MARIAπππππππππ
Sehemu ya 11
Mwandishi :lissa mwalla
Page Bahari ya simulizi
TUENDELEE
Nikalia mnooo nikapiga got nikasali sana nikamwambia Mungu nampenda derick bas kama n mume wangu arudi kwangu kama sio basi asirudi, nikasali nikamuombea wifi angu na nico nikamuombea derick na mwanangu, kisha nikamwambia wifi yalojili akasema wala usiumie mm nitamwambia basi usijali, nikasema hapana labda anamke akasema maria kakangu alikupenda sana na najua bado anakupenda mapenzi ya vile hayafi maria derick alikua tyr kwa lolote juu yako na haswa ajue una dam yake weweee hawezi pindua, we niachie mimi usijal mm nitamwambia, nikasema sawa, akasema vip mtoto shule nikamwambia sa iv n katkat ya mwaka kumchukua itakua shida hapa labda hadi mwakan January akasema sawa bas nitakutumia video za masomo ya watoto uwe unamuonesha sawa, sasa ktk vyote sikununua tv akasema unatakiwa umuoneshe kwenye tv iv tv hukununua?
nikamjib ndio akasema kuna hela nitakutumia ukanunue flat kubwa maria na king'amuz sawa nikasema sawa baada ya siku tatu akanitumia nikamuomba kaka nico akasema kesho nitakua free mchana muda wa lunch mana n mfanyakaz uje ofisin twende nikasema sawa kesho yake mchana nikaenda tukaongozana kununua tv na king'amuz dstv akaninunulia na show case akampigia fundi akampitia tukaenda nyumbn akafunga tv ukutan na dish tulipewa mwez mmoja free bas kama kawa nikampigia wif angu video call aone hapo aunt ake anafuraha hapo yuko bize na cartoon, wifi akafurahi akasema tv nzur kubwa ndan pamenoga sasa ,akasema sasa nimeongea na kaka d tyr atakutafuta mwenyewe najua nikasema uwiii sawa sawa akasema usiwaze kakangu na mimi dam dam nikasema asante my wii
.basi akaomba nimuomeshe frig nikafungua akasema vizur imejaa, we bora usahsu kuvaa ila aunt yangu ale anywee afya ni muhimu mtoto wa derick huyo, nikacheka tu nikasema sawa. niliishi vizur sana mwenzenu kama mfanyakazi kumbe sina kaz yoyotee, tukaagana mwanangu nilikua namlisha vizur na mie nimependeza tena kama kawaida yangu ila sina mitoko kazi yangu kubwa ni kumjali mwanangu mana ndio bosi wangu sasa ananipa kula, aunt yake alikua anapenda mwanangu avae vizur acheze vizur awe msafii na ale vizur pia kulala mchana lazima jmn nilifundishwa kulea kizungu, ππangeona nilivokua nasota nae juani au motoni sijui angesemaje?
usiku baada ya kula tukaoga na mwanangu tukaingia kulala mana nilikua nalala na mwanangu si tupo wenyewe sikuona haja ya kumtenga bby boss kwanza aunt d akipiga anataka amuone, basi usiku nikaskia simu yangu inaita tena video call mmh nikaamka nikawasha taa namba ya nje nikasema labda wifi katumia namba ingine uwii nikapokea jaman ni derick wangu mpnz wangu wa kwanza alienibikiri na kunipa mwanangu mzur ambae leo ni bosi wangu mtoto huyu πnikajikuta machoz yanitoka hata sijasema kitu nae ananiangalia tu hasemi, baada ya kimya kirefu akasema maria unalia nn mke wangu?
Uwiiiiiii jmn pateni picha hisia nilizopata kuskia naitwa hivo baada ya dhiki zoteeππππnikajikuta nalia zaidi akasema au hutaki kuongea na mm nikate simu unalia jamani hujaacha tu?
Sa mimi si ndio derick? nikasema hapana sio hivo nimefurahi, akasema aliefurahi analia kwa uchungu ivo mke wangu?mara mwanae akaamka nae akasema mama zima taa mm ashindwa lala akawa anaamka derick akasema naona nimemwamsha mrembo wa dunia wangu nipe basi nimsalimie mbegu yangu ya kwanza nikacheka sasa hata sijampa simu mtoto d anavopenda sana simu amezoea kuongea na aunt yake akasema unaongea na aunt d mama? akawa anasogea babake akasema wow mwanangu mzuri mashallah desire mwanangu hapo katoka kuamka huyu mzuri hivi kweli nilikojoa mkojo wenyewe huu, jmn nilichekaa nikampa mwanae babake anasema haya nisalimie babako mwanangu nae d mtoto akafurahi akasema baba d ni ww nae akasema ndio ni mimi baba ako, bas wakaongea wakaulizana maswal wee kama wanajuana mm nalia tu bas derick akasema mwanangu nakupenda nae nakupenda eti pia akamwambia mbembeleze mama basi anyamaze mwambie dady anakupenda nako et kakaniambia maza mama baba d anakupenda nikacheka najiobea ndoto maskini, bas akamwambia naomba niongee na mama wewe sasa lala ka d kakanipa simu kakajifunika ,derick akasema maria pole kwa yote nisamehe sana kwa yote maria mm bado nakupenda sana kwa nn hukunitafuta baada ya kuondoka nyumbn?
nikasema nilipoteza simu na naomba za huko sikushika, akasema ungerud nyumbn kuomba namba nikajiwazia ungejua mamako alinifukuza kama mbwa usingesema, nikasema mama hakupenda mahusino yangu na yako asingenipa bas akasema usijali mm narud baada ya miez minne kila kitu kitakua sawa umeskia, akasema asante kwa kunizalia mtoto mzuri nilikua mimi sizalishi aisee mana hakuna mwanamke aliewahi sema hata anakichefuchegu ww umenifanya nijione kweli mimi kidume sitoi povu na simwagilii maua ila natomb** πππasante maria wangu nafurahi kuzaa na ww mana kwa ukiopitia ungeweza kutoa mimba lkn ukazaa nakuheshim sana maria, nikicheka sana akasema nitumie picha zake na zako pia naomba nianze majukumu ya kifamilia sasa kwenu, nikamwambia sawa akakata simu nikamtumia picha nying za mwanae akasema na zako mbona hujantumia?
Usinibanie bana nikamwambia nitakutumia bas nikamtumia hapo nafukutwa na yule mwanamke aliepokea simu lkn najikaza siulizi,bas tukaendelea na mawasiliano mm na yy na wif angu derick akasema niwe namfundisha mwanae kusoma na kuhesabu kingereza hadi muda wa shule ukifika pia akaniambia nitafute kitu cha kufanya kwa ajiki ya kuendeleza maisha, nikamwambia mm napenda kupika sana ivo kaz za kupika napenda apo nikamuliza na wif akashauri ivo ivo akasema nianze kupika kwa tenda vile nyumba yngu inanafas nje naeza tengeneza mahal pa kupikia ila nipike kwa tenda sio mama lishe akasema anamarafiki zake ataniunganisha niwapikie ktk sherehe zao nikipika vizur nitaanza kuwa na jina akashaur pia nisome koz miez mitatu angalau nipate chet cha mapish nikasema sawa akasema atanitumia hela ya ada nikamwambia pia derick akakubali akanitumia hela ya vifaa vya upish vile vya kutunzia chakula na majiko pia ovena na friza kubwa nikanunua akasema nitafute mdada wa kaz wa kushinda na mwanae hapo nyumbn, pia na wakunisaidia kaz pata picha maria mimi wadada wawili wee nikahangaika wadada nikamwambia kaka nico akapiga simu kwao iringa mana nico kwao kabisa kwa babu zake ni iringa wakanitaftia kipindi hiko mm nasoma tayar upishi mtoto nampeleka kwa nico mana nae kuna dadake aliachika akaanza kuish kwa nico na alikua anamtoto bas wakapatkana wadada watatu nikawatumia naul wakaja nico na mm tukawapokea nikaenda nao nyumbn bas kuna siku wif akasema rafik ake ana birthday akanipa namba wakanipigia wakataka misosi ya kawaida
kuku,sambusa,nyama ng'ombe,tambi ndiz kukaanga viaz chachandu wakanipa idadi nikanunua mazaga nikaandaa na wadada wangu jion nikakod gar nikaenda kupeleka maeneo waliokuwepo walikula wakapenda nikapewa pesa nzuri nikatunza nikamwambia baba d na wifi wakanipongeza hapo natumiwa pesa za nguo za mtoto na chakula pia nikaendelea kuunganishiwa tenda nikawa napika sana na ubunifu juu pia keki nikawa napata tenda za birthday apo niko na wadada wawil wa kaz ya kupika na mmoja kwa mtoto japo wote walinisaidia kupika niliishi nao kama ndugu miez mitatu ikaisha nikamaliza chuo nikapata kachet kangu huku napiga hela za tenda mbalimbali kias hela za baba d na wif zinakaa bnk tu biashara ilijiendesha baada ya muda baba d si alisema anarud nikamuuliza akasema kuna jambo tuongee kuhusu ujio wake, nikasema sawa akasema kuna kaz ilijitokeza walihitaji mtu awe raia wa marekani na ina mshahara mzur kipind mimi na yeye hatuna mawasiliano ivo akaamua kumuoa mzungu huyo wa marekan ili apate uraia na io kaz kwa io anafanya taratibu amuache ndio arudi huku akiwa huru, kiukwel niliumia sana lkn nikajikaza akasema mm nakupenda ww maria wangu nielewe na uniamini na unisubiri, nikamwambia sawa akasema leo naongea nae kuwa mm sina hisia nae ivo tupeane taraka nikasema sawa.nikapiga got tena kwa Mungu nikasali nikaendelea na maisha bas alimwambia huyo mzungu mzungu akatia ngumu kuachika naona alinogewa na tango la derick wakazungushana derick akamwambia mm nina familia Tanzania hapo miez inakatika mwanamke akamwambia mama yake derick kumbe alikua na mawasiliano nae mama derick akashangaa kuskia kuwa derick anafamilia Bongo, yule mzungu aliyabwaga yote mama d akamuliza huyo mwanamke anaitwa nan? akatajiwa maria mama derick kichaa kikampanda akaanza kunitafuta sasa napatkana wapi mchawi mimi πmama derrick alinitafuta hakunipata dar kubwa banaa woooiii mm sijui kitu naendelea na kupika ikafika hatua nikawa naitwa kwenye maharus sasa siku io nikaombwa kupika harus watu 200 uwiii sikuwahiii ila nikajitahidi nikaandaa bajet ikabid nitafute wadada wa muda mana sikuwahi pata tenda kubwa sana kama io nikapata wasaidiz kama wanne tukawa saba tukapika nyumbn nikakodi gar tukapeleka ukumbin muda wa chakula mana ilikua harus ya mabos mara mama derrick huyu hapa na sahan yake kwenye folen uwiiiiiiiiiiiiiiiπ©π©je nn kilitokeaa...
je nini kitaendelea
Kitu kipyaaaπππππ
.