Chakula chake cha usiku nilikuwa nakipikia nyumbani kule mgawahani kwetu hakuna hata umeme pale ni spesheli kwa chakula cha asubuhi na mchana tuππ
Basi bwana nilimwelekeza akaniambia anakujaaππ ilibidi sasa nianze kumpakulia msosi wake kwenye hotpot nzuri mteja ni mfalme bwanaπ
Ile juice niliitia kwenye kopo fulani hivi naloekea maji yangu ya chuoππni zuriππ Hemed alifika karibia na kwetu akanipigia..
Nilimuomba asije na gari yake mpaka nyumbani majirani wataanza kutudisi hahahaa mi naogopaππ aliegesha gari kwa mbali kidogo kisha akatembea mpaka kwetuπ
Nilimkaribishia nje kulikuwepo na kiti pale akakaa nikamtolea chakula chake nilikuwa nimekifungasha vizuri akanishukuru baada ya hapo akatutakia usiku mwema akaondoka zake..
Usiku tena wakati najisomea akanipigiaππ ilikuwa mida kama ya saa nne hivi nikajiuliza au nimezidisha machumvi huko kwenye chakula hahahaaa
Nilipokea kama kawaida yake akaniambia samahani kwa usumbufu Bellaππ bila samahani Hemed karibu nakusikiliza..
Asante sana kwa chakula Bellaπ₯Ήπ₯Ή chakula ni kitamu sanaππtangu nizaliwe leo ndo nimekula chakula chenye radha tamu ninayoipendaβ€οΈβ€οΈ
Asante sana mama Mungu akubarikiπ₯Ήβ€οΈ lolπππnilijisikia furaha mieeπnikamwambia asante kwa kushukuru Hemed naomba nikutakie usiku mwema.
Nilikata simu chapuππmi sitaki hizo habari za kuzoeana mwisho yaibuke mengine akuu najiepushaaaa...
Baada ya kukata simu ikaingia msgπ€π€na that time sijui nilianza kuwajeπ simu ikiita tu nawaza ni Hemedππmsg ikiingia tu nawaza katuma Hemed..
Nilifungua msg kweli ilitoka kwa Hemed aliniuliza kama niko free anipigie tuongee mmhhh nilimkataliaπ
Nilimwambia niko bizeπ€π€ bize usiku huu Bella??. Kwani unafanya nini mamaaa...
Uuwww huyu naye kwanini ananiharibuπ°π°π°nilishindwa kabisa kuacha kujibu msg zakeπ₯Ίπ₯Ίkila akituma najibu kila akituma najibu nikajikuta hata madaftari nimeyatelekeza..
Nilimwambia mie usiku mida kama hii nakuwa najisomea maana ndo nakuwa free sina hekaheka..
Oh sorry mama kwa usumbufu so unasoma uko level gani??. Nikamwambia niko chuo...
Chuo gani unasoma unasomea nini??. Nikamwambia niko IFM nasomea course fulani..
Wow hongeraπ₯Ίβ€οΈnikamwambia asanteee...hapo nyumbani mnaishi na wazazi wenu???..
Dahπππhilo swali lilikuja kunikumbusha wazazi wanguπ₯Ήπ₯Ήπ₯Ήnilijikuta tu naanza kulia na sikuweza kumjibu chochote nilizima simu nikaenda chumbani kwanguπ
Nilichukua picha ya mama na baba nikawa nawatizama tu naishia kuwaloanisha kwa machozi..
Nililia usiku mzima majukumu niliyonayo ni magumuπππ kesho yake niliamka macho yamevimba sana...
Sikuweza kulala wala kubakia nyumbani ilibidi nitoke nikahangaike nikilalala nani atanitafutia sina wa kunitafutiaπ°..
Nilimtuma poppy sokoni mimi nikatangulia kupika vitafunwa bado simu nilikuwa sijaiwashaπ°
Wakati napika vitafunwa kwa nje nilisikia muungurumo wa gari nilipochungulia nikamuona Hemed anashuka kwenye gari na vile vyombo alivochukulia chakula usiku..
Nini kitafuata???. Itaendeleaaaaaa
*SEHEMU YA 05*
Hemed alipiga hatua mpaka ndani na mida hiyo sikuwa na mteja yoyote maana ilikuwa asubuhi sana ..
Niliipua nilichokuwa nakipika nikaenda kwanza kumpokeaππ aligundua siko sawaπ°π°..
Swali la kwanza aliniuliza Bella are you okay??..
nyieee hiko ndo kitu pekee nilichotamani kuulizwa kwa muda huoπππ
Nilishitukia tu machozi yananitoka bila kujizuia nilimwambia no I'm not okay Hemedπ₯Ήπ₯Ή..
Aliweka vile vyombo pembeni then akanikumbatiaaππwakati Hemed amenikumbatia kwa bahati mbaya poppy nayeye alirudi kutoka sokoni akawa ametukutaπ°π°..
Nilimwachilia Hemed haraka nikarudi nyuma kuendelea na kazi yangu..
Sikuweza kumwelezea chochote naye aliona mazingira siyo rafiki ikabidi aondoke lakini hakuwa okay kwa sababu ya hali aloniacha nayo..
Tulisaidiana na dogo kuandaa chakula kabla wateja hawajaanza kuja..
Mida ya saa nne mimi nilipeleka chakula site kwa Hemed poppy akabaki anahudumia pale ofisini..
Siku hiyo nilienda nikamkuta Hemed kule site alikuwa tu amekaa ndani ya gari lake..
Niliwapa chai mafundi nilipomaliza akaniita kwenye gari mmhhh sikuenda ππ watu wataanza kutujadili wakati hakuna hata kinachoendelea kati yetu..
Alipoona siendi aliamua kutelemka kwenye gari akanifuata pale nilipokaa..
Alikuja akaniomba tuongee mi nikamkatalia nikamwambia hapa siyo sehemu sahihi..
Aliniomba tuzunguke nyuma ya nyumba muda huo mafundi wanakula..
Nilimkubalia tulienda nyuma ya nyumba Hemed akaanza kuniuliza nina shida gani kwanza nimevimba sana macho kama mtu niliyekesha nikilia..
Nilimwambia kuna vitu tu vinanisibu alianza kunibembeleza nimwambie lakini naanzaje kumwambia mtu hata simjui nianze kumwelezea matatizo yangu..
Sikumwambia chochote niliishia kulia tu na baada ya hapo nilichukua vyombo nikaondoka pale..
Hemed alinifuata ofisini mgawahani kwetu pale...alikuja akamuita poppy akaenda kuzungumza naye hata hivo nilishamzuia poppy kusema kitu chochote bila ruksa yangu..
Hemed bado alitaka kujua nasumbuliwa na nini alimuuliza poppy lakini poppy hakuweza kuongea chochote alimwambia tu kuna siku dada mwenyewe atakwambiaπ₯Ήππ..
Mkaka wa watu siku hiyo hata hakunywa chai nilimhurumia sanaπ
Aliondoka ila akaniomba niwashe simuπ€π€π€nilifanya hivo ilibidi niwashe simu nione anataka kusema nini...
Baada ya kuwasha simu alinipigia akaniuliza kama nimekula nikamwambia sina appetite ya kula chochote..
Alinibembeleza mno akaniomba nile chakula mmmhhh nilimuitikia tu lakini wala sikula..
Jioni mida ya saa kumi tulifunga mgahawa tukarudi nyumbani kwa vile huwa tunapika chakula cha Hemed nyumbani
basi nasisi tulianza kuwa tunakula uko huko home badala ya mgahawani..
Siku hiyo usiku Hemed alikuja kuchukua chakula akiwa hana Amani kanyong'onyeaππ
Nilimtolea chakula chake lakini alikataa kukipokea aliniambia nirudishe chakula ndani tukale wote maana mpaka muda ule bado nilikuwa sijalaπ
Nilijaribu kumgomea nayeye akanigomeaππakadai haondoki pale kwetu bila mimi kulaπ
Itaendeleaaaaaaaa
Full yote 2000
Whatsapp 0657171961
KWETU Morogoro.
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni
Click here to login and comments