Ingia

Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track

𝐋𝐎𝐌𝐋 (𝑳𝒐𝒗𝒆 𝒐𝒇 𝒎𝒚 𝒍𝒊𝒇𝒆) ❣️:08

24th Aug, 2025 Views 4


Nilitabasamu, sasa sikuwa hata na hamu na yeye nimechoka na kusema siwezi kabisa. Lakini kabla sijafanya kitu chochote kile mwanamke wangu alinivuta kitandani na akaniweka chini yeye akawa juu yangu.

Nikawa namtazama yeye anatabasamu na taratibu midomo yake ikawa kwenye midomo yangu. Alianza kunibusu vile anavyotaka, kiukweli alijitahidi kufanya kila alichoweza kunifanya nifurahie.

Mwanamke wangu huyu anapenda sana mapenzi, kiukweli sina hakika sana kama nimewahi kumridhisha. Nina uthubutu wa kusema hivi kwasababu kwanza hajawahi kuchoka, hajawahi kutosheka unaweza wewe ukachoka hoi ukamuacha hapo na yeye bado anataka, kuna muda mpaka namuuliza “baby umetosheka?”

Anatabasamu na kusema “Yes babe, thanks so much nakupenda.”
Lakini ukimtazama wewe ndiyo umechoka yeye bado yupi vizuri kabisa. Hivyo hata siku hii nilikuwa hoi, mwenzangu anasema “baby please niongeze, baby nichape tena”

Ninamtazama nasema “utaniua we mwanamke, si unajua tulikuwa na siku ngumu eenh?”
Basi yeye anasema “basi wewe lala tu, mimi nitafanya mwenyewe.”
Namuangalia mpaka nakasirika na hajali hata. Huyu ndiyo mwanamke wangu mimi ambaye nimemuoa.

Nimelala zangu nimenuna, fungate wala sifurahii na hapa moyoni nina jambo langu ndiyo kabisa. Ninakumbuka mke wangu alinisogelea, na kulala mwilini mwangu kumtoa siwezi ila sasa inabidi nivumilie.

Yupo hapo ananiambia “ndiyo maana nakupenda mpenzi, wewe ni msweet sana. I love you hubby!

INAENDELEA..
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

𝐋𝐎𝐌𝐋 (𝑳𝒐𝒗𝒆 𝒐𝒇 𝒎𝒚 𝒍𝒊𝒇𝒆) ❣️:08  >>> https://gonga94.com/semajambo/loml-love-of-my-life-08

#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Maoni

You're not logged in
Click here to login and comments
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
gonga94 official track
ZETU
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

RATIBA YA SIMULI ZETU

Ratiba ya Simulizi

  • PAKA WA MAMA KIZIBO SEHEMU YA TATU. 25-08-2025 05:55

Ratiba ya Simulizi

  • PAKA WA MAMA KIZIBO SEHEMU YA SABA 25-08-2025 07:00

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest