Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94

πŸ’•πŸ˜πŸ’–DRAMA OF LOVEπŸ’–πŸ˜. part 15

19th Jul, 2025 Views 22

πŸ’•πŸ˜πŸ’–DRAMA OF LOVEπŸ’–πŸ˜.
part 15

Who among Njeri and Brianna is truly in love with meπŸ€”πŸ€”. I thought I had found Njeri πŸ€”, is this the way she talks or it's because she's just angry and jealousy of Brianna πŸ€”. Kumbe sikuwa namjuwa vizuri, lakin ni mrembo jamani❣️....... WaitπŸ€”, pia Brianna ni mrembo sana πŸ™ˆ. Who's a true lover hereπŸ€”.

Hellen naye nilidhan alinipa barua kisiri ndo Njeri asijue kumbe pia alikuwa kwa gameπŸ˜ͺπŸ˜ͺ. The way Njeri alikuwa ananiongelesha ilibidi nianze kumcompare na Brianna πŸ€”. Brianna had never insulted me before ❣️, it's only that she moved aside during the time I needed her mostπŸ€”, after there she realized her mistake and apologized πŸ™. Should I give her a second chance, should I catch these two birds at the same time in my handπŸ€”. Mshika mbili moja humponyoka walisema wazamaniπŸ™πŸ™, wakarudia wakasema njia mbili siku moja zilimshinda fisi akafaπŸ˜‚.

Mm mwenyewe hata sijui nampenda nani sasaπŸ˜‚πŸ˜‚, Brianna ako sawa sana kimaumbile❣️❣️, but pia Njeri ni mama lao ukija kwa maumbile. Kwanza lips oh my goodness 😍 I can't leave Njeri walahiπŸ™πŸ™. I can't,,, Yes Njeri is my choice🀩. Nilianza kujiongeleaha pekee yangu

"Wee, kwani uko na nani huko??, Fungua huu mlangoπŸ˜ͺ" ilikuwa sauti ya mama ambayo ilinitoa kwenye ndimbwi la mawazoπŸ™†πŸ™†.

Mom: NJERI ako wapi ndo unashinda ukimtajaπŸ˜ͺπŸ˜ͺ. Umeanza mambo ya mapenzi sky?? Ako wap??

Me: MomπŸ˜ͺ, hakuna mtu humu ndaniπŸ™πŸ™.

Aliangalia chin ya bed na kila mahali hakupata mtuπŸ™†.

Her: Na mbna unashinda ukisema Yes njeri, njeri is my choice, who's she??

Me: Mom you are taking it more serious πŸ˜‚. It was a song, nilikuwa naimba wimbo tuπŸ™ˆπŸ™ˆ.

Mom: Haya imba basi(simu yangu akaita tena😲😲, oh my God, alikuwa Brianna πŸ™†πŸ™†) si ushike simu, ebu letaπŸ˜ͺπŸ˜ͺ.

Mom alichukuwa simu😭😭.

Her: Brianna Queen ndo jina lake ama umemsave tuπŸ€”πŸ€”.

Me: Ni jina lake mam😭😭.

Alirecieve 😱.

Brianna: Hello honey??

Ngài 😭, karibu nifaint koz simu mm nilinunuliwa ili nisomee😭.

Mom: Honey hayuko sasa unaongea na nyuki😱 sema😱.

Brianna: ooh Mom habari yako??

Mathe: πŸ˜“πŸ˜“, poa wewe ni nani, unasaviwa Queen, wewe unaitwa Queen πŸ€”πŸ€”.

BRIANNA: (silent)

Mom: eeh nakuuliza, hello??

Brianna: Ndio mom. Tunasoma nayeyeπŸ™†πŸ™†.

Mom alinirushia simu na kutoka nje😱.

Mom: sky kesho tukutane shuleni😭😭. Nataka kumjuwa huyo Queen ndo naniπŸ™†πŸ™†.

Brianna hakuhang up simu, after mathe kutoka ndo nikaanza kuongea na yeye.

Me: Wee sasa mbna umekol na tulikuwa tumemaliza tu vizuriπŸ˜ͺπŸ˜ͺ. Brianna ninini huwa ikakusumbua laknπŸ˜ͺπŸ˜ͺ.

HER: sky you saved me Queen ❣️❣️?? Wow. Okay am sorry King πŸ’–.

Me: Who's your King??

HER: And who's your Queen πŸ’–. Okay am sorry Njeri's King πŸ™πŸ™.

Me: Who's Njeri's King πŸ˜ͺπŸ˜ͺ.

Her: πŸ˜‚πŸ˜‚sasa msimamo wako uko wap wewe. But I know unanipenda lakn unajifanya hunipendi❣️❣️.

Nilimkata, that night sikuchat na any of them, ingawa Njeri bado hakuwacha kunitumia messages za love,,

"Hey sky. I know It was wrong to call you idiΓ΅t πŸ™, but am sorry, I didn't mean it please, see you tomorrow tuongee kama wapenzi dear, it's only one day and have already missed you so much ❀️. Good night my king πŸ’–πŸ’–"

Bado sikurply. On Monday shule, kwa class Brianna hakuwa anashikika, kidogo hellen akakam palali nilikuwaπŸ˜ͺπŸ˜ͺ.
HER: Mr lover boy,, vipy??

"Hellen I need to be left alone please πŸ˜ͺ, mm hiyo michezo ya kutumwa ukikam kunisoma sitakiπŸ˜ͺ" I said to her.

"πŸ˜‚πŸ˜‚, Huku mm niko katikati bwana, nililipwa donge nono sana kufanya hiyo kazi, lakn hayo yakiwemo ya kumsave Brianna et Queen ni ya baadae, tutaongelea, ebu nisaidie hiyo book niliweka kwa bag yakoπŸ™πŸ™"

Me: Kwa bag yangu?? Uliweka whenπŸ€”πŸ€”?

Her: Ile day mlikuwa mnafanya prac kwa labπŸ™. You mean hukuifungua ukasoma??

Me: ak walahi siwezi lieπŸ™. Kulikuwa na good news ama??

HELLEN: Sijui kama kwako ingekuwa good news but kwangu it means a lot ❣️❣️.

Tuliangalia kwa bag nikapata kumbe ameniandikia barua😱.

Hellen: Wee kwan unataka kusomea kwa daro,, si ungesoma ukiwa home🀝.

Me: Ok hellen, niachie kitabu basi nitajisomea baadae, kwanza inahusu nini??

HELLEN: Utajuwa tu Sky,, utakam uchukuwe jioni sawa❣️.

Aaih anyway, yan Brianna alikuwa ashawaambia venye aliongea na matheπŸ™†πŸ™†. Even Njeri alionekana kunikasirikia sana😲. Mara hiyo Kamau akafikaπŸ™.

HIM: Bro now days uko kimia sana manze,, is it because of Njeri??

Me: Hahaa how now,,, wewe tuko tu kimoja man, umefikia wap hiyo risto ya assignment??

Kamau: Bro hayo ni baadae 🀟. Kwa Sasa ni kuhusu Njeri πŸ™πŸ™. Do you love her for real, coz I remember ilikuwa tu game ya kumleta Brianna kwa life yako tena,, am like your brother sky, hide nothing from me❣️❣️.

Me: Mm simpendi Njeri bro,, na kama nampenda basi nampenda kama beshte yangu❣️. Nothing more πŸ™.

HIM: sky wacha chocha. What about the kisses and hugs in the lab?? Isitoshe, hata yeye mwenyewe alisema ilikuwa game but now mko serious πŸ™. YES or NO??

Me: πŸ€”πŸ€”πŸ€”, kamau do you love NJERI ??

HIM: No need to explain bro,,, look at my hand 😱😱.

Kamau hadi alikuwa ameeka jina la Njeri kama tattoo 😲😲.

Me: You can't be serious bro,, what if she doesn't love you back?? What Will you do??

HIM: Already ashakataa man,,, anasema et nyinyi mko kimoja sahiπŸ™πŸ™. But ju wewe umekana, am sure ukimsho venye nampenda atanikubali bro, she listens to you muchπŸ™πŸ™. Please help me to get her 😭.

Me: πŸ€”πŸ€”, waah kamau,?? Anyway wacha nitajaribu tuoneπŸ™.

HIM: Nitashukuru sana bro,,, then nina riport yako kutoka kwa class officials ✌️✌️.

Me: Class official?? Hellen ama Nancy??

Kamau: Hellen....

Me: Amesema nini?? (Kidogo Njeri akafika tukiwa na Kamau)

Her: Hey, Mambo Beb. Hadi huwezi nipa salamu akπŸ’–πŸ’–. Oh sorry,, mambo KAMAU??

Kamau: poa Sana Njeri (huku ameniangalia kwa macho ya huruma)

NJERI: Sky so?? Waah lakn nimekumissπŸ’–πŸ’–, ebu songa kidogo nikwambie kitu??

Kamau: Bro, si tutachekiana magithaa(matime)

Me: Fity jamaaπŸ™πŸ™.

NJERI: Ak Beb leo lazma tumwambie Brianna ukweli kwamba humpendiπŸ˜ͺπŸ˜ͺ. Mm ak sijui kwann nahisi ni kama mnaweza rudiana😭. Please isiwe ivo, mm nakupenda sana dear, and you know it πŸ™πŸ™. Si tutamkataza ujinga jioni??

Me: πŸ€”πŸ€”πŸ€”.

Mlangoni kukaingia walimu wawili na mam😭😭.

Principal: Yes mama Sky,, Who are you looking for??

Mom: Am looking for Queen 😱😱.

Brianna aliniangalia nikajuwa hapa sisi kwisha😭.

Principal: Samahani mama, hapa hakuna msichana anaitwa Queen πŸ™†πŸ™†.

Mom: mwalimu mm sio miinga, akatoa simu yangu😭😭. Si huyu amesaviwa Queen na sky alisema wanasoma class moja😱😱.

NJERI akadhani ni yeyeπŸ™†πŸ™†. Akaniangalia kama amesmile😭.

Mom: Brianna Queen ndio nani😱😱.

Ngài 😭😭

NJERI:.......

To be continued.... Part 16. Usikose
Usipite hii jamani..
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

πŸ’•πŸ˜πŸ’–DRAMA OF LOVEπŸ’–πŸ˜. part 15  >>> https://gonga94.com/semajambo/drama-of-love-part-15
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
karibu msagala furniture
karibu msagala furniture

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

Simulizi: MAPEPE **

majario rewards 100 Comments 0
 

NDOA YA MKEKA 03

majario rewards 100 Comments 0
 

.BABAMKWE epsd 19.

majario rewards 100 Comments 0
 

ALINIINGIA BILA IDHINI

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE..17..18

msagala rewards 100 Comments 0
 

bei sawa na bule

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 16

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest