???????? BOYCHILD ????????????????
PART 3
????????????Nilikuwa naamka kila asubuhi ninatafuta kazi, Zile pesa zilizobaki nilinunua Stove, Sufuria moja, sahani moja na mitungi miwili ya maji.Nikaanza maisha rasmi kwenye hiyo nyumba ya ksh1500.Nikatafuta kazi siku baada ya siku hadi siku moja nikabahatika nikapata kazi ya kuuza kahawa.Sikuwa naijuanila nikaamua kuifanya juu hakukuwa na lingine lile la kufanya.
Huyo jamaa akaniajiri kisha akaniambia kuwa atakuwa akinilipa kutegemea na mauzo yangu ya kila siku.Mimi nikakubali kisha nikaanza kazi rasmi.Siku ya kwanza kwangu kuuza kahawa nilikuwa natamani tu hata niende kwetu nyumbani lakini nikajikaza kisabuni.Hii kazi haikuwa rahisi vile jioni iliwadia na mfukoni nilikuwa nimeuza tu ksh50.
Sasa hizi nikimpa mwenyewe atanilipa na nini? nikajiuliza ila nikose wa kunipa jibu.Nikarejea kwenye Ile hoteli mahali tunapopangiwa kazi na wenzangu.Kufika nilipata wenzangu wao wamemaliza zile bidhaa walizokuwa wamepewa.Mwajiri akawalipa ila Mimi akaniambia anataka kuongea nami.Wenzangu wakaondoka nikabaki na Boss.
Boss:Lewamo unavyoona utawezana kweli na hii kazi.
Me:Ndio nitaweza.
Boss:Sidhani kama utaweza hii juu kutoka asubuhi hadi Sasahivi umeuza 50bob tu.
Me:Ndio mara yangu ya kwanza Boss naomba unipe subra nitakuza zoea hii kazi.
Boss: Sawa na uombe mawaidha kutoka kwa wenzako wakufunze wanavyofanya uuzaji wao.
Me:Sawa Boss wangu.
Hiyo siku Boss akanipa ksh200 Kisha akaniambia nitie bidii.Nikarudi kwangu Kisha asubuhi niliamkia kazini.Nikapatana na wenzangu nikawauliza njia haswa ya uuzaji wa hiyo kahawa wakanielezea.Nikachukua bidhaa na nikaondoka kuelekea sokoni vile wenzangu walivyoniagiza kufanya...
PART 4 LOADING
Usikose kurusha like yako baada ya kusoma..
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni
Click here to login and comments