Ingia

Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track

𝐋𝐎𝐌𝐋 (𝑳𝒐𝒗𝒆 𝒐𝒇 𝒎𝒚 𝒍𝒊𝒇𝒆) ❣️:05

24th Aug, 2025 Views 5


Yeye ndiyo mpenzi wa maisha yangu. Siku ya ndoa yangu ndiyo namuona mwanamke wa maisha yangu. Unaweza kucheka hata, wewe nicheke tu ila hapa sasa nipo na mke wangu kila nikimkukumbuka yule binti ndiyo nachanganyikiwa, natabasamu ovyoovyo akili yote kwake.

Mpaka tunapiga picha akili yangu haipo kusema kweli, muda wa ukumbini umefika mimi hapa moyoni kwangu na akilini kwangu nawaza kuhusu mtoto mzuri niliyemuona kanisani. Kitu pekee nakumbuka ni tabasamu lake, na macho yake ni kama alikuwa ananitazama mimi vile hata nikawa natabasamu tu kijana wa watu. Rodricky mimi nilikuwa nimechanganyikiwa.

Gabriella kadri anavyo deka mwilini mwangu, namna ananisogelea naona ananisumbua tu. Ingawa sherehe ilikuwa nzuri, ilipendeza, baba na mama yangu walitupatia nyumba mpya kama zawadi ya kuanzia maisha nyumba nzuri sana.

Huku familia ya mke wangu wakiwa wametupatia pesa za kutosha, yaani ni kama familia zinafanya mashindano vile. Watu wana furahia lakini kwangu mimi maisha ya maonyesho hivi sio maisha yangu. Napenda kuishi maisha yangu nipambane niishi kile najaliwa na sio kuishi kwa kuona tayari nina kila kitu sipendi.

Basi mambo yalikuwa mazuri sana, mke wangu Gabriella kila muda utasikia “mume wangu!!, Mume wangu, Mume wangu!!”

Mpaka napata hasira ni kama kitu ambacho alikuwa anakitaka kimetimia. Ni mwanamke wa majigambo na majivuno sana. Ni mwanamke anayejisikia sana, anaona kila kitu ni chake kwenye hii dunia.

INAENDELEA..
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

𝐋𝐎𝐌𝐋 (𝑳𝒐𝒗𝒆 𝒐𝒇 𝒎𝒚 𝒍𝒊𝒇𝒆) ❣️:05  >>> https://gonga94.com/semajambo/loml-love-of-my-life-05

#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Maoni

You're not logged in
Click here to login and comments
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
gonga94 official track
ZETU
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

RATIBA YA SIMULI ZETU

Ratiba ya Simulizi

  • PAKA WA MAMA KIZIBO SEHEMU YA TATU. 25-08-2025 05:55

Ratiba ya Simulizi

  • PAKA WA MAMA KIZIBO SEHEMU YA SABA 25-08-2025 07:00

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest