Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94

MARIAπŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜ Sehemu ya 12 Mwandishi :lissa mwalla

19th Jul, 2025 Views 24

MARIAπŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜
Sehemu ya 12
Mwandishi :lissa mwalla


TUENDELEE
ikafika zamu yake hapo sijui hakuniona tukampa chakula ndio akaniona sasa akaniangalia kwa mshangao tu mie niko busy nasevu huku nawakaribisha wageni wangu ,hakufanya kitu wala hakusema kitu. siku io ikapita nikalipwa changu na watu kibao wakachukua namba walipenda chakula na mc alitangaza kimepikwa na nani, nikasema maria mm Mungu kaniona sikuacha kulipa fungu la kumi na kusaidia wasojiweza. basi nikaendelea na maisha huku baba d anaendelea kuwasiliana nami na wifi yangu pia tunawasiliana. siku moja nikiwa nimepumzika nyumbn wasichana wangu wameenda kariakoo kujitaftia vitu vyao mara mlango ukagongwa wa ndan, nyumba yangu ilikua na get kubwa na dogo hilo dogo tulikua tunalirudishia tu nafkir mgongaj alilitumia hilo iv sasa nikaenda fungua mlango najikuta uso kwa uso na mama derrick uwiiiii, nikamkaribisha ndan akaingia akasem iv ww mtoto unanitaftia nn mimi? anaongea huku anapepesa macho ndan kwangu kama ananinyali nikasema mama mm sikutafuti mbona?

akasema usiniite mama mm sio mama yako au unajisahaulisha? iv unakumbuka nilikuambia nn ww siku nakutoa kwangu? sasa nadhan unanitafuta nikamwambia mama mm nina maisha yangu mbona sijakutafuta naomba niache bas, akasema ww achana na mwanangu derick muache nimesema nakupa onyo la mwisho, nikasema mm sipo nae mbona? akasema unajifanya mnafki eeh mara nikapigwa kibao chs shavu mwanangu nahisi alisikia kelele akawa anakuja akasema ww usimpige mamangu, d akawa anampiga miguuni asijue ni bibi ake nikamwambia d mwache bibi ako usimpige bibi yako n mwiko mwanangu umeskia?

D akaja akanikumbatia huku analia mama derrick alimuangalia desire akaniangalia na mm akasema nakuonya achana na mwanangu na ndoa yake kama nao mbali kitakachokuja kukukuta usinilaumjlu, akaondoka zake mwanangu akanikumbatia nikaomba Mungu wala sikulia nilikua naujasir kwa niliyopitia mbona hili dogo tu. bas usiku nikaongea na babake d kama kawaida nikiwa na d mtoto baba we're mwanangu si akasema bibi alikuja akampiga mama jmn mtoto mpana huyuuu, derrick akauliza maria nn mwanangu anasema? nikasema huyu achana nae anaangalia sana muvi, derrick akasema ebu niambie maria usiniuzi nimeskia nini mwanangu amesema na huyo sio mjinga, nn kilitokea huku amekasirika ikabidi niseme akasema tafuta nyumba ingine hama hapo tafuta nyumba kubwa itakayotosha wasichana na ww na mm nikija sitaki mwanangu alale na mtu nataka alale chumba chake chenye kila kitu anachopenda kwanz babake nafanya kazi huku silali kwa ajili yake, huhuuu mie shangweee mbona mama derick alijua ananikomoa kumbe anampiga teke chura alikua ananikimbiza kumbe ananisindikiza,nikasema sawa akasema kuanzia sasa chochote kitakachotokea niambie sio niskie kwa mtoto, nikasema sawa nikaongea na wifi pia mwanangu akamwambia aunt yake nilipigwa yn mtoto mbea huyu ni matangazo usifanye kitu akaona mtoto huyu yani babake akipiga au aunt ake ujue kimefika kikitokea kitu anasema,

wifi alikasirika nae akasema hama hapo haraka nikamwmbia d kasema hivo pia basi nikamwomba kaka nico anitaftie nyumba kama tulivokubalina na baba d tukapata nikamwambia derick akasema natuma hela ununue na gar litakalotosha kubeba vyakula vyako uache kukodi kodi ukipata tenda sio kukod kila siku hasara, namwmbia nico akusaidie mie haya nikashkuruπŸ˜‚πŸ˜‚ nilitumiwa pesa nyingi siwezi andika mtasema nawadanganya ila ni ukweli mtupu nikapata noah nzur sana kubwa na nyumba ya kupanga ilikua na vyumba vinne vya kulala sebule dining na jiko lenye makabat na fens pia eneo kubwa nje kod lak 5 nikalipa mwaka tukatafuta gar tukahama nikanunua kitanda double deka chumba kingn na magodoro kwa ajil ya wadada na mwanangu akawa na chumba chake na midoli na rangi nzuri maisha yakaendelea tatizo sijui kuendesha sasa ilo gar nico akawa ananifundisha huku nikipata tenda kama sio nico ananipeleka bas housboy wake nico, baada ya miez miwil nikajua vizur nikatafuta lesen nikawa naendesha mwenyew bas kaz kaz mwaka ukaisha maria mm nakaa nyumba nzur na naendesha gar sina mpango na wanaume namsubir bby dady, nikawakumbuka wadogo zangu kijijini lkn nikawa sina namna mwaka mwingn ukaingia nikamtaftia mwanangu shule ya ghalama alikua anakuja kuchukuliwa na bus mana babake alitaka shule io mwanangu apo alikua anajitahidi kusoma soma siku zikaenda, sasa kuna siku derick hakupatkana kama siku mbil hivi uwii sijui kapatwa na nini mimi nilichanganyikiwa mbona hapatkani sikuwa na raha kabisa nikamuuliza wifi nae akasema hajui nae ila ngoja nae amtafute mana wao walikua nchi tofauti derick marekani wifi uingereza bas siku io nilikua naenda nunua kiwanja nikiwa na kaka nico kama shahid nikalipia kupitia pesa za kaz zangu na kuongezea na za kina wifi na baba d

, nilipata kiwanja kizur tu kikubwa maeneo ya bunju tukarud sasa yule daktar husein kama mnakumbuka alikua ananitaka sana siku nyingi lkn sikuwahi kumkubalia siku io akaniomba tutoke kama marafik tu nikakubali nikajiandaa kutoka tena nilivaa kigaun matata mguu wote waz ilikua mida ya sa 2 usiku hiv nikawaaga wadada na mwanangu kuwa natoka sasa ile nafungua mlango nitoke nimejiremba mwenyewe nakutana uso kwa uso na derick wangu jmnii sikuamini kipochi kilidondoka kwa mstuko nikamkumbatia kwa nguv huku siamini nae akanikumbatia lkn akasema maria ukiendelea kunikumbatia hivo nitashindwa kupumua nitakufa mama, uwiii sikuamini nikamuachia nikamkaribisha ndan mwanangu nae kumuona akawa kama anashangaa nikamwambia d mkumbatie babako huyo kaja, d kakamkumbatia akakabeba akakaa akasalimiwa na wadada huku mwanae yupo mapajan akasema mizigo ipo nje sijaingiza sie tukaenda na wadogo zangu kuingiza ndan jmn mabeg kama yote yan mengi atar nikaingiza chumbn kwangu, katika ishi yangu chumbn kwangu wale wadada walikua hawaingii,usafi nafanya mwenyew bas nikamwambia bby karib chumbn akaja akasema maria kwanza nikuulize ulikua unaenda wapi ivo?

nikamwambia nilitaka kutoka na rafik tu bby, d akasema wakike wakiume?sikutaka kudanganya yanikute nikamwambia wakiume akasema sitak maria io tabia uliona niko mbali eeh?ndo unatokags ivo eeh? muda huo huo hata sijajibu hussen nae anapiga simu, derick akaichukua akapokea akasema sory hawez kuja mme wake nimerudi nataka nimpe haki yake ba sidhan kama mtaonana hivi karibuni. dokta akasema sawa, d akakata simu akasema vile nimerudi nitakuharibia mipango yako yote ukitoka ujue na mimi pembeni yako yani nitakua zaidi ya kipochi maria usinitanie. nikacheka tu nikamwambia ukaoge basi bby, akasema sawa sasa nae desire mdogo hatoki chumbn kwetu jmn mtoto huyu
, ikabidi nimwambie ebu mpishe baba akaoge mtoto hataki nataka mtoa analia kabisaaa 😳😳huyu nyiee mi nimemmis babake jmn, nikasema jmn huyu mtoto hana adabu hajui mamake nimemis tango nilitaman nimdandie kimoja kwanza kabla afu chenyew kimegoma kutoka kinalia 😑bas babake akacheka alielewa nini nataka akasema huyu mtoto hajui kama amekua sasa huyu na kwamba anatakiwa apatiwe mdogo ake nikacheka akaingia bafuni nikampeleka nikamuogesha huku mabusu kama yote tunashindwa kufanya desire yupo chumbn anaongea ongea huyo yani mtoto aliniuzi sana bas akamaliza nikampaka mafuta akavaa akasema amemis chips zege za mtaani tutoke tukale wote nikasema sawa tukatoka na wadada tukaenda kula tukanywa tukarud hapo alisema nimuazime hela yy hajachenji huyu mtoto kang'ang'ania alale na Babake😳😳😑niliuzika nikanuna mtoto anataka kunipanda kichwani huyu mwenzie nina ugwadu wa miaka,mshedede wa d nautaka haswaa ikabidi tuingie nae chumbn tukapiga stor tukampigia wifi video call kumbe alikua anajua kakake anakuja bongo tukacheka bas akasema naona desire mdogo anawaharibia poz naona mana najua mme misiana wenyewe, mimi nikasema natamani ungekuwepo ningemleta mwezi mzima akaege huko tu, tukacheka tukakata tuko tu na desire halali tukapiga stor hadi sa 7 usiku mtoto d ndo analala sasa babake akambeba hadi chumbn kwake na mie nyuma kuhakikisha nakafungia kabisaaa kasitoke huko kakaja kuharibu basi mie na babake tukarudi chumbn wee vurugu ilianza ni kutiana kwa kwenda mbele tunapumzika tunatiana hadi tunapumzika mechiiii tena rahaaaaa ni kubiduana kila styl kitu imoo ndani hadi tukapitiwa usingiz asubuh sa 12 nikampa cha asubuh sasa ile amemaliza kukojoa ashuke mlango ukafunguliwa na desire bahat nzur tulijifunika uwii tulisahau kufunga tukakurupuka mtoto anasema mama nimeota baba amekuja nikasema kwel amekuja baba, babake akamwambia nimekuja mwanangu kaniletee maji ya kunywa kwanza alivotoka tu tukaingia bafuni fasta tukaoga tukatoka kanarudi tukaanza kuvaa kakaleta maji tukatoka nikapika chai na chapat maji fasta tukala mana wadada walipika mandaz yao derick akasema aende bnk kuchange hela mana ilikua jmoc tukaenda na noah yangu tukachange hela tukarud nyumbn akasema tupange mambo ya kufanya nikamwambia sawa nikasema tujenge nyumba kwanza akasema sawa nikamwambia kuhusu kiwanja bunju akasema tununue kingine iko cha bunju tutajenga kupangisha sie tutafute madale mie haya bas akasema ngoja niongee na washkaj zangu wanitaftie nikasema powa, akaongea nao akawambia amekuja jion tukatoka ndio wananiona sasa wakamwambia we derick huyu si dadako maria huyu we jamaa?

D akacheka afu akasema sio dadangu n mke wangu ,mana walijua mm nilikua nikiish kama ndugu kwao wakacheka wakanisifia kua mtoto mzur wakauliza ulimpa nn huyu had katoka marekan bado nawewe tu?

mm nikacheka tu d akasema mm namtoto na huyu mwanamke mnajua anamiaka minne sasa, akawaonesha picha wakamsifia mana d mweupe kama mm ila sura ya aunt ake na babake Bas tukarud nyumbn j3 ikafika apo derick hajaenda kwao akapigiwa cmu na rafik ake kuwa kuna kiwanja madale tukaenda kiona n kikubwa sana wakataja bei tukakubaliana kesho kilipwe bby akaenda bnk akatoa hela kesho yake tukalipia tukapewa nyaraka zote na kiwanja kiliandikwa desire derrick baada ya kurudi nikamkumbusha akaone wazaz akasema tutaenda jpil watakua wapo wote hom nikasema mtaenda mtaenda na nani?akasema mm na familia yangu mmh nikamwambia mm siendi labda na mwanao muende, akasema bas na mm siendi tutabaki wote, nikamwambia unakosea ww nenda ata kesho mkaongee mana ukienda gafra na mm utanizidishia chuki akasema sawa nimekuelewa kesho yake akaenda kwao lkn alipofika mlinz alivombea alimsimulia mm nilivofukuzwaa nikiwa mjamzito ndipo akajua mamake alijua mm n mjamzito akanifukuza akasubir jion wakarudi wote babake na mamake akawasalimia walifurahi lkn yy hana aman akawaambia amepata nyumba hivo ataenda kupanga mamake akakataa lkn yy akamwambia ataenda kwan amekua babake alimuunga mkono bas akalala pale kesho yake akarudi kwangu akasema tuanze ujenz mana pesa ipo nlipokua nafanya kaz niliweka akiba pia nitatafuta kaz huku nikamwambia sawa akatafuta kampun ya ujenz tukatafuta raman ya nyumba kubwa ya gorofa na bwawa la kuogelea nje akawa kwao anaenda kusalimia tu, baada ya miezi miwili nyumba ilikamikika kila kitu mana kampun ndio ilijenga(zile kampuni unawapa ramani na pesa wao wanakamilisha kila kitu)ikatukabidhi funguo pia aliagiza magar mawil langu na lake ya kutembelea yakafika mm maria mm jmni baada ya dhiki faraja, bas nyumba ilivoisha tukaweka vyombo na furniture tukahamia vile vingn nikawapa wadada wawil wa kupika walitaka kujipangia mm nikabak na wa mtoto Lucy bas huku tenda zinaendelea naish mjengo mzur nikamkumbuka mama sasha na mwanae apo baba d kapata kaz amekua general manager ktk kampun fln kubwa kwao anaenda tu kusalimia mamake hajawahi fika kwangu ila evance anakuja kutusalimia akiamua analala basi, baada ya miez kama sita iv d akasema mm nataka tufunge ndoa maria inabidi niende kwenu huko ludewa nikatoe mahari na kukufaham pia mmmh kichwa kikauma nikikumbuka niliondokaje kule na nan atapokea hizo mahari zangu ikiwa sina ndugu? ...je itakuaje

je nini kitaendelea
Kitu kipyaaaπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œ
.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MARIAπŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜ Sehemu ya 12 Mwandishi :lissa mwalla  >>> https://gonga94.com/semajambo/maria-sehemu-ya-12-mwandishi-lissa-mwalla
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
karibu msagala furniture
karibu msagala furniture

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

Simulizi: MAPEPE **

majario rewards 100 Comments 0
 

NDOA YA MKEKA 03

majario rewards 100 Comments 0
 

.BABAMKWE epsd 19.

majario rewards 100 Comments 0
 

ALINIINGIA BILA IDHINI

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE..17..18

msagala rewards 100 Comments 0
 

bei sawa na bule

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 16

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest