Kupitia kwenye akaunti yake ya Instagram msanii wa Bongo Fleva @realjaymelody ameonyesha kukerwa na mtu ambaye hakumtaja jina ameishia kutaja Kipara chake.
Kila wakati unaleta leta miyeyusho na kipala chako
Watu wanakausha kwa sababu wanakuona kama chizi.
Lakini nakuapia kuna siku utayavagaa halalu utajutia sanaβ
Unahisi Ujumbe wa Jay Melody unamlenga nani??.
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
Kupitia kwenye akaunti yake ya Instagram msanii wa Bongo Fleva @realjaymelody ameonyesha kukerwa na mtu ambaye hakumtaja jina ameishia kutaja Kipara chake.  >>> https://gonga94.com/semajambo/kupitia-kwenye-akaunti-yake-ya-instagram-msanii-wa-bongo-fleva-realjaymelody-ameonyesha-kukerwa-na-m
Maoni
Click here to login and comments