita alikuwa masomoni kipindi hicho
โ Waoooow dear...โ alisema brayton huku akimkumbatia Camilla kwa mahaba mazito mno hapo uwanja wa ndege
โ Mmmh kipenz nilikumiss mno..โ alisema Camilla huku akiwa kwenye kifua cha Brayton
โ Ndio nimefika sasa naona na wewe umekuwa mkubwa sasa..!?!โalitania kidogo Brayton na kumfanya Camilla acheke sana
Ndipo walipoingia ndani ya gari kwaajili ya kwenda hotelini
โ Ooho ni muda sana Camilla Una fanya kazi gani?!?!โ Aliulizaa Brayton
โ Aah niko na kaz ni nyingi otea ni kazi gani?!?!โ
โ Aaah labda n msimamiz wa kazi maana tangu shule ulikuwa kiongozi wetu...โ
Wote walicheka huku wakikumbatianaa kwa raha mno huku gari ikingia hotelini hapo ila Brayton alionekana kushangaa kidogo na kuuliza
โ Camilla Mbona tunakuja Huku nilifikiri labda utanipeleka home kwanzaa nimechoka nahitaji ku pumzika dear...!!?โ
โ Aaah kwani hapa hatuwezii kupumzikaa?!? Nimekumic unajua?!?โ
โ Nafahamu ila au basi twende tyu ..โ
Camilla alifurahi baada kusikia hivyoo ndipo waliposhukaa na kupokelewaa vizur kabisa hakuamini hata Camilla mwenyew kama utakuwa vile
โKaribunii...โalisema Mariana huku akiwapatia vinywaji baridiii kabisa
โ Asante sana..โ aliitikia Brayton huku akichukua glass moja
Lakini cha ajabu na kilichowashangaza wote walikuwa palee macho ya Brayton hayakutoka kwa Mariana kabisa
Kitendo hicho kilimkera mno Camilla na kumgeuza shingo yakee huku akimuulizaa
โ Unamjua huyu?!?โ
โ Hapana hapana dear kuna nini kwani?!?โ
Camilla hakutakaa kumjibu zaidi alimshika mkono na kuelekeaa kwenye chumba alichokiagizaaa huko juu
Brayton baada ya ku ingia ndani alistuka baada ya kuona jinsi chumba kilivyo dizaini wa vizur kabisa ndipo akaulizaa
โ Mtaalamu gani kafanya hivi?!?โ
โ Brayton usinichanganye kabisa ulichokifanya hapo nje sijasahau huwez fanya hivyo mbele ya wafanyakazi wangu huoni aibu wewe?!?โ Camilla akiwaka tayari
โ Aaah mpenz wangu nisamee unajua yan sijui ilikuwaje ila nisamehe sana nakuomba nisamehee..โ Brayton alikiri makosa na kumfanya Camilla atulie sasa na kumkumbatia akisema
โ Nakupenda usinichanganye tafadhal...โ
โ Nakupenda pia usijal..โ
๐น๐น๐น๐น๐น๐น
Huku nje gumzo lilizukaa hadi kumfanyaa Mariana ahisi hofu sana maana Camilla anaweza kumfukuza kazi kabisaa
โ Yaan acha wanaume hawaa et katumbua macho kabisa kwa Mariana badala ya madam Camilla yaan ..โ alisema mmoja wa wafanyakazi hapo ndani na kufanya wote wacheke mno
Mariana alikuwa pemben aliwatazama tyu maana kwa upande wake alikosa Amani kabisa kwa kile kilichotokeaa ndipo simu yake ilipoitaa alipotazama alikuwa mdogo wake a napiga
โ Hallo ..โ
โ Dada utaweza kuja maana leo nimetoka mapema tu ..โ
โ Aaah Isabel chukua tu taxโs Nina kazi hapa tafadhal mdogo wangu nitakukuta nyumban..โ
Isabel hakujibu alikata siku maana alichukia kutokuja dada yake kumchukua hakuja kumchukua Kama kawaida yakee
Mariana alichanyikiwa kwa kilichotokea pale maana ana weza kukosa ajira ile inayomfanya apate mahitaji yote yake na ndugu yakee
๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น
Wawili hao wakiwa kwenye chumba cha wapendanao wakipata raha zote za dunia ndipo simu ya Camilla iliianzaa kuita bila kuchelewa Camilla alipokea huku akimtazama Brayton usoni
Brayton anamfahamu vizury Camilla hivyo hakungoja kuambiwa ndipo akachukua begi lake na kutaka kuondoka ndipo Camilla akamzuia huku akisema
โ Brayton unaenda wapi sasa?!?โ
โ Camilla nimekuja hapa kwasababu sitaki kuaharibu mood yangu leo afu wew umeshaaanza simu zako nakujua vizur utaondoka uniache hapaa na sihitaji hilo....โ Brayton aliongea kwa upole sana
Camilla alimtazama kisha akasema
โ Ni kweli kipenz hii simu ni muhimu pengine kuliko wewe na lazima niondoke Ndio ..โ
Brayton alimshangaa sana ndipo akamuuliza kwa mshangao sana
โ Unasema mimi sio muhimu kama Hiyo simu?!?! Camilla sihitaji ugomvi ila naona unataka kunikwaza kwanini?!?โ
Camilla wala hakujibu alichukua pochi yake na kumkiss shavuni kisha akaondoka zakee
Brayton alishikwa na hasira mno maana penzi lakee linamtesa kweli kweli ukizingatia anampenda mno Camilla
Ndipo alipoagiza chupa mbili za kinywaji kikali kwaajili ya ulevi kidogo ..............
Itaendeleaaa
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni