1. Heshimu watu pesa huisha
2. Marafiki zako kazini si marafiki
3. Ukifanikiwa usidhani wengine ni wazembe
4.Ukipata shukuru ukikosa shukuru
5. Usidanganye ili upate kazi, uongo una una mwisho
6. Kila mtu ana uzuri na ubaya wake
7. Ukitaka kufanikiwa epukana na pombe na uzinzi
8. Katika maisha kuna wakati utakuwa na huzuni na wakati wa furaha, kubali yote mawili
9. Usiogope kusonga mbele na kupiga hatua
10 .Usiangalie wanasema nini kukuhusu wewe fanya kila uwezalo
11. Ipo siku nyota yako itang'aa kuwa mnyenyekevu tu
12. Acha kumbukumbu nzuri kule uendako
13. Wewe ni mzuri kwao tu wakati una pesa
14. Maisha ni mabadiliko yakubali yajavyo
15. Ukiona maji yamezidi unga kuwa mtulivu na uondoe wasiwasi
Β©οΈ Kiswahili Ashirafu
Photo Courtesy.