Mashabiki wa DR Congo wameharibu Uwanja wao kwa kuvunja na kurusha viti baada ya timu ya taifa kushindiliwa mabao 3-2 na Simba wakali toka hifadhi ndogo ya Wanyama ya Teranga Senegal nyumbani kwao.
10th Sep, 2025 Views 11
DR Congo walikuwa wakiongoza 2-0 kabla bao hizo mbili kuchomolewa kisha wakafungwa na jingine moja, matokeo ambayo yaliwaduwaza Mashabiki wao ambao baada ya mchezo wakaamua hasira kuzimaliza kwa kuvunja viti vya Uwanja wao.
Senegal ina pointi 18 huku Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ikiwa na alama 16 katika kundi lao.
#KitengeSports.
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
Mashabiki wa DR Congo wameharibu Uwanja wao kwa kuvunja na kurusha viti baada ya timu ya taifa kushindiliwa mabao 3-2 na Simba wakali toka hifadhi ndogo ya Wanyama ya Teranga Senegal nyumbani kwao.  >>> https://gonga94.com/semajambo/mashabiki-wa-dr-congo-wameharibu-uwanja-wao-kwa-kuvunja-na-kurusha-viti-baada-ya-timu-ya-taifa-kushi
Mashabiki wa DR Congo wameharibu Uwanja wao kwa kuvunja na kurusha viti baada ya timu ya taifa kushindiliwa mabao 3-2 na Simba wakali toka hifadhi ndogo ya Wanyama ya Teranga Senegal nyumbani kwao.
Maoni
Click here to login and comments