Don't make yourself too big because you are not too smallβ£οΈ. Ridhika jinsi ulivyo, imgn hata sindano ni ndogo lakn inashona nguo za bei kaliππ..?
NJERI: I don't love him,, we love each other soooo muchπβ£οΈ.
ME: bri you see nowππͺ,, have you heardππ.
BRIANNA: Yes I have heard herπ.. So?? Robby has already proposed to me β£οΈ,, mbna nikudanganye sasa,,
Kwan kwa huo wakati hawa wote wamekuwa pretenders π.. I thought Brianna loved me, why did she give in for Robby so fast like that πͺ..
ME: So you don't love me anymore right π..??
BRIANNA: Toa hiyo anymore Sky, I didn't love you at allπͺ.. you know why? Wewe hujawahi kuwa na msimamo dear,, mara ni mm mara Ni Njeri, aaih am sorry to say this but I have to ππ.. kuanzia ile day Njeri alinipiga na hukumfanyia kitu, nilijuwa kwako sina changu π.
ME: Why are you saying all these Brianna, it's okay byeπͺπͺ.
That day I didn't talk to anyone except Kamau π.. my heart felt so broken πͺ.. but why didn't she tell me earlier π€. DRAMA OF LOVEππ..
A week later nikiwa Lab nimemind my own business π.. Nancy came and sat infront of my experimental tableπ.
HER: Now days they act as if they haven't seen usπͺ.. am not Brianna please,, salimia watu πͺ
ME: Are you mocking me or what?? Umetumwa sindio? Tell her that pia nishamove onπͺ.
Nancy: Hey calm down,, who sent me?
ME: That Brianna of yours, who else?
HER: Stop engaging me in your personal problems sky, is bri yours or mineπͺ. Anyway it's like am bothering you, bye byeπ
ME: Bye..
Nilichezacheza na titration pale moja mbili nikiwa bado nafikiria kuhusu my recent break up with Brianna π.. So what does Robby has that I don't have? Yan kuwa msanii pekee ndo imemfanya Brianna amkubali haraka ivoπͺ.. Wait I'll show them π.. nilichukuwa kalamu na kuanza kuandika song ya mine πͺπ. Kama watu wanadhani ni wao tu ndo waimbajiπͺ,, watashangaaπ.
Niliandika lines tatu kisha nikaanza kupracticeπͺ.. kidogo nikasikia watu wakiulizana nje ya dirishaπ€.
VOICE: NgΓ i kwan frogπΈ aliingia kwa Lab π±.. nini hiyo inafanya? Ama kuna mtu ananyongwaπ±π±? Ebu tupande kwa dirisha tuangalieπ.
Eeish wasee, ilibidi nmejifichaπ. Eti churaππ. Siku zilisonga, but Nancy didn't give up on me, she kept coming to me every now and thenπ.
Nancy: So sky, can I ask you a question?
ME: Go on. .
Nancy: Am I the one who broke your heart or Brianna? Why are you avoiding me like this,, mm sina ubaya na wewe,, si mwenyewe ulinambia et nikiwa na any issue nikuwe free kukuulizaπ.
ME: Am not avoiding anyone here,, they way you approached me last time wasn't goodπͺ.. it's like you are happy to see us apart right?
HER: Why should I be sad, Sky maybe you don't know how I feel about you β£οΈ.. I mean.....
BRIANNA akaingiaπͺ.
ME: what do you want??
HER: Nothing πͺ (looking at Nancy angrily π‘) I see people are taking advantage of others hereπͺ. Wee excuse us and please sitaki kurudia tenaπͺ
Nancy: bri mind how you talk to people πͺ.. usinione mm ni mwembamba ukanidharauπ.
BRIANNA: Hii nguvu ya kunijibu unatoa wap wewe,, (alimshika tai) mnaongea nini na Sky??
Nancy: (alimsukuma huko) Hehee wewe Brianna hunijui vizuri πͺ. I'll show you, wacha nirudiπ±.
BRIANNA: Nitolee mwili machoni mwangu haraka,,, Alfu wewe,, So ushamove on already sindio??
ME: How does that bother you Brianna,,, how does it concern you??
BRIANNA: Sky hata mtu huchukuwa tym ya kurecover kwanza ndo amove on surely? Why are you doing this?
ME: Time ya kurecover,, so ulijuwa tu umeniheartbreak sindio??
HER: Okay that isn't what brought me hereπ.. Why are you avoiding me nowdays ?
ME: Am not avoiding or ignoring anyone hereπ. I just want to gave you space and time to enjoy with your new boyfriend.. so wacha kucomplicate mambo hapaπ±πͺπͺ.
HER: If it's like that,, then Why did you refuse to go with us kwa kina Robby,, why?? SKY sema tu you are jealousy of meπͺπͺ..
ME: Umemaliza ama bado??
HER: Waah,, kwan nilifanya vibaya kupendana na Robby??
Nancy akafika akipiga mpinja,, alitembea round moja kwa Lab then akarudiπ€π€..
ME: Nancy? We're done, unaweza come twendelee na storyππ.
BRIANNA: Done with who,, no one is coming closer to you todayπͺ.. nashinda na wewe hapa ad jioniπͺ.
ME: So pia uko na wivu na sisi??
HER: whatever you will call itπ. What about NJERI?? Si nilikuwa nadhani unampenda yy kuliko mmπͺ. Mbna unanionea mm wivu pekee??
ME: Brianna nilidhani hii topic iliishaπͺ. Siku tatu pekee surely mshapendana,,,, ni nini uliona kwa Robby yenye hukuwahi ona kwangu kwa huu mwaka mmojaπ€.
HER: Yameisha sasa,, tusiongelee mtu mwenye hayuko hapaπ.
ME: Kwan NJERI ako hapa? Mbna umemwongeleaπͺ.. akh! Just go unanidisturb please, I want to revise π.
I don't know why bri was always mad at nancy kila time akituona pamoja,, she could even beat her up π..
Nancy: Sky kwan bado mko pamoja na huyu Brianna?
ME: Why? Leave her alone,, as long as mm na wewe si malovers, why is that eating up your mindπ.
Nancy alionekana kuboekaa after kusema sisi sio malovers,, alinyamaza for 3minsπ.
ME: Why are you silent ,, has she beaten you again??
Nancy: Sky if I ask you a question, will you answer me?
ME: Why don't you ask first then I'll choose whether to answer it or notπ.
Nancy: Nyinyi huwa mnajuwa aje kama dem ako in love na wewe π€π€.. and how long do you take to notice those signsππ..
ME: π€swali lako limenipata offguard .. give me like two mins I'll answer you..
Nancy: No worry , hata ukitaka week moja nitakupa, bora unijibuπ.
ME: Okay, nipe hadi jioni basiβ£οΈ.
Nilishinda kama nmefikiria, mbna akaniuliza ivo? Ilibid nikamuuliza Kamau pia,, hiyo jioni mtoto alirudi tenaπ.
Nancy: Time siku hizi sijui huwa inakimbia ikienda wapπ.. am here again π
ME: Okay, why did you ask that question π€.
HER: I just wanted to know π. Nothing elseπ€.
"Well, huwa tunajuwa dem ako in love na sisi kama,,,, She smiles at us kila tym tukimwangalia......She gives all her attention to usβ£οΈ,, Always she wants to spend time with us... Share her deep secrets including her last break up venye ilikuwa hurting sana,, .. Then lastly, hata kama ako busy, ukitaka kumwona huwa lazma anapata time ya kujaβ£οΈ hapo direct unajuwa dem ako in love na weweβ£οΈ" are you satisfied now?
Nancy: So nataka uniambie,, Ni nini sijafanya hapoπ..
ME:.......
To be continued........