DJ Mkandala Lufufu huyu ndo wa kwanza kutafsiri movie kwa lugha ya kiswahili
19th Jul, 2025 Views 15
Anaitwa DJ Mkandala Lufufu huyu ndo wa kwanza kutafsiri movie kwa lugha ya kiswahili hapa Africa Mashariki na kati ,Na hata majina tuliokua nayo kama Commando Kipensi, Watoto Saba,Macho Kimchuzi na mengine mengi huyu ndo aliyatunga .Ila kwa sasa ameshakufa ila ana mchango mkubwa sana kwenye sanaa ya maigizo hapa Africa Mashariki na kati na aliufanya utoto wetu kuwa bora sana Naaam.
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
DJ Mkandala Lufufu huyu ndo wa kwanza kutafsiri movie kwa lugha ya kiswahili  >>> https://gonga94.com/semajambo/dj-mkandala-lufufu-huyu-ndo-wa-kwanza-kutafsiri-movie-kwa-lugha-ya-kiswahili #Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war