๐๐๐DRAMA OF LOVE๐๐.
part 35
Siku ingine ukienda kuiba, hakikisha unaenda pekee yako๐. Otherwise kuna witness ๐. I don't know what it means ๐, lkn kwa uwezo wangu nadhan ina maanisha usiwahi trust mtu๐๐. Yes usiwahi amini yeyote mtu๐ญ. Who knew Brianna was just fooling me,, nani alijuwa apewe zawadi sahi๐ญ, after all those sad texts she sent me,,
Nilibaki kama nmeduwaa,, kwa mara ya kwanza akili yangu ilisimama,, haijawahi in my entire life๐. Should I go to Njeri's room?? ๐ค. Oh no, koz I had already told her that I wasn't going there๐๐ญ. Heri uibiwe kuliko ufanyiwe kama nilivyofanyiwa na Brianna aki๐ช. My ๐ wasn't happy at all ๐. Nikiwa najiliwaza nikijitia moyo kwamba siku moja nami ndamfanyia vivyo hivyo๐ช,, si walisema what goes around always comes round ๐ช. Kidogo nilianza kusikia sauti ya watu wawili kwa mlango wangu๐ฑ.
"So you guys have f*cked ๐ก, eeh hii ni madharau gani mnanifanyia?? " Sauti ilikuwa kama ya Njeri ๐ฑ. Nilitoka kwa bed mbio hadi kwa mlango, feelings zilikuwa zimeisha hata๐ช.
"Brianna it's you am talking to,, hivi ndo mmekuwa mkifanya? " Njeri asked..
Nilifungua mlango kuwakanya,,, kumbe Njeri hakuamin nilipomwambia asikuje kwa room yangu, kwa hiyo she was timing Brianna,, yani alikuwa akitoka kuangalia kama Brianna bado yupo sitting room๐๐. "Sky, umeamua mateso nmepitia nikiwa kwetu hayatoshi,, sasa ni kulala naye mm nikiwa hapo๐ญ๐ญ๐ญ,, what have I done to you to deserve this๐ญ๐ญ,? Tell me please" Njeri alitokwa na machozi ambayo yalifanya niumwe sana,, kwanza nikifikiria nilichofanyiwa na Brianna ๐ช๐ช๐ญ.
ME: Mama Maya โฃ๏ธ,, don't cry again please,, I'll explain everything to you ๐ญ. Actually it's not what you think dear๐๐.
NJERI: (alicheka machozi yakatiririka,,) Sky, ni nini cha kuexplain hapa surely,,si ametoka kwa room yako akiwa na bra pekee๐ญ๐ญ. What do you want to explain ๐๐ญ. Am going home now๐ญ๐ญ. Heri nitesekee kwetu basi๐ญ๐ญ.
ME: Njeri nimesema sio venye umefikiria ak,,, Brianna na wewe si umwambie๐ช๐ช.
NJERI: Nooh๐
๐
. There's nothing to explain here,, kama nimempata akivaa panty sahi,, bra ndo hii bado ako nayo,, Beb and you still have audacity to say "nothing has happened" ๐ญ.. bado unataka kukana๐ญ๐ญ??.
ME: Hey Brianna, why are you so silent Please,, si umshow hakuna kitu tumefanya๐ญ๐ญ. Sasa sahi ni sita usiku anaenda aje home๐ฑ๐ญ..
BRIANNA: SKY mm mtu asiniingize kwa mambo yenu please๐ช๐ช. Nmechoka nataka kulala๐ฑ๐ฑ.
ME: Umechoka??? Umefanya nini ndo uchoke?
NJERI: Yameisha Sky, it's like mm kukuja hapa ninawaharibia mengi๐ญ๐ญ. Fungua mlango niende๐. Usiniguze nakuomba tafadhali๐ญ๐ญ.
ME: Beb,, beb, please stop crying,, huendi mahali,, walahi hata mungu anajuwa hatujafanya kitu๐ญ๐ญ๐.
NJERI: Okay ametoka kwa room yako akiwa naked sindio??
ME: ๐ญ๐ญ๐ญ๐.
HER: Sky? What do you want to explain here?? What??
ME: Mama Maya,, I think you need to rest please,,, I promised you happiness in this house,, that's why I asked you to come over ๐ญ๐ญ. Sifurahii ukilia hivi ak๐.
Brianna alicheka akiwa kwa blanket๐ช๐ช.
NJERI: Brianna what's funny now?? I know wewe hujui kwann nilikam hapa๐ญ. Usidhan nilikuja kulala na skyโฃ๏ธ,, nilitaka furaha na time nzuri ya kusoma๐ญ๐ญ.
BRIANNA: Then why are you mad at him? Kama ilikuwa kusoma si lights ziko on, take your books and read๐ช๐ช.
NJERI: What's wrong with you Brianna,,, kwan imekuwa tuanze kutukanana tena๐ช๐ช..
BRIANNA: Nawewe nani amekuchokoza,, you better shut your mouth up you mad woman ๐ฑ.
I don't know what happened next๐ญ๐ญ. Chenye nakumbuka tu ni sauti ya Brianna akilia kama mtoto ๐. Zile kofi na mateke za flying kicks aliwekelewa ๐ Brianna amesahau Njeri the queen of mautamu is still the queen. Kabla sijaongea niliona njeri amesimamia vidole za mkono mmoja๐ฑ๐ฑ walahi ilibid Brianna aombe msamaha๐ฑ๐.
BRIANNA: Wuuuih ak usiniue please ๐ญ๐ญ.
Ni mm nilienda tu nikamg'oa Njeri akiwa juu yake,, alikuwa amemnyonga hadi Brianna amelegea mikono karibu anakufa๐ฑ๐ฑ๐ญ.
ME: Hey Beb please,,, hiyo imemtosha ak,, usimuue๐ญ๐ญ.
NJERI: Nyny ni kama hamjui uchungu wenye mm napitia na huyu mtoto wako๐ญ๐ญ๐ญ. Unajuwa naweza jiua nikuwachie haka katoto sky ๐ญ.
ME: Usiseme hivo jamani,,, mtoto ni wetu sisi zote๐ญ๐ญ. Trust me tommorow I will sent her away ๐๐. I understand your pain dear๐ญ๐ญ.
NJERI: Pain can only be felt,, it can't be understood ๐ช๐ช. I wish ungeifeel kuliko kuielewa๐ญ. As for you Brianna,, Kesho mrng, saa moja isikupate hapa๐ช๐ช. Hujanijuwa vizuri wewe๐ช๐ช. Goodnight ๐๐
ME: Can I come over to your room NJERI??
HER: I don't want to kill anyone when he's sleeping please,, just go to your room๐๐. My daughter is enough to warm me up ๐.
ME: Et kuua mtu๐ญ๐ญ๐ญ..
Asubuhi sote tuliamka kama Brianna ashaenda๐ฑ, hata hakuambia mtu๐ฑ๐ฑ. Hakuna aliyejuwa tym alienda๐๐.
NJERI: So she has gone without even informing us๐ค๐ค. SKY mm sikuwa na ubaya na yeye ๐. Lakn huo ulimi wake siku moja utakuja kumweka pabaya๐๐. Hajuangi kitu anasema na ni wakati gani๐๐. I hope she find a place in her heart to forgive me ๐.
ME: But you also have to learn how to know everything before you judge ๐๐.. for sure jana hakuna kitu tulifanya,, Brianna alibehave tu ivo ju anajuanga ulinichukuwa kutoka kwake๐๐. So kawaida yake huwa hataki tukiwa pamoja โฃ๏ธ๐๐.
"She didn't took you from me Sky ๐ฑ๐ฑ,, ni wewe ndo hukuwa unanipenda๐๐. Sisi wanadada ndo huwa tunajipoteza,, sijui kwann huwa tunashambulia wenzetu ju ya et alikunyang'anya BF ๐ช๐ช. Mwanaume anayekupenda kiukweli hawezi chukuliwa tu virahisi๐๐, okay mbna ulikubali kuchukuliwa na ulijuwa uko na mm??
"Infact hata ni wewe ulimchukuwa huyu Njeri kutoka kwa KAMAU ๐ช๐ช" niliskia Brianna akisema
KUMBE hakuwa ameenda,, alikuwa amejificha chini ya kiti et ndo askie tunaongea nini๐๐.
NJERI: Morning girl?,, aki am sorry for what happened yesterday ๐๐. Ilikuwa hasira tuโฃ๏ธ
BRIANNA: I should be the one asking for forgiveness from you Mama maya,, sikuwa najuwa uchungu ulikuwa nao๐ญ๐ญ. Hadi karibu uniue๐ญ๐ญ.
NJERI: Am sorry but also am not sorry,, huo mdomo wako mammy,, utakuja kukuweka pahali pabaya ak๐๐. Kama umejam ni heri unyamaze,, kuliko uongee matope๐๐โฃ๏ธ. Pole lakn๐๐.
BRIANNA: Leo ni Sky anaandaa breakfast,,, hakuna mtu umeoa hapa ndani ndo tukupikiange kila siku๐ช๐ช, never๐
ME: It's alright,, my Mom trained me well๐ช๐ช.....
Niliingia kitchen nikaamua kuwapikia pan cake ya mayayi, chipo kwa chai๐๐โฃ๏ธ. Nikiwa huko ndani nilihisi mtu akiniguza kwa mgongo๐๐. "Who's that touching me with soft hands?" Niliuliza Badala ya kujibiwa, nilifunikwa macho๐ฑ.
" Now sky,, guess who's this?"
ME:. Mmmmh Brianna najuwa ni wewe๐ช๐ช.
HER: Kila saa Brianna , mrng Briana,, afternoon Brianna,, jioni Brianna.. Si umuoe tu yaishe๐ช๐ช.
Kumbe alikuwa Njeri ๐๐.. "Najuwa ni Brianna anakuanga na hiyo kiherehere dear,, calm down ๐ค๐ค.
HER: ooh so mm kukufunika macho ni kiherehere sindio๐ช๐ช?
ME: Njeri please I beg you,, don't start it again ๐ก๐ก.
HER: Hata sijaanza already unataka kulia๐๐๐.. tulia baba.. okay sky. nmekam tuongee kitu na wewe๐๐.
ME: Mmmh๐ค๐ค,, hope si ya machozi tena๐๐.. anyway, maskio yote mawili nmekupa weweโฃ๏ธโฃ๏ธ..
HER: It's now two weeks since we closed up the school, right??
ME: Yaa exactly,, it's two weeks and 4 days๐๐.. mbna unauliza??
HER: Kwan huna hata brother ya mamako ama ya babako wa kukuja kukuona๐๐๐ญ... Hivi ndo utaishi jamani,, ๐ญ..
NJERI alinikumbusha mbali๐ญ.. wapi my uncle ๐ค๐ค,, Uncle Mike ๐๐.. mbna hajawahi kuja kuniona๐ค. Mbna??
NJERI: Hey dear,, I didn't say you start thinking about your Mom please,, but we must discuss about this,, you are only 17 โฃ๏ธ, kando na mm na BRIANNA, bado unafaa uwe na mtu wa kukushughulikia ak๐โฃ๏ธ..
Kabla hajamaliza kwa mlango mtu akabisha,, "who are you?" Brianna aliuliza akiwa kwa sitting ๐๐.
Kumbe alikuwa yule askari rafiki yanguโฃ๏ธโฃ๏ธ.
ME: Oh my goodness ๐,, welcome Sir โฃ๏ธ.
HIM: Didn't I tell you not to approach me as Sir.. am like your elder brother.. just call me ISAA ๐. In full ni Isau ๐๐.
ME: Okay Sir,, ah sorry, it's just that I respect you so much ๐๐.
HIM: Don't respect me๐๐..
NJERI: hahaa welcome โค๏ธ.. please have a seatโฃ๏ธ.
HIM: Thank you ๐.. so sky how have been๐ค๐ค. Where's is your report card??
ME: Bro is it a must you see it??
HIM: No I have been sent by the inspector ๐๐.. he wanted to know if you picked up in education โฃ๏ธโฃ๏ธ.
I handed my report card to him๐. After he looked at it for a couple of minutes,, he smiled ๐ค๐ค.
HIM: Wowโฃ๏ธ. Can I ask you a question??
To be continued.... NJERI the queen of mautamu aki๐ฑ๐ญ๐.