Ingia

Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track

𝐋𝐎𝐌𝐋 (𝑳𝒐𝒗𝒆 𝒐𝒇 𝒎𝒚 𝒍𝒊𝒇𝒆) ❣️:07

24th Aug, 2025 Views 6


Nikiwa nimekaa namuwaza mpaka natabasamu, Gabriella aliniita “Baby, Husbae, njoo please!!”
Nikaitika nikisema “Am coming wifey!!”
Nasema hivyo mdomoni moyo hautaki, sijui hata unanielewa. Simuoni mke wangu tena kama ndiyo ninayepempenda, hayupo moyoni mwangu kabisa naona kero tu.

Sihisi kumpenda, nimegundua sasa kuwa mwanamke ambaye anaenda kuwa mke wangu wa maisha yangu yote mpaka kifo kitutenganishe sio mwanamke ambaye mimi ninampenda. Roho yangu imeumia sana, simpendi mke wangu, kuna mwanamke ambaye nimemuona ndiyo naona yeye ndiyo mapenzi yangu yote. Nitafanya nini sasa mimi.

Basi niliingia bafuni, mke wangu ni mrembo sana. Anavutia kila mwanaume ambaye ni rijali na atapita mbele yake lazima tu utakubali ni mzuri, ila ndiyo vijitabia vyake sasa mimi kwangu hapana mwingine kwake inaweza kuwa ndiyo na lingine ni kuwa tu moyo una macho na haujamuona yeye kama mke na sasa nimekutana na nini moyo wangu unataka natabasamu kila dakika kila muda bila kutaka mwenyewe.

Mke wangu, alinikumbatia kwa upendo, akanisogelea na kusema “baby wangu, umechelewa. Nakusubiri kitandani mpenzi, leo mimi ni wako, wako peke yako, bila shaka tutakuwa na usiku mzuri sana.”
Kabla sijasema lolote alinibusu mdomoni.
Nilimtazama tu, simfurahii tena. Kuna mambo na vitu vingi sana, kuhusu mimi na yeye, lakini kiukweli kabisa moyo wangu haumuoni kama mke na hii mimba imefanya leo nipo fungate kwasababu wazazi wetu wametaka.

Nilioga, na baada ya kumaliza niliendelea kupoteza muda bafuni, nilipotoka sasa nikakuta mke wangu sasa amevalia nguo ya kulalia nzuri kabisa, amevalia vitu vizuri, anatabasamu, nilimtazama na kutabasamu nikisema “umependeza sana Gabby!!”
Alitabasamu na kusema “kwaajili yako Ricky wangu. Karibu.”

INAENDELEA.
.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

𝐋𝐎𝐌𝐋 (𝑳𝒐𝒗𝒆 𝒐𝒇 𝒎𝒚 𝒍𝒊𝒇𝒆) ❣️:07  >>> https://gonga94.com/semajambo/loml-love-of-my-life-07

#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Maoni

You're not logged in
Click here to login and comments
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
gonga94 official track
ZETU
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

RATIBA YA SIMULI ZETU

Ratiba ya Simulizi

  • PAKA WA MAMA KIZIBO SEHEMU YA TATU. 25-08-2025 05:55

Ratiba ya Simulizi

  • PAKA WA MAMA KIZIBO SEHEMU YA SABA 25-08-2025 07:00

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest