Ingia

Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track

MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI❣️* *___________* *SEHEMU YA 11*

17th Sep, 2025 Views 53



Nilitembea mdogo mdogo mpaka kwenye gari Hemed akashuka akanifungulia mlango nikapandaπŸ™ˆπŸ™ˆakanifungia mkanda lol😝

Nyiee unaeza ukapagawa nawaambiaπŸ™ˆπŸ™ˆ aliniambia umependeza sana mama❀️❀️..

Nikamwambia thank you you look Good tooπŸ₯°β€οΈ akasema thanks, hope you Good nikamwambia yes I'm fine...you??? Akajibu I'm too fine..okay

Tuliondoka mpaka chuoni hii ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kupelekwa chuoni na ndinga tena ndinga ya pesa ndefu nyiee..

Nilitamani nimzuie Hemed asinifikishe chuoni nilihofia watamuiba😝😝😝naanzaje kumwambia uuwww si ataniona nimemzimikia kupita kiasi.

Tulikwenda mpaka parking akasimamisha gari akashuka akaja kunifungulia mlango uuuwww 😝😝 akanishika mkono nikashukaπŸ™ˆ

Wanafunzi walikuwa wanashangaa leo chuoni kaletwa nani jamani walihisi huenda waziri wa kitengo fulani kumbe ni mimi maskini kapukuπŸ˜‚

Bella😳😳😳kila mmoja akashangaa baada ya kuniona nikiwa nimeshuka kutoka ndani ya lile gari expensive..

Baada ya kushuka Hemed aliniambia take care babe i love you❀️❀️ nikamwambia thank youuu take careπŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°

Sikumwambia I love you too alijisikia vibaya lakini niliondoka zangu tusiendelee kubakia pale kama maonyeshoπŸ˜πŸ˜‚

Hemed naye aliondoka nilimwambia jioni saa 10 ndo nitatoka chuoni akasema atamtuma mtu aje kunichukua alidai hiyo mida atakuwa kwenye kikao..

Basi bwana ile pesa ya siku ile nilopewa na Hemed nililipia madeni nilokuwa nayo chuoniπŸ™πŸ™

kuna mitihani nilikuwa sijaifanya kutokana na kutolipa Ada ilitakiwa niifanyee baada ya kulipa..

Ndani ya hiyo week nzima nilikuwa bize na mitihani na namshukuru sana Hemed alikuwa ananijali vibaya mno..

Nilikuwa nikitoka chuo namkuta nje ananisubilia na asubuhi yeye ndo mtu alikuwa ananiamsha kwa ajili ya kujiandaa kwenda chuoni..

Usiku ataniamsha nijisomee alikuwa anajali sanaaaa❀️❀️❀️..

Week iliyofuata ndo ilikuwa week ya poppy kuanza kuishi shuleni tayari alishalipiwa kila kitu..

Mimi nilimfanyia tu shopping ya vitu kidogo akaenda navyo sheleni ..that time nilikuwa na vipesa pesa ninavyopewa na Hemed hahahaaaπŸ™ˆπŸ™ˆ..

Baada ya poppy kuondoka home nilibaki peke yangu nakumbuka siku moja ijumaa Hemed alipokuja kunichukua chuoni aliniambia siku inayofuata tutoke kuna sehemu alihitaji nimsindikize..

Wapi??? Hakuniambia alidai ni surprise😝😝mi nilimkubalia maana hata sikuwa na mishe yoyote ya kunizuiaπŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°

Kama kawaida yake alinipeleka nyumbani nikakoga nikabadili nguo tukatoka kwenda kula..

Siku hiyo nilivaa nguo matata sana ilimchanganya vibaya Hemed..

Nakumbuka usiku aliponirudisha nyumbani kabla sijashuka kwenye gari Hemed alinizuia kushuka akaniambia kabla sijashuka kuna kitu anataka kuniambia.

Kitu gani??? Nilimuuliza

Akaniambia anahitaji kiss eh nyieeeπŸ˜΄πŸ™ˆ kabla sijaanza kujitetea nikashangaa ananivuta kifuani kwake oopsπŸ’‹

Lips zake laini zikanivamia mdomoni kwangu ooh shit babe please i was like ooh majirani watatuchungulia kwenye gariπŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹

Kwani alisikia sasa ndo kwanza alisogeza lips zake mdomoni kwangu akanikamatilia vizuri akaanza kuninyonya na kunipapasa Oooohhh πŸ’‹πŸ’‹

Itaendeleaaaaaaa
Full 2000
Whatsapp 0657171961
KWETU Morogoro.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI❣️* *___________* *SEHEMU YA 11*  >>> https://gonga94.com/semajambo/mrembo-yatima-na-kijana-tajiri-___________-sehemu-ya-11

#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Maoni

You're not logged in
Click here to login and comments
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
gonga94 official track
ZETU
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Tangazo - PROMOTE YOUR BUSINESS FOR FREE
PROMOTE YOUR BUSINESS FOR FREE
PROMOTE YOUR BUSINESS FOR FREE

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest