Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94

MARIA Sehemu 16

30th Jul, 2025 Views 25

MARIA

Sehemu 16

Nazinduka niko hospital nimelala na madrip na mpira wa kupumulia pemben namuona mme wangu na mama na bahat, mme wangu akaniambia umeamka mpnz wangu unajiskiaje? nikamwambia nn kimetokea kwani? Mbona nipo hapa? akasema uliumwa gafra mke wangu tukakuleta hospital nikasema ahaa mbona tumbo langu jepesi mme wangu alishindwa kujibu bas akaitwa daktar akanichek akatoa mpira akasema pole sana akasema kuna wagen wengn nje ila hampaswi kuwepo weng huku ICU jmn kumbe nilikuwa chumba cha wagonjwa mahutut mme wangu akasema mm sitok hapa huyu ni mke wangu, mama na bahat wakatoka akaingia wifi angu na mama mkwe wakanipa pole tukaongea kidogo wakatoka akaingia baba mkwe na bamdogo na mke wa rocky na rocky nikaongea hadi nikachoka nikamwambia mme wng naomba kupumzika bas wakatoka wote mme hataki kutoka bahat nzur ilikua n hospital ya private alibaki tu, wiki mbili zikapita mm nipo hospital nikawa naendelea vizur bas nikaruhusiwa kutoka lkn doktor akaniambia sitakiwi kubeba mimba had miez 6 ifike nikauliza kwa nn akat mm mjamzito mme wangu akanikumbatia tu akasema mke wangu tumepoteza mtoto ule usiku ulioumwa uwiiiiii jmn nikalia sanaaa dokta akasema nishkuru niko hai mana nilikua nataka kufa na mimi nilikua na hali mbaya sana nikalia nikitaja Mungu wangu bas nikatoka kurudi nyumbn nikafika nikamkuta mchungaj na familia nzima ya kina Derrick na mwanangu na mama na bahat wakanikaribisha tukasali na mchungaj tukala msosi na keki pia ya karibu nyumbn bas wakaondoka wote mm nikawa simuoni lucy yule mdada wangu wa kaz niliekua nae toka nimetaftiwa na nico nikauliza lucy yuko wap? bahat anasema siku ulioumwa alipigiwa simu kwao kuna matatizo akaondoka lkn toka ameondoka hapatkan nafkir alitumia mbinu atakua kapata bwana.mm nikasema lucy hayupo ivo lkn sawa kama yupo salama basi maisha yakaendelea mwez ukapita nikapona vizur nikaendelea kusali mana nilikua na huzun sana ya kuondokewa na mwanangu nikawa naishi na bahat na mama ananisaidia kaz baada ya miez mitatu nyumba ya mama africasana ikaisha tukamnunulia vitu vya ndan pia karibu na get alijengewa frem ya biashara ya vitu vya ndan akapewa hela akajumua vitu na gar yangu ile ya zamani nikampa na nikamtaftia msichana wa kaz lkn mama akasema mwanangu mm naondoka ila kuwa makini sana sali sna nikasema sawa mama .mm nikaendelea na maisha nikiwa na mne wangu na bahati na mwanangu sasa tatizo likajitokeza mme wangu akaanza kuota analala na mtu kila siku usiku na akiamka amechafua hadi shuka yani kakojoa kabisa πŸ™†kalowesha shuka nikamwambia n nn hii akasema sijui naota kila siku nafanya mapenz na mtu mke wangu, nikamwambia mmmh ndio majini mahaba hayo wanasenaga tusali mme wangu bas tukasali sana ndoto zikaisha ila akaanza kila akitaka kufanya mapenz na mm dudu haisimami kabisaaaa akasema labda uchov mara asingizie nn mm nikawa namwangalia tu simuelewi baadae akaanza kuchelewa sana kurudi sasa nyumbani akawa anarudi usiku sana nikimuuliza anasema kaz nyingi ofisini mmmh bas tukaendelea vituko vya hapa na pale vikaendelea ikafika siku ya harus ya wifi angu na nico wake tukaenda harusini sisi tukiwa wasimamiz ktk harus alikuepo mtoto wa bosi wake bahat kule alikokua anafanya kazi bahat zaman aliitwa joan huyo bint akaja kutusalimia pia akawa benet sana na bahat mm sikujal niliona kawaida si wanafahamiana bas harus ikaisha sie tukaendelea na maisha mme wangu sasa akabadilika akawa mkali sana kwangu na wala hanigusi akirudi kazn n yy na mwanae tu mm wala pia akawa na ukaribu sana na bahat wanaeza kaa wanaongea wanacheka mm nikija wanakaa kimya nikimuuliza bahati anasema hakuna kitu shem alikua ananchekesha mmmh mbona mimi sichekeshwi jmn derick wangu?mara bahat akaanza nunua vitu vya thaman anavaa vizur zaidi mana nilikua namuhudumia vizur na hela nampa sana. siku moja akaaga anaenda kijijin nikamsindikiza akapanda bus mm nikarudi nyumbn mme wangu bado vituko yuko bize na mtoto na simu nilimuliza kuna nini mme wangu? akasema tatizo lako maria unapenda kukuza tu mambo wewe sijui upoje.siku moja akarudi usiku sa 9 ananuka pombe wakat mm mme wangu aliacha kunywa zaman na aliokoka nikampokea nikampeleka chumbn nikamtoa nguo akalala huku anasema yan ww maria ww nilikupenda sana mimi lkn ww n mwongo na muhuni sana😳😳 nikamwambia unasemaje akasema najua mambo yako yote mm nakuangalia tu nione mwisho wake, heeeee jmn nini tena? mara akasinzia kesho yake nikamuuliza akawa mkali basi ikawa ndo tabia nikawa nasali navumilia lkn nikaamua nikaongee na mchungaj wangu nae akanishaur nisali sana kwa nguv mana hio n vita tukasali nikarudi nyumbn mana nilikua na mwanangu lkn nikamkuta mme wangu amekasirika et mm nazurura kwenda kwenye umalaya anaomba niwe namuacha mwanae nyumbn nijafanye umalaya vizur nisije mfundisha mwanae umalaya jmn akat nilimlea peke wangu, nikamwambia tulikua kanisani mbona akasem unavosali unafaidika nn kila siku matatizo ndoa yako inakushinda nikamwambia samahan mme wangu nimekosea, hakujibu tena akaondoka akarud sa saba usiku yupo chakaliii nikawa nasali tuuu nasema ipo siku ataacha bas bahat akarudi roho yangu ikawa nzito mnoo kumsimulia ivo sikumwambia kitu maisha yakaendelea mme haelewek zaid akawa analala huko huko bahat anauliza mbona shem kama kabadilika hivi? nikamwambia wala hakuna yupo poa tu, bahati akasema nikupeleke mahali ukamfunge mmeo atakua kalogwa huyo sio bure, 😳😳uchawi ukivonitesa niufate tena noo siwezi nikamwambia nina nguv kubwa kuliko zote naamin yatakwisha nikaingia chumbn nikasaliiii sana mme hakurudi siku mbil mie kaz yangu usiku namtumia usiku mwema afu natuma msg asubuh umeamkaje mme wangu sisi tupo powa nakupenda mme wangu na nakutakia siku njema.yy hajibu sikujali najua aliponitoa basi maisha yakaenda ivo, siku ingne akabeba mwanae akampeleka bording mm sijui aliporudi nikamuliza mtoto yupo wapi akasema hawez muacha mwanae akakaa na mwanamke mchawi😳😳😳 mm nikacheka tu hapo simwambii mtu nasali ukiniona niko kama chiz hivi nina amani zote Bas akasema unanicheka maria si ndio unanidharau eeh jnn si akanipa kipigo cha maana bahat akaja nisaidia mme akabeba beg akaondoka zake akasema bak na jumba lako ufanye uchaw vizur na hivi ni ghotofa utaruka ruka vizur humu ndani, akasepa bahat akasema maria hii sio bure twende kwa mganga nikasema bahat nina nguv kubwa kuliko waganga wako haooo kamwe siwez enda kwa waganga yn niache kumshtaki Mungu wangu asie kufa nikahangaike kwa wanadamu? Siwez, bahat akajib sasa hio nguv mbn haikusaidii had unanipigwa ona mme kakukimbia na mtoto, nikamwambia hk n kipimo tu na nitashinda kwa jina la Yesu nikaingia chumbn nikajifungia nikasali snaaaa siku io huku nalia. zikapita wik mbil mme hajarudi natuma msg najibiwa matusi na mwanamke mwishowe nikapigiwa kabisa na mwanamke kupitia simu ya mme wangu akanitukana niache kusumbua wako na maisha yao, nikamjibu tu samahan.lkn sikuacha kutuma usiku nasema usikumwema asubuh namjulia hali na kumtakia siku njema tena namfunika kwa damu ya Yesu kabisa, ukapita mwez mm naendaga kwa mama tunaongea akiuliza ndoa namwambia iko poa mbna mkwe hanitembelei namwambia anabanwa na kaz ndo ananituma nikuone bas kaz zangu nafanya tenda za kupika napata ofc yngu inaenda huku nasali tu mwez wa pil ukakatika sijui nan alimwambia wifi mambo ya kakake siku io akanifungia safar akaja tena alikua mjamzito kakasirika akasema ww mmeo anafanya mambo ya ajabu amehama nyumbm upo kimya tu una akili maria wewe? nikasema wifi mbona mme wangu yupo? akasema usinitanie maria iv unawaza nn ww maria ujinga gn unauvumilia ww? nikamwambia wifi mme wangu atarudi tu usijali, wifi akasema iv unamjua anaeishi nae ww ?nikasema hapana, akasema n joan ndo nyoka wako amka usingizin maria pigania ndoa yako kama unampenda kaka,uwiii yule mtoto wa bosi wa bahati ndio nikajua sasa kumbe ndio mbaya wangu? nikamwambia wifi napigania sana ndoa yangu naiman atarud, bas wifi akalia sana analalamika derick kuniumiza et hadi nimekua kama chiz sielew. mm nambembeleza akatoka kwa hasira si akamfata joan kumbe akampa kichapo kakake akamkuta akamsukuma dadake na mimba kisa anampiga joan dada mtu akazimia wakampeleka hospitl bahat nzur hakudhulika ila akaambiwa bedrest apo desire mkubwa akasema kakake sio ndugu yake tena kwa kitendo alichomfanyia.mm nikaenda kwake nikakaa wiki nzima namuhudumia wif yngu akawa poa nikarudi kwangu hapo nakula matusi kila siku mm ni kusemelea kwa Mungu tu kama mwehu ukinikuta nasali nasemelea kwa Mungu .kuna siku mchungaj wangu akaniita akasema maria nimeota ndoto mbaya juu yako naomba tuongeze maombi makali tufunge siku 21 nikasema sawa kwel kesho yake nilianza maombi ya nguv ya kufunga na siku zingn nafunga kavu sili chochote bahati akawa ananishangaa sili akasema maria ndoa imekushinda hii hadi hulii? nikasema mm derrick n mme wangu wa ndoa sina haraka wala na haijanishinda na ndio maana taraka sijapewa nikaendelea kusali nikafika siku ya 10 ya maombi mara derrick huyu hapa alirudi nyumbn lkn hakunisemesha ila akaomba nimpikie chakula nikanshkuru Mungu nikampikia akala akalala kesho yake akarudi tena mm naendelea kusali kila siku ,mara derrick akaanza kuwa kama zezeta hata kazin haeleweki mm nasali tu namwambia mchungaj kila kinachoendelea akasema hio hali lzm apate mana vita n kali ktk ulimwengu wa roho na anaepiganiwa ni derrick kwa io lazima ateseke usiogope sisi tusali tu kabla ya kumaliza siku 21 jibu litapatkana mm nikazidisha kuomba tena naomba hadi nalia nagalagala muda mwingine sijui natamka nini lkn naomba, jmn kuna chumba kilikuaga tumeweka kama library ya kujisomea na kaz za mme mm nikakigeuza chumba cha maombi nikijifungia huko sisikiki nilisali kila muda usiku sa nane naamka nasaliiiii hadi asubuhi. sikumoja derrick aliondoka tena bila kuaga ilikua siku ya 16 ya maombi hakurudi io siku kesho yake nikamwambia mchungaj akasema njoo kanisani nikaenda nilipiga got madhabaun nilisali kwa machoz nikasema Mungu wangu nilikuomba kama derrick n mme wangu arudi kwangu akarudi ndio nikajua ni mme wangu na akanioa nakuomba tena mzindue mme wangu kwa lolote linalomzinga waaibishe adui zangu Mungu wangu tazama nilitangaza ushindi kwa Jina lako kanisani siku ya harusi usiache niaibike ee Mungu usiache niaibishe Jina lako tetea Ndoa yangu tetea maisha ya mme wangu pigana hii vita badala yangu kwa Jina la Yesu niliomba na mchungaj na mkewe na waumini wanne tuliomba hadi niliita Mungu niliita mno,usiku tukapumzika muda huo huo napigiwa simu na shemej angu kuwa mme wangu anaumwa amezimia nyumbn kwa joan huyo joan kampigia yy simu akaona anipigie mm ....itaendelea
.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MARIA Sehemu 16  >>> https://gonga94.com/semajambo/maria-sehemu-16
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
offa ya msimu wa nanenane
offa ya msimu wa nanenane

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

MY LUNA SEHEMU YA : 06

majario rewards 100 Comments 0
 

NDOA YA MIE ... 8...

majario rewards 100 Comments 0
 

LUVIE binti wa malaya

majario rewards 100 Comments 0
 

A.J.A.D SE03 EP02

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest