*___________*
*SEHEMU YA 16*
Tulimaliza kufanya usafi tukaenda kukoga then tukapata kifungua kinywa tulipomaliza mama akaniomba tutokeπ₯°
Tulitoka mimi na Mom pamoja na missa my Wiii hahaaa nakapenda sana kawifi kanguβ€οΈβ€οΈ..
Mom alinipeleka shopping nikanunua nguo maana siku napelekwa ukweni wala sikubeba hata nguo ya kubadili..
Nilinunua nguo za ndani na nguo za kubadiliπ₯°π₯° viatu pochi pafume kila kitu mom aliniambia nibebe kila kitu nachohitaji..
Baada ya shopping tukapita photo shoot nyie mama mkwe wangu ana uzungu yule hahaaaπ₯° tulipata picha kadhaa alidai anataka kubaki na picha za kumbukumbu..
Alimwambia pia yule mtu wa photo shoot aje home atuchukue picha za familia nzimaπ₯°π₯°π₯°β€οΈbasi tulirudi nyumbani nikamkuta Hemed wangu wako zao wanapiga story na baba..
Nilipima nguo zangu zilikuwa nzuriπ₯°π₯°π haikupita muda mtu wa picha alikuja tulijitayarisha tukaenda kuphotoa picha tulipomaliza tukaenda kuandaa chakula cha mchana mimi na missa..
Sikutaka kuondoka bila familia kuonja pishi langu hahahaaaπ€£π€£π€£πnilimwambia missa wee niandalie tu viungo then uniachie jikoπ₯°π₯°..
Nilipika chakula kitamu sanaπ€£π€£π€£πwakati wa kula nikawa nawaona wazee wanavokonyezana tu na kuambiana kweli hapa kijana wetu hajaangukia pua huyu mwanamke ni wife material..
Nilifurahi kwa kweli chakula kilikuwa kitamu sanaπ₯°π₯° baada ya kula nilikwenda kusaidia kuosha vyombo then tukapumzika kidogo jioni ilipofika tukatoka kutembea tembea mimi na Hemedπ₯°β€οΈβ€οΈβ€οΈ..
Tulikaa pale ukweni siku tatu tukaondokaπ₯°π₯° nilipapenda na niliipenda pia familia ya mme wangu mtarajiwaπππ..
Siku tunatoka ukweni sikurudishwa kwetuππ Hemed alinipeleka kwake aliniambia ni vyema nipafahamu anakoishi maana yeye anapajua napokaaππ
Niliogopa sana maana aliniambia nitalala hukohuko kwakeππbwana hata ingekuwa nyie lazima mngeogopaπ€£
Hemed alinipeleka mpaka nyumbani kwake alikopangaπ₯°π₯°nilikaribishwa ndani pasafi hatariππ..
Aliniagizia kinywaji maana fridge lilikuwa empty π nililetewa soda nikanywa tukapumzika kidogo badae akaniambia tutoke tukanunue vitu vya ndani..
Mbona vitu vya ndaniπ₯Ήπ₯Ή akadai anataka nikae pale kwakeπππbila ndoa.?? Et muda huo wazazi wanaandaa mipango ya ndoa ukute tunaishi pamoja..
Mmhh hapana Boo hata kulala kwa siku moja tu silali fanya unirejeshe nyumbani nitaanza kuishi nawewe tukifunga ndoa kwa sasa siweziπ°π°..
Alisema sawa lakini akachukiaπ₯Ίπ₯Ίalinirudisha nyumbani akanishusha hakuna kuagwa akaondoka kimya kimyaππ..
Kesho yake wala hakuja kunipeleka chuoniππ na nikawa nampigia simu hapokei hahahaaa jamani kwanini ananifanyia hivo wakati mambo yalikuwa yanaelekea kuzuriπ°
Katika kipindi nilipitia wakati mgumu ni hiki kipindiπ°π° imagine mtu mmetoka kwao ghafla anakubadilikia hapokei simu hajibu msg na ndo tayari ushampenda ushatambulishwaπ°π°
Ghafla tu anakununia kisa umekataa kulala naye na umekataa kuishi naye kabla ya ndoa π°π°..
Hemed aliacha hata maswala ya kuja kuchukua chakula ikabidi niache kuwa nampikiaπ°π°...
Hata kule site alitafutwa mpishi mwingineππkiufupi Hemed alinipotezea kama hanijui vileπ₯²π₯²..
Hivi ingekuwa wewe ungefanyaje??? Ungekubali kuanza kuishi naye kisa tu kakutambulisha kwao???
Au ungekaza hakuna kuliwa hakuna kuishi pamoja mpaka mtakapofunga ndoa??..
Itaendeleaaaaaaaa
Full 2000
Whatsapp 0657171961
KWETU Morogoro.
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni
Click here to login and comments