Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94

MARIAπŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜ Sehemu ya 14

19th Jul, 2025 Views 20

MARIAπŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜
Sehemu ya 14
Mwandishi :lissa mwalla

TUENDELEE
Sikuamini bado au naota, Nikamwangalia kwa ukaribu n yeye kabisa yuko bize na mmama simfaham nae, Mara akaondolewa na mzee mmoja ivi sikujua kwa nini nikawa nawaza bas sherehe ikaendelea hadi usiku lkn sikumuona tena mama sasha nikahisi naona viini macho, usiku baada ya sherehe derrick aligoma kulala peke ake kabisa alitaka alale na mie sasa kashamisi tunda lake anataka akajilie ikabidi niende gest d nikamwacha na watoto wa shangaz bas baada ya kupeana vyetu nilimsimulia mikasa ilonikuta kijjn kabla. Ya kuja mjini na sikuona tabu mana yeye ndio alikua wa kwanza kwangu sikuacha ata point nikamsimulia vyote aliskitika sana akasema kweli umepita mke wangu pole sana maria wangu akasema wasamehe mke wangu bila hao labda tusingeonana ilitakiwa upite hio njia hadi ufike mikononi mwangu akasema kuna mambo yanaanzaga kama mabaya kumbe yanakusudi nikamsimulia ya mama sasha nae yaliniumiza sana hadi kunifata kunyang'anya vitu nilivonunu kwa pesa ulionipa derick akasema pia samehe mke wangu usibebe mizigo moyoni utakufa mapema uniache afu mi bado kijana nahitaji sana utamu wako mke wangu, jmn nilicheka nikamwambia sasa nimemuona huku nae akastuka akasema unauhakika ?

nikasema ndio akasema mmh sasa huku kafata nini? Nikasema Sijui pia mme wangu akasema tutajua tu we tulia mi nipo na wewe, bas usiku sa 10 alfajir john,mkewe mshenga na evans wakaanza safar kurud dar mie na bby na d na bahat tukabak siku io tukahamia kwa bamdogo kwenye mji wa babangu niliokarabat tukajiandaa kununua sment ng'ombe ingine ilichinjwa kwa ajil ya kujengea makabur kesho yake tukiwa tumekaa nikamuliza bamdogo kuhusu wadogo zangu mana nilimuliza ktk simu akasema walipotea wako sasa nikamuliza mazingira ya kupotea akasema rehema alitoroka kwenda mbeya kufanya kaz za ndn lkn mdogo wangu wa kiume aliumwa akafa miaka mitatu ilopita jmni nililia sanaaaaaaa kwa nguv bamdogo akasema sikutaka kukuambia kwenye simu ila ndio ivo jamani 😭😭mie msiba ulianza upyaaa wakanibembeleza nikaenda kuangalia alipozikwa n karib na baba basi kesho yake pia tukaandaa ibada tukasali makabur yakajengewa yote had la mdogo wangu watu wakala wakanywa usiku tumekaa bamdogo akaanza kuniambia afu mama yako alirudi huku bana mwanangu, mimi nikasema mama yangu gani?

Bamdogo Bamdogo akasema mamako mzazi. nikasema mamangu mzazi mimi? Bro yupo hai? akasema ndio nikamwambia sitaki hata kumuona wala. Kumskia huyo mama mwenzenu. derrick mmmm mmmm hapana mama d ebu onana nae ni mmako ndie aliekuzaa wewe, nikakataa huku nalia kuwa aliniacha mdogo alinitekekeza mzaxi uliezaa kwa uchungu unaezaje muacha mtoto miaka ana 2 nimeishi kwa tabu siwezi na sitaki mimi, bamdogo akasema yy pia anahamu ya kukuona mana hakufaham na jana hatukumuambia kuhusu swala lako wazee walikataa pia anaumwa sana sa iv, nikasema walikua sahihi wazee mimi sitaki, baba d akinibembeleza sana nikasema siwez samehe mimi baba d mateso yote nilopitia angekuwepo nisingehangaika mimi😭😭bas tukaenda lala kulivokucha derrick akasema uende kwa madamu wako ukamsalimie mwalim wako, nikasema sawa tukajiandaa tukaenda nikamkuta madam kwake mana ilikua muda wa break nilitegemea atanifukuza lkn akafurahi kuniona akanikumbatia akaomba msamaha kwa alichonifanyia, nikamwelekeza ilivokua akasema aliambiwa na dadake bahat jmn bas tukaongea akamsalimia mkwewe na mwanangu akafurahi sana akapika tukala jion tukaondoka bas kufika nyumbn namkuta mamdogo alienifukuza na shoka yule alienitaftia mwanaume anibake eti akanikumbatia akasema maria mwanangu za siku hongera umeleta heshima nyumbn, nikacheka tu kimang'ati tukakaa akanisimulia vya marehem mdogo wangu na vya rehema nikamwambia nitaftie namba ya alipo rehema, akasema sawa akasema nimekuletea chakula nikasema asante akasema mle wote na mme nikashkuru akaongea ongea akaondoka tukaletewa iko chakula n kuku mzima na wali bas tukanawa nikasali kuombea chakula hamuwezi amin nilivomaliza kusali ile nimechukua kijiko nichote wali bakul la wali likadondoka chin wali ukamwagika hapo mm mikono inatetemeka kabisa kama naogopa kitu baba d akauliza vip mama d nikasema sijielewi mara kuangakia mboga mchuz umekua mweusi tiiii wotee yn kama rami nikapiga kelele uwiiii oneniii mchuzii bamdogo akasema nn maria nikasema hii mboga angalieni wao hawaoni wanasema mbona mboga nzuri tu nzur maria, nikasema nyeusi nyie hamuoni? baba d akasema maria mbona mchuz mzur akakata kipande anataka ale wee nikampokonya nikachukua ile mboga nikaenda jalalan nikamwaga huku nakemea kwa nguv nasali mke wa bamdogo akasema kuna kitu jamani yule alieleta iko chakula sio mtu mzur kabisaaa bas kikapikwa chakula kingn tukala jamni usiku sikulala nilikabwa jmn nilikabwa afu naambiwa unajifanya mjanja ile nataka kusali nashindwa nakabwa hadi nikakosa pumz natapatapa nikakumbuka kumuita Yesu nikasema Yeeesuu wangu nisaidieee Yesuuu wangu nisaidiee uwiii nikaachiwa nikastuka napiga kelele baba d akastuka akasema nn maria nikasema amka tusali bana d amka mpnz wangu tukasalii muda mrefu nikalala vizur kesho yake asubuh tunaamka nakuta shingo yangu nyekundu nikamwonesha bamdogo akasema huku sio kuzur maria kabisaaa kuna wachawi sana siku hizi upangwani huku, Nikasema mm hawaniwez nina nguvu kubwa kuliko wao nguvu yangu n kusali na kumuita Mungu wangu watashindwa nasema. siku io nikafunga maombi nikampigia simu mchungaj wangu nikamshirikisha akasema tusali siku ikapita usiku ukapita vizur nikaenda kuaga madam na dadake bahat kuwa tunaondoka kesho yake lkn sikumkuta bahat sijui alienda wap na ni siku ya pil sikumuona nikamuachia ujumbe bas tukarudi nyumbn bamdogo akasema mwanangu kabla hujaondoka naomba uonane na mama yako muongee mm nikakataa baba d akasema mke wangu unasali wewe sasa kama hutaki muona mamako unasali nini?

ebu onana na msamehe mama yako labda alikua na sababu ya kufanya ivo msamehe mpnz wngu tukiwa ktk mabishano alikuja yule mamdogo alienifukuzaga na shoka akawa analia kama ameungua kidogo usoni akasema maria nisamehe nikamwambia nikusamehe nn hapo nilijua tuu kuna jambo limempata mm naamin maombi akasema mm ndo niliekuchafulia nyota yako nilikupa jini la kushindwa na kukataliwa nilitaka upate shida maisha yako yote hadi ufee heeeee nikamuliza kwa nn jmn kwani nilikukosea nini?

akasema niliamin we ndo sababu dada yngu akikufa naomba nisamehe sana, jmn mm nikalia nikasema Mungu asante nikasaliii kushukuru nikamwambia nimekusamehe kuwa na aman akashkuru akasimulia mengi sana ya ajabu na kuwa ningekula ile nyama mm ningeachwa na baba d na ningekuwa nahangaika na mwishowe ningekufa akasema nilijua hujala nikaja kukukaba ili ufe lkn unasali na jana usiku nilikuja nikumalize nikaunguzwa sana hapa unaona kidonda kidogo uson lkn n kikubwa sana naomba nisamehe nikawambia mm nimekusamehe lkn katubu na Muombe Mungu bas akalia lia akaondoka baba d anashangaa tu mambo ya ludewa na bamdogo wanashangaa mara tena akaja mama sasha sasa nikamuona kwa karibu inaonekana nae hakugundua n mm alivonisogelea akastuka afu akasema maria??

nikasema mama sasha umenifata hadi huku jmn ivi nilikukoseaga nini wewe mama? gafra akadondoka chin puuuuu sijui amekufa au nikainama kumuita mama sashaa we mama sasha bamdogo anashangaa akauliza unamjua huyu? Nikasema yani baba ni stor ndefu saaanaaaaa ya mimi na huyu mama Sasha hapa bamdogo ..............

je nini kitaendelea
Kitu kipyaaaπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œ
.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MARIAπŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜ Sehemu ya 14  >>> https://gonga94.com/semajambo/maria-sehemu-ya-14
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
karibu msagala furniture
karibu msagala furniture

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

Simulizi: MAPEPE **

majario rewards 100 Comments 0
 

NDOA YA MKEKA 03

majario rewards 100 Comments 0
 

.BABAMKWE epsd 19.

majario rewards 100 Comments 0
 

ALINIINGIA BILA IDHINI

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE..17..18

msagala rewards 100 Comments 0
 

bei sawa na bule

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 16

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest