MARIA
Sehemu ya 3______4
Simulizi za john
0789 824 178
Full 1000
Naona wengi mnalaumu kwamba nilipaswa kumwambia madam mmewe ananitaka, jmn kwa namna walivokua wanaishi nisingeaminika nadhani hata nyie mnapitiaga unakuta mume au mpenzi wa rafiki ako anakutaka akati rafiki ako anampenda sana je huwa inakua rahisi kumwambia bwanako anakutaka? Na kwa umri wangu nilikua naogopa jamani.. Hayaa tuendelee
Nikasema hapa nijiongeze vinginevo nitafia hapa, Baada ya madam kutoka nje na kuelekea jikon samwel akaniambia jifiche nyuma ya mlango wa seblen akiingia huku we kimbia sana uondoke sawa fanya ivo nakuopenda sana, alivoongea yy akamfata nje mkewe mie nikajificha nyuma ya mlango wa sebleni kama alivosema nikawa nawaskia nje mana jiko lilikua la nje madam anasema namuua malaya wako leo samwel anasema usifanye ivo mke wangu tumfukuze tu aende zake utapata kesi madam hasikii anatukana huku anaingia ndan moja kwa moja chumbn kwangu huku akisema we malaya Leo nakuchalanga mie nikatoka mbio nikafungua get ma bati naskia NAE anakuja anakimbia huku akasema simama malaya we mchawi mkubwa simama nimesema mie nikakimbia nikafanikiwa kutokomea gizani apo sikumbuki nina chupi tu nikafika ktk por nikawaza kwa kwenda mana n usiku mnene sikuogopa jmn shida hizi hahaaa,nikatembea huku nikilia hadi makaburin bahat nzur kulikua na mbalamwez nikaenda kwenye kabur la baba na bibi na babu nikalia sana nikisema kwa nn mmeniacha angalau mlivokuepo nilikua na kwa kuish na kukimbilia baada ya kulia sana nikasema nawaaga mtoto wenu naenda mjini nisipopajua kutafuta maisha naomba mnilinde na msiniache nawapenda.nikalia sana nikanyanyuka na kwenda ad kwa dadake bahati nikagonga dirishan akasema we nan nikamwambia ni mm maria akasema mbona usiku nikamwambia nifungulie kwanza, akaja nifungulia akashangaa we maria mbna Uko uchi imekuaje nikajikaza nikamsimulia akasema pole sana ila lile libaba jamani loo, nikamwambia mm kesho acha niende kwa bahat nikajarib maisha huko akasema sawa, nikamwambia vile hela ninayo naomba nimpigie bahat bas akanipa simu yake mana yangu aloninunulia samwel ilikua mpya haijachajiwa na sikuwa na lain.nikampigia bahat usiku huo akasema tena kuna mama alikua anatafuta msichana wa kaz ivo kesho atamwambia atume nauli nikasema sawa mm nikifika njombe nitasajil laini afu nitampa namba mana nitalala njombe na siku inayofata nitaenda dar.tukakubaliana ivo mie sikulala mana muda ulikua umeenda mida ya da 11 alfajir nikawahi stand bahat nzur nikapata gar la masista nikapanda haoo hadi njombe(kumbukeni nikiacha baadhi ya nguo kwa dadake bahati ndizo niizovaa)pale nilisajili lain nikamtafuta bahati akasema yule mama atatuma pesa nikamwambia sawa nikamjulisha na dadake bahat kijijin kuwa nimefika njombe akaniambia yule mwalim ananitafuta sana na anatangaza mm nimemuibia ndani nimetoroka nikamwambia nimeiba nn akat nimetoka uchi akasema achana NAE ana hasira zake tu we songa mbele, bas nikalala gest kesho yake mapema nikaanza safar ya dar hapo sijawahi fika nashangaa kila kitu,nina mfuko wangu wa Rambo na nguo kama nne nlizohamishaga na viatu pea moja nywele kama mchaw zipo tim Tim mana sikupata muda wa kusuka Yule mama alituma 60 nikaiacha mpesa,basi nikafika ubungo wakaja kunipokea Yule mama na mwanae ambae kama umri tulilingana hivi sijui wamependeza wenyew wanagar nikawaza mmh naenda kwenye maisha mazur hukooo,wakanipakia kwenye gar yao huku yule bint sasha akinicheka nilivo mie sikujali nikafika kwao nyumba n kubwa nzur na get kubwa nikaoneshwa chumba cha kushangaza hiko chumba kilikua kama stoo kuna vitu vingi vya zaman mavyombo kabati viatu yn vitu ving na kitanda kidogo na kagodoro chakav mie sikujali nikaambiwa nikaoge nikaoga nikabadil nguo yule mama akasema sikia utakula na kulala hapa Nina watoto watatu wakwanza sasha wapil lydia na wamwisho sofia,wote walikuepo hapo akasema kuamka n sa 10 alfajir unafanya kaz zote,huruhusiw kukaa seblen wala kutoka bila sababu na hapa vaa kanga kila muda.vile nimezoea kuwahu kuamka sikujal mie nlifata kaz ila nikamwambia mie sina kanga akasema nitakupa akanipa kanga imepauka mie nikashkuru nikaanza kaz,nikawa nawahi kuamka nafanya usafi na chakula alisema hadi wao wakimaliza kula mm ndo nakula kama siku io kimeisha jikon nakula makombo au nalala nayo njaa, nikawa navumilia,walikua wanapikia jiko la ges mm sijazoea nikawa naunguza sasa yule mama sio kipigo iko nikawa napigwa sanaa na anasema nakukata ktk mshahara uharibifu wa chakula jnm maisha gani haya,nikivunja chombo napigwa nakatwa ktk mshahara nikawa n mtu wa kulia nikachakaa sana,mwanae anaeza nituma nikichelewa ananisemea kwa mamake wananichangia wananipiga mwez ukaisha. Mshahara alisena 20000 lkn nikalipwa 4000 akasema 16000 amekata kuunguza mboga,kuvunja vyombo kuchelewa kupika bas nikavumilia japo mtoto wa mwisho sofia alinipenda sana alikua anaficha chakula ananiletea chumbn usiku,kalikua na miaka 12 basi mme wake akaja mana alikua kikaz mkoa mwingn akamuliza huyu msichana n nan?akasema mdada wa kaz wa njombe nliekuambia akasema sawa bas nilikua nishazoea kutokukaa seblen na kula wanapomaliza lkn Yule baba aliuliza mbona huyo msichana hayupo mezan?analia wap yy?Mama Sasha akasema anapenda kulia jikon Sofia akadakia mama alimwambia asiwe anakula na sisi,Yule baba akauliza anaitwa nan? sofi akamwambia anaitwa maria,mara nikaitwa maria nikaitika abee baba nikaenda seblen nikapiga magot akasema chukua sahan kuanzia leo utakula mezan na sisi.nikamwambia apana baba mie siwez kwetu walisema nisikae meza moja baba na mama wanapokula akasema bas chota chakula kale unakopenda kula nikasimama nikachota chakula ilipikwa kuku siku io apo mama Sasha akanikata jicho ka mwana ukome nikapakua kidogo na kipande kidogo cha nyama mana ilikua ikichinjwa kuku mm yangu miguu, baba sasha akasema ongeza nikasema kinatosha baba asante apo Sasha na mamake wananikata macho nikaenda jikon.kusema ukwel sikuwahi shiba toka nimeanza kuish hapo nilimkumbuka bibi yangu nikalia jikon mara yule baba akaja akanikuta nalia hakusema kitu akachukua kikombe akatoka.kesho yake ameenda kazin huku nyuma mama sasha akasema nikukute unamwambia kitu mme wangu nitakukomesha. akanipa nguo za mme wake nifue mie nikafua. ikapita wik baba sasha hakuwahi jua nalala chumba gan Mana akiamka mie nimeshaamka nafanya usafi akienda kulala mm kuna kaz nakua napunguza usiku sasa siku moja usiku nimelala kulikua na panya anasumbua kwa io nikawa namtafuta kumbe baba sasha akawa anaenda fata maji jikon akaskia purukushan stoo akaja na fimbo kubwa akawasha taa anakuta mm namtafuta panya, akasema we maria unafanya nn stoo ?nikakaa kimya akaangalia huku na huko akaona kitanda kina shuka akasema ina mana unalala humu?nikawa kimya tu akasema maria pole sana mwanangu amka twende nikakuoneshe chumba cha kulala, nikamwambia baba asante mm nitalala humhum kwan napapenda hum ,akasema usidanganye maria hakuna anaependa kulala na panya amka nimesema nikapiga magot nikasema nakuomba baba nielewe nitalala humu tafadhari huku nikilia akaniambia unamuogopa sana mama sasha ee nikakaa kimya akasema sawa lala Akaondoka kumbe akaenda msema mama sasha,nikashangaa kesho yake nilichangiwa na sasha na mamake nilipigwa wakasema najipendekeza kwa baba sasha jmn nilifinywa nikawa mwekundu mapaja na usoni nikawa mwekundu(simu yangu nilikua inapekuliwa sana ivo nilikua hata nashindwa msimulia bahati) jion baba sasha amerudi
nikajificha hakuniona ikapita mwez safar hii nilipewa 6000 na sababu kibao ,sikua na naman nikakaa kwa mateso miez mingn minne yakanifika shingon io siku baba sasha alirudi akakuta nimepigwa sana kisa nilipewa nguo nifue muda huo huko nilitakiwa nipike chai ya watoto sa kumi nikajisahau bana nilipigwa mnoo nikawa nimevimba afu mwekunduu alama mwilin mana nilikua mweupe baba sasha akaniita hapo mkewe alikua chumban na mwanae akaniambia maria najua unaishi kwa shida sana hapa nakuomba chukua hii hela rudi nyumbn kwenu sawa mama hi hela itakusaidia uanze biashara ndogo ndogo hapa hapakufai mwanangu inatosha sasa.nililia sana mana nilikua nikiitwa napiga magot nikamshika miguu nikamwambia asante Mungu akubarik.akasema utoroke na hi n namba yangu ukiwa na shida nitafute mm ni kama baba kwako alinipa kikaratas nikamwambia asante akasema Lin utaondoka nikamwambia kesho asubuhi akasema sawa.akasema chukua hii pesa kaninunulie vocha utumie muda huu kuweka pesa io mpesa asije kukuona Nayo nikamwambia sawa.ile nanyenyuka naanza kwenda mlangoni Yule mama akaniita we maria wewee ebu ngojaa kwanza weweee subiri hapo hapooo ....itaendelea
MARIA
Sehemu ya 4
Nikaitika abee akasema umeshika nn mkonon hapo? vile hela ilikua nyingi nikashindwa kuficha lkn baba sasha akamwambia nimemtuma mpesa akaniwekee hizo hela akasema nipe nikatume mimi mana mm naelekea huko huko dukani, nikashindwa kubisha nikampa akatoka nazo huku nyuma sikuongea chochote na baba sasha mana sasha alikua kaja nae seblen nikaingia jikon kufanya shugul zangu huku nikiwaza naondokaje nikakumbuka mpesa kulikua na 60 ile niliotumiwa nauli sikuwahi kuitoa na mkonon nina kama elf 20 ya miez yote nliokaa apo nguo n zile zile nlizokuja nazo zimechakaa nikajiwazia kesho lzm niondoke siwez kama hapa.asubuh yake nikawahi kuamka kama kawaida yangu nikafanya usafi mara baba sasha akawa anataka kwenda kazin akaniita nikamfutie gar, nikatoka nikiwa kule akanipa laki moja akasema uondoke kama ulivosema na namba yangu tunza mwanangu ukiwa na tatizo nijulishe nitakusaidia nikasema sawa asante sana baba ubarikiwe akaondoka mie nikapika chai na vitafunio mana wakat niko kwa madam lea alinifundisha kupika mandaz,chapat na mikate hadi keki mana alikua anapika za kuuza shule, hivo vitafunwa nilikua napika mm nikawaandalia mezan nikaoga vizur nikavaa kanguo kangu kenye afadhal nikaweka kilambo changu cha nguo kwenye kapu la takataka juu nikaweka makaratasi na matakataka mengine nikatoka kama naenda kutupa takataka mama sasha akaniita ww umeoga umevaa sendoz waenda wap nikamwambia natupa takataka hapo nje sa dampo apitie mama Sasha akasema fanya haraka unifulie nguo zangu za ndani mana nilizoea kufua zake na za watoto wake na za mume wake, nikamwangalia huku nikitabasam nikijiwazia kuwa kaa hapo hapo na izo nguo zako za ndani mie ndo nasepa hivo akaniuliza kinachokuchekesha nn nikasema hakuna kitu akasema yan ww kama Mchaw mambo yako ebu katupe ndugu zako hao uliowabeba mana na ww ni takataka vilevile, sasha akacheka na mamake mie nikacheka pia nilivotoka nje ya get nikachambua takataka nikatoa kirambo changu nikatokomea tatizo sijui mji mana tulikua tukiishi kimara bonyokwa nikampigia simu bahat nikamsimulia akasema pole shoga wangu si unapesa chukua bajaj hadi kituo cha daladala panda magar ya mwenge tutakutana hapa.nikafanya hivo hadi mwenge alivoniona bahat alilia akasema jmn pole sana rafik angu umekonda jmn pole sana, nikamwambia asante Akasema sasa leo tutaenda napoishi mm mana bosi wangu amesafir nipo peke angu afu kuna mama mmoja n mstarabu sana utaenda kufanya kaz kwake mana huyo ameniomba nimtaftie mdada aliekua nae amepata mme anaolewa muda wowote huyu ni mitaa ya kule napokaa huko mbezi beach nikamwambia sawa akasema shoga angu ndo beg hilo jmn huku akicheka nikamwambia ndio akasema mmh ulisema unahela njoo tutafute angalau nguo kidogo na beg nikwambia sawa, tukaenda mitumbani tukachagua mitumba na beg nikapata ile lak ikaishia pale nikanunua na viatu.tukaenda anapoishi kufika kule simu niliweka kwenye pochi ya bahat naitoa nakuta msg za matus na missed call za mama sasha na sasha wanasema nimeenda kufanya umalaya nikamuonesha bahat,akasema subiri akachukua simu akawambia sirudi tafuteni mtu mwingn wa kumnyanyasa sijaiba chochote chenu niachen na maisha yangu, akaituma akaiblok.tukacheka nikaoga nikala chakula kizur jmn nilikula kama nakimbizwa nikalala kitanda kizur mana bahat alilala pazur bwana, kesho yake akampigia yule mama akamwambia mdada amepatkana ila utume nauli yule mama akasema sawa nipe namba akamtumia namba yangu baada ya lisaa yule mama akatuma sh laki moja afu akanipigia nikaongea nae akasema unaitwa nani nikamueleza akasema unaweza kuja lini.nikamjibu kesho nitaanza safar akasema sawa tutakupokea nikamwambia sawa akasema mm naitwa mama rocky nikasema sawa.bas maria akaniasa nikafanye kaz na nifate anayonielekeza pia akasema ile familia na hi nayoishi mm n marafik wakubwa ivyo tutakua tunaonana mara kwa mara usijali, nikamwambia sawa nikauliza ana watoto wangap akasema ana watoto wa 4 wa kwanza anafanya kaz ameoa,wapil yupo nje ya nchi anasoma,watatu yupo chuo hapa hapa dar na wa mwisho yupo form six nikasema jinsia gn akasema wote wakiume kasoro huyu wa mwisho ndo msichana.na huyo mama na mmewe ni watu wazima sna yn wanaanza kuzeeka ika matajiri, nikamwambia sawa kesho yake asubuhi akanipigia yule mama nikamwambia niko njian akasema sawa mwanangu, jion ikabidi niende ubungo enzi hizo na beg mana bahat alinisindikiza yule mama akanipigia nikapokea kuewa nimeshuka baada ya muda akaja hadi nilipo akanipokea hapo bahata ananichek kwa mbali.nilikua nimechakaa kutokana na kule nilikokua nakaa ivo nilikonda rangi ilififia nilikua kabayaa mnoo,alikuja na mwanae wa kiume nahis ndo anaesoma chuo pia walionekana matajir baada ya kuingia kwenye gar yule mama akasema pole na safar maria nikamwambia asante akasema mm ndo mama rocky huyo anayeendesha ni kaka yako anaitwa evance nikajibu sawa nikamsalimia, tulianza tukaenda hadi kwao ilikua ni mitaa ya kina bahat kwel tukaingia mjumba mzur wa gorofa getin kuna mlinzi nikapelekwa ndan nikapokelewa na bint mrembo sana amevaa kabukta na tshet akasema maria karib huku anatabasam nikasema asante, mama akasema Huyu n mwanangu wa mwisho anaitwa desire nikasema ahaa wakikua wanatabasamu jamani nyumba n ya ghorofa sijawahi ona sebule kubwaa inasofa nzuri na kimeza cha kioo tv kubwa ukutani pemben ndo dinning room kuna meza nzur na vit vyake frij kubwa sana milango miwil akaniambia twende huku maria, alisema mama rocky nikapelekwa floo ya chin kuna chumba kikubwa kitanda kikubwa na godoro lake kimetandikwa vizur mashuka mazur na mito miwil dirisha moja kubwa na pazia zur sana pia kuna kabat la nguo na kimeza kina kioo na kakit akasema hiki ndio chumba chako nikastuka nikasema mama rocky mimi maria nitalala humu kweli? Mama Rocky akasema ndio afu niite mama sawa nikamwambia asante sanaa akasema utalala humu na huku ni bafun na choo utaweka nguo zako hum kabatin begijuu ya kabati, akafungua kabat nikaona mashuka mengi ktk droo moja akasema haya ni mashuka yako na pale akaonesha meza yenye kioo akasema utaweka mafuta yako ukiwa unajiremba unajiangalia ata ukivaa ww ni n mdada bana kujituzama mujimu, akaongea huku anacheka mm machoz yananitoka nikapiga magot nikamwambia mama asante sana mama, akaninyanyua akasema mbona unalia maria usilie mwanangu nikazidi kulia akaniambia oga kwanza afu tutazungumza ika usilie, Nikasema sawa nikaingia kuoga nikajifuta nikavaa nguo zangu mana nilinunua za kufanana na mm hadhi yangu nguo kubwa kubwa nikamaliza nikaenda seblem akasema umeshaoga maria nikasema ndio mama akasema haya kaa hapo mezan ule yule mama akaniletea chakula kuku nusu na wali pemben embe na ndiz huku na juic barid nikasema maria mm naota au nikapiga tena got nikamwambia mama nashkuru sana akaniaambia maria acha hivo jamani ukisema asante inatosha kula ushibe upumzike najua umechoka na safar kweli nikala na desire akaja akapakua nae chakula tukala akawa ananionesha vitu kwenye simu mm nashangaa yy ananielekeza tu nikishangaa mno hawa watu, tukamaliza desire akatoa vyombo nikamsaidia kupeleka jikon huko nikakutana maajabu yn ni makabat ya juu na chini nako kuna frij kubwa na friza moja la kati nilikua sijui nikaelekezwa.nikataka nioshe vyombo yule mama akasema hapana ww ni mgen leo pumzika kesho nitakuelekeza kaz na mazingira labda kesho kutwa unaeza anza kufanya kaz nikasema mama mm nimezoea usijali naomba nioshe tu akasema hapana maria acha ataosha desire leo, bas nikaambiwa nikakae niangalie tv jmn tv niliangalia kwa kuenjoy anapofanya kaz bahat lkn kule gwantamo kwa mama Sasha nimarufuku et nachafua kochi, bas nikatulia kwenye sofa nimejikunyata maria mm baada ya myda akaja mzee ambae ndo baba rocky nikatambulishwa nikamsalimia got mpaka chini akasema karibu mwanangu bas wakaenda mezan mm niko kwenye tv muda wa kulala nikaenda chumbn kwangu jaman sikuamin nililala kwa rahaaa nikatega alarm nisije sahau kuamka bureeee uzunguni huku nikaharibu kibarua changu kipya mie maria...itaendelea.