Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  Afande sele ft Belle 9 dini tumeletewa

DADA KIBOGA NA MJEDA: 11

2nd Aug, 2025 Views 63


Basi nikabaki nimeduwaa mimi kama nimepigwa na shotinsiamini kama mashoga zangu wote wamekimbia na viatu vyao wameniachia😭😭

Mara wakati nashangaa nikamuona captain jacob anashuka kwenye gari akiwa kavalia magwanda yake yaleee kapiga na miwani meusii,na alivyo mrefuuu nyie,🥰🥰🥰nikajikutaa navutiwa nae moyo ukadunda paaaah paaaaah🙈🙈jamni nilimwona mbaya ila leo hata sijui kwanini amenivutia gafla tu mwenzenu nimempendaa buree🙈🙈🙈

Nikajikuta hadi hofu yote inakata nikalegea kama mrenda usio na magadi🤣🤣🤣

Taratibu captain jecob akaja hadi pale nilipoo akanikunbatia huku akinishushia dera langu kwa nyumaa huku akinibinyabinya makalio🙈🙈

Hutulii mremboo!!!Haya makalio ni mali yangu mimi kwanini unayaonesha kwa watu???

Nyie🥰🥰🥰hata sikusikia swali harufu ya caotain jacob kwakweli ilinivutia nilijikuta navutiwa nae kwa muda mfupi ,sijui amenipa nini??mbona jana na juzi sikuwa hivi??

Captain jacob akanishika mkono akaingia na mimi hadi kwenye gariii,hakuongea kitu tena na mie nikabaki naduwaa tu kama mwehu vileee

Safari ikaendeleaa huku mimi macho yote yakiwa kwa captain huyo na kwa mara ya kwanza nilimuona mhandisamu hatari🙈🙈🙈🥰🥰🥰

Wakati naduwaa nakuja kushtukia gari lipo ndani ya bombaa jumbaa sijui hata lipo wapi jamani ila ndo tushaingiaaa sina namnaa

Shuka nifuate ,captain jacob akaniongelesha

Khaaaa huyu mjeda jamani mbona anakuwa mkali gaflaa???😒😒😒😒si alikuwa kaniongelesha kimahaba kule kwenye sherehe mbona leo hivi tenaaa

Hapohapo akili ikanijia kwanza huyu mwehu kaharibu kibeseni cha watu hapa kesi yote itakuwa kwanguui ngoja nimpandishie mashetani
yanyu ya kipare leo

Basi nikamfata hadi ndaniiii kiukweli nyunba ilikuwa nzuri sanaa kuliko kawiadaaa ila sikuona hajanya kuisifia

Hivi we mjeda sjui mjedo !!!! Ndo nini unakuja kuniaibisha kwenye sherehe ya shoga angu?? Ona sasa watu wote amekimbia hivi watanionaje mimi????

Caotain jacob akaniangaliaa?? Akachekaaa🤣🤣🤣bila kunambia kitu
Nikaona huyu mwehu anadharau sana enheee??? Ngoja ntamuoneshaa

Kuhusu sherehe usijali kabisaa ila jua tu leo utalala hapa hivyo kama unawaza kurudi kule sahau kabisaa, mjeda akaongea hayo kisha akaelekea chumbani

Hivi hichi kinyago cha mpapule kinanitakia nini mimi jamani??? Ananiona ananguvu kwenye maisha yanguu si ndioo??? Sasa ntamfurahishaa leo

Nikakusanya hasira mie nikaanza kutafuta jiko lilipo ,hadi nikalipata , nikafungua friji mie nikatoa kuku mzima , sio mshamba wa gesi hivyo nikawasha gesi nikapika kuku na chipsi juuuu

Nilipomalizaaa nikakaazangu sebleni nikaanza kulaa na nilivojiona nimemkomesha sasa nikazoa kuku na chipsi zoteee nikawa nakula

Baada ya muda nikamuona mjeda anatoka chumbani kwake

Soma mpaka mwisho kwa sh 1000
Njoo WhatsApp 0743433005.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

DADA KIBOGA NA MJEDA: 11  >>> https://gonga94.com/semajambo/dada-kiboga-na-mjeda-11
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Afande sele ft Belle 9 dini tumeletewa
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CHANZO NI BOSS 03

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CHANZO NI BOSS 02

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CHANZO NI BOSS 01

majario rewards 100 Comments 0
 

MTOTO WA MAMA LISHE

majario rewards 100 Comments 0
 

MY LUNA SEHEMU YA : 06

majario rewards 100 Comments 0
 

NDOA YA MIE ... 8...

majario rewards 100 Comments 0
 

LUVIE binti wa malaya

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest