Baada ya miaka 12, James Howells hatimaye ameacha kutafuta hard disk aliyotupa kwa bahati mbaya mwaka 2013 ambayo ilikuwa na Bitcoin 8,000 — ambazo kwa sasa zina thamani ya takribani dola milioni 950.
Ifikapo mwaka 2030, thamani yake inaweza kufikia dola bilioni 8 sawa na shilingi Trilioni.2.47 za Kitanzania..
Ungekubali kupoteza utajiri huu..?
✍️🏽@adabu__
#entertainment.
   
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.