Ile sauti ya Hemed na vile bado nilikuwa kitandani ukizingatia kimkojo kilikuwa kimenibana lolπhamu tu ndo kitu nilikuwa nakisikiaπ
Akiongea mwili mzima ulikuwa unasisimka nabaki kugugumia kimya kimya kisauti sasa kama niko natiwa duduππ
Yeye mwenyewe alikuwa hoi taabani hahahaaaa nyieee mapenzi hayaπyani unaongea na mtu kwenye simu unasikia hisia mpaka unatamani ile kitu..
Hemed aliniomba nijiandae then anakuja kunichukua na aliniomba nivae nguo ya heshimaπ―π―π―mbona nguo ya heshima au unanipeleka ukweniπ
Akacheka akaniambia huenda huezi juaππnilimwambia sawa basi nitavaa ya heshima baba..
Baada ya kumaliza kuongea na wa rohoni niliamka na tabasamu murua nikaelekea washing room..
Nilikoga vizuri nikajiweka fresh huku nikiwa naimba imba nyimbo fulani hivi tamu za mapenziπ₯°π₯°...
Asikwambie mtu bwana raha ya penzi umpate wa kuendana naye umpende akupende vikwazo na mikwaruzano havikosi ila upendo wa dhati hufunika vyote hivooπ₯°π₯°..
Baada ya kuoga nilipangilia nguo ya kuvaaππas we know babe kashaniomba nivae nguo ya heshima huenda napelekwa ukweni or kwa marafiki zake sijui lakini nahisi tuππ..
Nilihakikisha nimependeza kuanzia kichwani mpaka kwenye unyayoπππ nilipokwisha kumaliza nilimpigia Hemed video call nikamuuliza babe how do I look π΄ππ₯°π..
Alitabasamu kisha akaniambia you look Good babe very beautiful π very demure π₯°π₯° Very mindfulπβ€οΈβ€οΈ..
Hahahaaa raha ya kusifiwa usifiwe na mwandani wakoπππβ€οΈβ€οΈhaikuchukua muda babe alikuja kunichukua aliniomba nisile chochote maana huko tunakoenda kuna bufee la kufa mtuπππ..
Tulipanda zetu kwa gari safari ikaanzaππΌππΌππΌwapi tunaenda kwa nani na kwa nini????Sikujua...
Safari haikuwa ndefu sanaaa ilichukua kama dakika 45 tu tukaingia kwenye jumba moja hivi lina muonekano mzuri sana..
Geit la hiyo nyumba lilifunguliwa na security tukakaribishwa kwa heshima sanaπ―π―π―ni wapi huku Mungu wangu mbona tunasalutiwa hivo..
Gari iliingia packing tukashuka then nikamsikia Hemed akiita kwa nguvu mom I'm home where are you guysπ―π―
Uuuwww kwa hiyo kanileta kwaoπ΄π΄π΄lol lol miguu mpaka iliishiwa nguvu..
kiuoga fulani kwa mbali hahahaa si mnawajua wazazi wa kibongo kwa kuwachambua wachumba za vijana wao hawajambo lazima mtu uogopeπ
Ndani ya sekunde akatoka Mr Martin π³π³π³yule mbaba alonichukua shuleni kwa kina poppy siku ile akanipa na tissue nifute machozi π―π―π―..
Alikuwa na mke wake Mrs Martin mama fulani hivi ana weusi wa kuteleza very cutesy β€οΈβ€οΈβ€οΈ
Alitoka na mdada fulani rika langu karembo kenyewe na dogo mmoja wa kiume kwa pamoja wakatwambia wow karibuni tulihagiwaa hapo mabusu teletele ushawahi kubusiwa na baba mkwe weweππ
Familia ina uzungu mwingi ileeeπππ wanafamilia wengine tuliwakuta ndani yani kiufupi karibia ukoo mzima wa Hemed ulikuwepo paleπ―π―π―..
Nilikaribishwa kwa shangwe na vigelegele hahahaaaa nikasalimia ndugu wote nikatambulishwa nani ni nani nikapata kuwafahamu..
Mr Martin ni baba wa Hemed nyieeeeππhivi siku ile ningejichanganya si ndo ningekuwa sifai tena kuwa mke wa Hemedππ
Mjue siku ile ilibakia kidogo nimuombe namba yule mbaba kwa kuzania ni shuga Daddy litakalonifaa maishani kumbe ni baba mkwe dahππ
Nini kitafuata????
Fuatilia sehemu inayofuata...
Full 2000
Whatsapp 0657171961
KWETU Morogoro.
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni
Click here to login and comments