, alijua kile ambacho kilimleta sister wa watu ila hakuwa na mda wa kumtafta kutokana na mawazo aliyokuwa nayo, bado aliendelea kuwaza mtu aliyemtupia libwata na bahati mbaya kwake pesa zilikuwa zimeshapungua kwa kiasi kikubwa baada ya kutumia kiasi kikubwa cha pesa na mda huo huo Grace alimpigia simu na Oscar akaipokea.
"Mambo!"
"Poa!"
"Unamda uje hapa nyumbani!?"
"Hapana sina mda kwa sasa!"
Oscar alikata simu na kuamua kumpigia Bon na kumuuliza sehemu alipo.
Bon alimwambia yupo kwake anapungwa upepo hivyo Oscar alimuaga mkewe nakwenda kwa Bon.
Alifika na kukaribishwa vizuri tu na jamaa wake mpaka ndani ila mke wa Bon mda wote alikuwa akimwangalia Oscar ili kuhaki...kisha kama kweli mtali...mbo wake utakuwa umesi...mam kama alivyowahi kuambiwa na mmewe? ila nahati mbaya hakufanikiwa kuuona kwakuwa Oscar alikuwa kakaa na kaubana vizuri.
"Dah, biashara sasa ivi haiendi vizuri ndugu yangu kabisa toka wewe usimame mzunguko wa pesa umekuwa mdogo ila ngoja nikakuchukulie pesa unazozihitaji!"
"Basi sawa twende wote!"
"Hapana wewe kaa tu unisubiri nakuja chapu!"
Bon hakutaka kuongozana na Oscar kabisa, aliondoka na kumwacha nyumbani kwake na Oscar alitulia zake kwenye kochi na kuelekeza macho yake kwenye tv na baada ya mda mke wa Bon alimsogelea.
"Shem pole!"
"Pole ya nini shem!?"
"Bon aliniambia kila kitu!"
Oscar alijiongea na moja kwa moja alijua anaongelea habari za mpi...ni wake kusim...am mda wote pasipo kupumua.
"Nimeshapoa shem!"
"Ila sisi wanawake tuna roho ngumu jamani!?"
"Acha tu nimeshaichoka hii hali na kama sio dawa ninazotumia basi nisingekuwa hai!"
"Mmmmh pole ila ngoja nitajaribu kukutaftia dawa kwa bibi yangu ila usije kumwambia Bon maana ataanza kufikiria mengine hapa namjua vizuri alivyo na wivu!"
"Haina shida!"
"Niandikie namba yako!"
Oscar alichukua simu na kuandika namba na baada ya hapo alimrudishia simu yake.
Alichowaza yeye ni kusaidiwa tu na sio kitu kingine, walizidi kuongea mpaka pale Bon aliporudi na kumpatia pesa Oscar aliyeondoka na kurudi nyumbani kwake.
Alipofika alichukua kiasi kadhaa cha pesa na kumpatia Vero akimtaka akitumie vizuri na mida ya usiku akiwa amelala kuna binti alikuja kwenye kichwa chake, ni binti aliyemwa...chia maumivu makali pale tu alipovunja naye mahusiano na katika kuwaza kwake kumbu kumbu zilimpeleka mwaka mmoja nyuma alipoenda kijijini kwao kumpumzisha bibi yake kwenye makazi yake ya milele.
Huko alikutana na binti aliyekuwa akiitwa Chausiku na kujikuta akiingia naye kwenye mahusiano, aliikumbuka vizuri siku ya aliyombikr chausiku na kumpa ahadi ya kumuoa mwaka unaofata lakini hakufanya hivyo na alikata mawasiliano kabisa baada tu ya kufika mjini, machale yalianza kumcheza Oscar akizingatia vijijini kuna imani kubwa ya kishirikna kuliko hata mjini.
"Mmmmh inaweza kuwa ni yeye!"
Oscar aliwaza na kuanza kufanya maandalizi ya kwenda kijijini na siku mbili mbele aliianza safari ya kwenda kijijini na kufikia kwa ndugu zake.
Wengi walijua kaja kuwatembelea kumbe ana majanga yake na yeye, walimkaribisha kwa bashasha na Oscar kabra hata hajakaa swali la kwanza kuwauliza ni kuhusu Chausiku kama bado anaishi kijiji.
"Chausiku yupo ila kijiji kizima kimemdharau!"
"Kwanini shangazi!?"
"Alizalishwa na mwanaume ambaye hata hajulikani"
"Duh!"
Oscar aliguna na kuamua kwenda kuonana na Chausiku baada ya kupewa taarifa zake.
Oscar aliondoka na kwenda kuonana naye na Chausiku baada ya kumuona hakutaka kabisa kumsemesha.
"Chausiku!"
"Nini!?"
Oscar alimsogelea karibu na kutaka kumshika ila Chausiku hakutaka kushikwa kabisa.
"Najua unahasira na mimi chausiku nimekuja tuyamalize!"
"Ulifurahi kwa ulichonifanyia!?, umeniharibia maisha kwa kunidanganya kuwa utanioa kumbe hamna mwisho ukanipa mimba na kunifanya familia yangu pamoja na kijana aliyekuwa na mpango wa kunioa aniache!"
Oscar alikuna kichwa kwanza na kusimama vizuri na moja kwa moja alianza kuamini Chausiku ndiye aliyeufanyizia mtali...mbo wake ukawa unasima...m mda wote.
"Nakubali nilikudanganya ila hukutakiwa kunifanyia ivi angalia ilivyo sasa ivi!"
"Niangalie nini!?"
"Acha basi Chausiku unajifanya hujui wakati wewe ndiyo uliyenifanyizia ikawa inasima...ma mda wote na haizimi!"
"Sijui unachoongea na sihusiki na hicho unachokizungumza!"
Chausiku aliongea na kugeuka kwa ajili ya kuondoka ila Oscar alimzuia na kuendelea kumbembeleza aweze kumsamehe na amrudishe kwenye hali yake ya kawaida ila bidada aligoma kabisa na kukana kuwa sio yeye.
Oscar aliweka mitego ya kila aina ili tu Chausiku akubali kuzagamuana naye lakini mambo yalikuwa yale yale, Chausiku alikataa katakata kufanya na Oscar huku akiendelea kumsisitizia kuwa hausiki na juju aliyopigwa na hali ile ilimfanya Oscar atoboke kwa shangazi yake ukweli wote maana aliona akizembea ataenda na maji........ITAENDELEA..
   
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.