ENDELEA.........
Baada ya kuona mambo yako vile vile alijchukua simu yake na kumpigia nesi na simu ilipokelewa mda huo huo.
"Oscar!"
"Nesi sipo sawa nahisi naelekea kukata moto!"
"Kuna nini tena Oscar? kwanza punguza plesha ili uniambie vizuri!"
Oscar alimwambia ukweli nesi pasipo kumficha na jinsi alivyokuwa akisikia maumivu makali kwenye mwili wake.
"Unajijua kabisa unamatatizo kwanini unafanya map...nz mda wote Oscar jamani!?, utakuwa sawa tu ila jaribu kwenda kuoga na kama utaogea maji ya baridi itakuwa vizuri zaidi, pia utumie vile vidonge unavyokunywaga"
"Nimeshatumia!"
"Basi nenda ukaoge kwanza!"
Oscar alikata simu na kwenda bafuni kuoga.
Huku kwa binti mwenye zigo aliyetoka kuzaga...mua na Oscar alikuwa kwenye mawazo mazito, kwenye maisha yake Oscar ni mwanaume wa pili kula..la naye ukiachana na mme wake na kilichokuwa kikimchanganya ni jinsi Oscar alivyokuwa akiunga...nisha safari ikiwa mmewe huchukua mda mrefu kwenda round nyingine akishamaliza mzu...nguko.
"Wewe unatoka wapi huko!?"
Sauti kali ilimtoa kwenye mawazo na alipotazama mmewe alikuwa akija upande wake na ndiye aliyemuuliza.
"Nilienda kwa fundi mara moja kuangalia kama atakuwa kamaliza kushona nguo yangu!"
"Nilikutuma wapi!?"
"Kwa bibi!"
"Wewe ukaenda wapi!?"
Binti alikaa kimya.
"Stella nitakupiga!?, naona umeyakumbuka makofi yangu!"
"Nisamehe mme wangu!"
"Nenda haraka kwa bibi na ole wako nirudi nyumbani nikute hujarudi!"
Alitoka haraka na kuelekea sehemu aliyotumwa.
Upande wa Oscar alikuwa tayari ameshamaliza kuoga na kidogo maumivu yalipungua kwa mbali, alijitupa kitandani na mda huo huo nesi alimpigia simu ila hakutaka kuipokea zaidi ya kuizima na kulala.
Usingizi ulimchukua na masaa matatu mbele alishituka kutoka usingizini baada ya mlango kugongwa na kuamka huku maumivu akiendelea kuyasikilizia kwa mbali, taratibu alitembea mlangoni na kuufungua mlango na mtu aliyekuwa mlangoni hakuwa mwingine zaidi ya Stella.
"Sipo sawa rudi utaku...ja kesho asubuhi!"
"Mmmh aya kaka!"
Stella aligeuka na Oscar aliyaangalia mak..alio yake na kuulaumu mwili wake kwa kumuuma vinginevyo show ingepigwa.
Ile Stella anapiga kona aki...toka lodge alikutana na mme wake akiwa na mwanamke mwingine tena wameshikana mikono kabisa.
"Na wewe hapa unafanya nini!?"
Stella aliulizwa ila aliamua kumgeuza swali mmewe.
"Huyo nani na unaenda naye wapi!?"
"Sio lazima kujua nenda nyumbani na ole wako nisikukute!"
Alikubali kuondoka ili kuepusha maneno na kitendo cha yeye kuondoka mmewe alizama ndani ya lo...dge akiwa na mchepuko wake.
Siku iliyofata Oscar alianza safari ya kurudi nyumbani kwake ili akajipange upya kumtafta Mary aone kama atapona na alifika na kupokelewa na Vero.
"Mme wangu umefanyikiwa kujitibu!?"
"Angalia mwenyewe!"
Oscar alikaa kwenye kochi na Vero alimsogelea na kuchungulia ndani ya sur...uali yake na kuukuta mnara unasoma kama kawaida tena internet ikiwa ni 5G.
"Mmmmh pole sana, uliongea na Bon!?"
"Bado kwani vipi!"
"Jana alikuja kunitembelea nikajua uliongea naye!"
"Huyu naye mambo gani tena ya kuja kunitembelea huku anajua sipo kabisa!"
"Mmmh ila simshiriki mwenzako wa kibiashara au wasiwasi wako nini!?"
"Sio vizuri tu ila nitaongea naye"
Oscar alijibu.
Siku iliyofata aliianza kazi ya kumtafta Sister Mary, kwa kiasi flani alitaka kuacha kumfukuzia ila alivyokumbuka maneno ya mganga wake ya kuhakikisha anatemb...ea nao wote aliowahi kuwa nao kwenye mahusi...ano mpaka pale atakapompata aliyemloga hakuwa na namna zaidi ya kuhakikisha kazi inafanyika.
Alienda mpaka kwenye parokia aliyokuwa akifanyia kazi Sister Mary na kumuulizia ila siku hiyo hakuwepo na alipojaribu kumpigia alikuwa hapatikani kabisa.
Siku iliyofata ilikuwa ni siku ya jumapili, siku hiyo aliamka asubuhi na mapema na kujiandaa vizuri na kuchukua usafiri mpaka kwenye parokia anayohudumu Sister Mary.
Misa ilikuwa imeshaanza na siku hiyo Oscar hakuvaa buga zaidi ya kulibana run..gu lake ili asisababishe so na kuingia ndani ya kanisa, macho yake yalitua mbele walipokuwa wamekaa masister na vitambaa vyao vyeupe vichwani aone kama atamuona Sister Mary.
"Kijana tafta siti ukae!"
Kuna mzee alimwongelesha na Oscar alisogea mpaka upande wa mbele na kukaa kwenye moja ya benchi na pembeni ya benchi hilo kulikuwa na binti mweupe peeee!.
Macho ya Oscar yaliendelea kuwatazama masister waliokuwa upande wa mbele na ilikuwa ngumu kwake kumuona sister mary kutokana na wao kumtegea visigo.
Oscar alikuwa haelewi kitu zaidi ya kufatisha kila kilichokuwa kikifanyika, kwenye kupiga magoti atapiga kwenye kusimama atasimama yote asionekane hajui kitu na ni mvamia tu wa dini ya watu ila alijisahau na kujikuta akisimama peke yake na binti cheupe aliyekuwa amekaa naye alimvuta chapu nakumkarisha chini na kumuuliza kwa sauti ya chini.
"Ni mara yako ya kwanza kusali romani?"
"Eee!"
"Ndio maana"
Misa iliendelea na mda wa kutoa sadaka ulipofika alinyenyuka na kutangulizana na binti cheupe huku akiwa kasimama nyuma yake, saa ngapi mta...limbo usichomoke sehemu ulipokuwa umebanwa na kuanza kumgusa gusa binti kwa nyuma na bahati mbaya kwa Oscar akili yake yote ilikuwa kwenye kuwatazama masister wote waliokuwa wamekaa mbele, walifika mpaka upande wa mbele kabisa na macho ya watu waliokuwa wamekaa mbele yalitua kwa Oscar aliyekuwa kadi..ndsha huku akiwa hana habari kabisa zaidi ya kulisogelea sanduku la sadaka na kutoa huku akiendelea kuwaangalia masister waliokuwa pale mmoja baada ya mwingine na bahati nzuri alifanikiwa kumuona Sister Mary ambaye naye alibaki mdomo wazi kumuona Oscar kaja kusali ila mbaya zaidi akiwa kasimami.....sha wima tena mbele ya kanisa...........ITAENDELEA.
Full Tsh 1000, WhatsApp 0613083801
Namba za Malipo ๐๐๐๐
0613083801 HALOPESA JINA JOHN
0748697173 M-PESA JINA JOHN..
   
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.