Mtunzi: @★™ Simulizi za Abuu lion ✓
№0685086201
Yule dada akambusu mtoto wake mchanga baada ya kumtelekeza pale chini na kusimama, kisha akaondoka akiwa anarudia kugeuka na kumtazama mtoto wake kwa uchungu sana. Nilichuma majani mabichi na kujifuta kinyesi nilichokuwa nimekikalia maana kilikuwa kimetapakaa kwenye makalio yangu.
"Weee dada, simama hapo hapo ulipo tena tulia!" nilisema kwa sauti ya ukakamavu huku nikimkazia macho. Yule dada alishtuka na kuogopa kwa hofu sana.
Nilipomaliza kujifuta kinyesi kwa majani, nikamsogelea na kumpiga kibao kizito sana. Yule dada aliona aibu na kuanza kulia huku mkono wake akiwa ameweka shavuni.
Nikamuuliza, "Eheee, kipi kimepelekea mpaka kumtupa mtoto kwenye eneo hilo ambalo hawezi kupata msaada?" Yule dada hakuweza kunijibu, zaidi aliendelea kulia. Nikaona huyu bila kumfanya mfano hawezi kunielewa, maana hata sisi bila wazazi wetu kukaza na maisha wasingetulea tukakua. Sasa kwanini huyu anataka kumtupa mtoto? Nilimkamata yule dada na kuanza kumpiga makofi mazito yasiyo na idadi. Sikuridhika, nikatoa mkanda kiunoni kwangu na kumchapa nao maeneo mbalimbali ya mwili wake bila kujali. Hakika yule dada alilia kwa uchungu akiwa anagaragara chini akiomba msamaha.
Kipigo nilichompiga yule dada hawezi kunisahau mpaka anaingizwa kaburini. Lakini kadri nilivyokuwa nikimshushia kipigo kizito kilichopelekea mpaka kuanza kuvuja damu mdomoni, nilikumbuka kuwa kwa kuwa mtoto wake ni mchanga sana, huenda huyu dada hana muda mrefu tangu ajifungue — huenda bado anakidonda. Nikaamua kumuacha kisha nikamwambia, "Haya, kamchukue mtoto wako haraka!" Yule dada akamfuata mtoto wake alipokuwa amemuweka, kisha nikamchukua mpaka kando kidogo ya barabara, nikamkalisha chini na kuanza kumuuliza maswali.
Yule dada akaanza kwa kusema, "Kaka, najua nimekosea sana kitendo cha kumtupa mtoto wangu, ila sikuwa na njia nyingine."
Nilimkazia macho na kumwambia, "Ebu nieleze kwa ufupi ilikuwaje mpaka kupata ujasiri wa kumtupa mtoto? Kwanza wewe unaitwa nani na unatokea kijiji gani? Maana ni mgeni machoni mwangu."
Dada akafuta machozi na kusema, "Naitwa HUSNA, nimetokea MTONGOLE, kijiji cha tatu kutoka hapa. Nimeona nikitupia mtoto huku itakuwa rahisi mimi kutojulikana. Na bila kukuficha kaka yangu, kilichofanya nikamtupa mtoto huyu ni kwa sababu ya baba yake kunifanyia tukio la kinyama ambalo sitamsahau mpaka kufa kwangu — yaani mpaka naingizwa kaburini."
Yule dada akaweka kituo na kuanza kulia mpaka nikamuonea huruma aisee. "Dada, mimi nipo, nitakusaidia, niambie tu wala usinifiche."
Yule dada hakuwa mkubwa — yaani ni msichana nadhani hata miaka 19/20 bado hajafikisha. Akaweka tafakari usoni na kusema, "Kaka yangu, naona uchungu sana ila acha tu nikuelezee. Yule mwanaume amenifanyia matukio mengi, nimemsamehe, ila tukio hili linaniuma sana. Tukio hilo ni, kuna siku nikiwa natoka kazini — maana mimi nilikuwa nafanya kazi kwenye kiwanda cha mabondo ya samaki — nilikuwa narudi usiku. Sasa nimetoka kazini siku hiyo sikumkuta nyumbani, nilijua ametoka, basi nikawasha moto na kuanza kupika chakula cha jioni. Hapo nilikuwa naishi naye kwake alipopanga nyumba maana nyumbani kwetu walinifukuza baada ya kupata mimba ya huyu mwanaume na kuacha shule. Na yeye akanitafutia kazi kiwandani, na hakutaka mimi nizae naye hivyo alinifosi nitoe mimba yake. Nami sikuwa tayari kabisa kutoa mimba maana nyumbani kwetu hatutoi mimba.
Basi nikiwa naendelea kupika siku hiyo, nikasimama ili nifate sufuria la kupikia ugali. Ghafla kipindi narudi, namkuta yule mwanaume akiwa amesimama karibu na mboga ambazo zilikuwa zikichemka muda huo. Tena amekunja sura na hakuwa peke yake, alikuwa na mama yake — yaani mama mkwe wangu. Si mzee sana ila ana umri uliosogea kidogo, na sikujua walikuwa wakizungumza nini. Basi nilimsalimia mama mkwe lakini hakuniitikia, kisha (akasonya) na kuondoka. Mmh nilihofia sana, na baada ya mama mkwe kuondoka, mume wangu hakutaka hata kusalimiana na mimi. Zaidi alisema, "Husna, nahitaji (kukutomba)." Mmh nilishangaa sana — hata kama ni kuomba, si hivyo, tena kibabe kabisa na sio kawaida yake.
Basi niliomba niipue mboga jikoni kwanza, maana ni wajibu wangu kumpa mume unyumba au (tendo) la ndoa. Hivyo niliipua mboga na kuelekea chumbani.
Dada akameza mate na kuendelea, "Basi baada ya kufika chumbani (nikavua) nguo na kuwa tayari kwa kumpatia unyumba. Na siku hiyo mume wangu alinichezea sana (kimahaba) na sio kawaida yake. Nami nilikuwa tayari kumpa, haijalishi, na hapo mimba ilikuwa na mwezi mmoja tu. Sasa ghafla nikiwa naendelea kupokea raha za kuchezewa na mume wangu, ghafla nilihisi maumivu makali sehemu za (siri). Nilistuka, na mume wangu alinibana kwa nguvu sana kama dakika 3. Nilikuwa napiga kelele mpaka nikazimia. Baada ya muda mfupi, nakuja kuzinduka, najikuta nipo hospitali ndani ya chumba cha matibabu. Pembeni yangu akiwepo daktari akiendelea na matibabu. Nilipata ujasiri wa kumuuliza, "Daktari kuna nini?"
Daktari hakunificha, akasema, "Pole sana dada. Umeletwa hapa ukiwa umezimia, na tulivyokufanyia uchunguzi tumegundua ulipachikiwa kitu chenye mfano wa (uume), yaani (uume) bandia ila ni kikubwa zaidi ya (uume) ambacho kimezamishwa na kusababisha kukuchana (ukeni). Na baada ya uchunguzi wa kina tumegundua pia ndani ya (uke) wako kulikuwa na kemikali ijulikanayo kama Mercury compounds (kemikali za zebaki) ambazo zingeweza:
Kuchoma mlango wa kizazi (cervix)
Kuungua kwa ukuta wa (uke)
Kuvimba na maambukizi makali (Pelvic Inflammatory Disease - PID)
Kuwahi kupoteza uwezo wa kushika mimba (infertility)
Kusababisha mimba kuharibika (miscarriage)
(Kifo) cha mama au mtoto kwa (sumu) kuingia kwenye damu
Yule dada akaweka kituo na kushusha (kilio) kizito, akasema, "Kaka, siwezi kuendelea kukusimulia, (naumia sana)..." Nilijikuta mpaka mimi nashusha machozi aisee.
Itaendelea...
Jamani msisahau kulike na kutoa maoni, asanteni..