Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94

DADA WA KAZI KELVIN MLOWE EPISODE 3

30th Jul, 2025 Views 130

DADA WA KAZI
KELVIN MLOWE

EPISODE 3

Kulipopambazuka, mvua ilikuwa imeacha manyunyu yake kwenye majani na paa za nyumba. Hewa ilikuwa tulivu, lakini ndani ya moyo wa Neema bado kulikuwa na vuguvugu la maumivu, mchanganyiko wa mshangao na hasira ya usiku uliopita. Alimwangalia mumewe Baraka akiwa amelala, uso wake mtulivu kama mtoto, bila hata kujua namna moyo wa mkewe unavyochacha.

" Kweli kwa huyu mwanaume navomjua anavopenda kula tunda, atakuwa hajala tunda la mfanyakazi mmmmmh hapana lazima kunakitu wananificha hawa ila nitajua"

Lakini mbona lile kufuri lake lilikuwa pembeni na mume wangu alikuja jikoni kifua wazi ina maana hakula kweli mbona napata wasiwasi jamani,mmmmh huyu mwanaume daaah bora asiwe amekula kama kala daah ndoa yangu itakuwa ngumu sana .....

Alijifunua shuka na kumtazama mumewe anayekoroma kama jenereta lililoishiwa mafuta muda huo baraka katanua mdomo ni mwendo wa krroooooooooh !! Krooooooh !! Kama anakunywa uji kama angekuwa analala karinu na wewe usingizi usingeupata .....

Neema aliamka mapema, akaenda jikoni . na kunywa maji kisha akarejea tena kitandani lakini muda huo alishamuamsha Aziza.ili aanze kufanya usafi ndani ya nyumba hiyo.Aziza alijifunga kipande cha kanga na kwa kuwa alijaliwa bonge la maka.... Japo kafunika ila zigo linaonekana ....

Alielekea jikoni na bafuni na kunawa uso theni kubeba taulo kuelekea njee na kumwagilia bustani kidogo then akarudi na kuanza kudeki sebule muda ule anamwagilia bustani kwa mpiira ushamba ulimshika na kufanya kanga ilowe sana hivyo. Ikamfanya kaaaaa kujibana vilivyo mpaka mfereji wa suezi ilikuwa rahisi kutenganisha vilima viwili vikubwa ......

Baraka alikuwa wa kwanza kuamka na baada ya kuamka tu alijitazama kwenye kioo huku kavaa bukta yake ya newcastle. Alifungua mlango wake na kutoka nje .Alishtu ka baada ya kumuona mfanyakazi wao Aziza yupo anapiga deki kaugeuza msambwaaaaaaa anapopiga deki milima inatikisika na mfereji wa suez umetenganisha vizuri....

Baraka alidata na kusema mmmmmmmmmh jamani mambo gani hayo muda huo tayari bukta imeongezeka urefu ........

Follow the HADITHI ZA KELVIN MLOWE ❤️✋🔥 channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029Vaw5SzK7YSd3RKAO8G46

LIKE ZENU ZINAKATISHA TAMAA NDO MAANA NAANDIKA VIFUPI ZIKIFIKA 600 TU KITAKACHOFUATA NI KIREFU OTHERWISE NI MWENDO HUU HUU💡💡💡💡💡.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

DADA WA KAZI KELVIN MLOWE EPISODE 3  >>> https://gonga94.com/semajambo/dada-wa-kazi-kelvin-mlowe-episode-3
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

MY LUNA SEHEMU YA : 06

majario rewards 100 Comments 0
 

NDOA YA MIE ... 8...

majario rewards 100 Comments 0
 

LUVIE binti wa malaya

majario rewards 100 Comments 0
 

A.J.A.D SE03 EP02

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest