Ingia

Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track

MSINYIMANE 01 ❤❤.

21st Aug, 2025 Views 43



Songa nayo......
Tunamuona binti mpambanaji aitwae Pendo akiwa kabeba beseni lake la matunda akitembeza mitaani, kama kuumbwa tu Pendo aliumbwa akaumbika, sha..pe yake iliwatoa udenda vidume wengi ila watu walishangazwa kwa kazi ya Pendo aliyokuwa akiifanya, hakwendana kabisa na kazi ya kuuza matunda ila kutokana na ugumu wa maisha angefanyeje sasa mtoto wa watu?.

Pendo alikatiza mitaa aliyoizoea na alifika kwenye nyumba moja aliyozoea kuwauzia matunda karibu kila siku.
"Hodiii jamani matunda!"
"Hodi"
Aliita mara kadhaa pasipo watu kuitikia.
"Aise unanipa hunipi?"
"Sikupi!?"
"Utanipa tu leo utake usitake haiwezekani nimalize wiki mimi bila kuichapa!"
"Sikupi ng'oo nenda kwa mima...laya yako huko!"
"Ngoja sasa!"
Ni malumbano yaliyotoka ndani na kumfikia Pendo aliyekuwa kasimama upande wa nje.
"Mmmh makubwa! ila ngoja niendelee kugonga tu watajijua wenyewe mimi kikubwa nikuuza tu!"
Aliwaza na kuendelea kubisha hodi tena.
"Hodiii!"
"Wewe naye nini huko nje? mimi nahangaika hapa kuiomba alafu unapiga hodi kila mara nakutusumbua tu?"
"Samahani kwa usumbufu ni mimi Pendo muuza matunda!"
"Aaah kumbe ni wewe, nisubiri hapo nakuja!"
Pendo aliweka beseni lake chini na kusubiri.

Moyoni alifurahi balaa na hakutaka kujali kama kamvulugia jamaa aliyekuwa akihangaika kuiomba kwa mkewe na baada ya mda alitoka mpaka nje.
"Kaka Deo za kushinda?"
"Aaaaah mbaya tu!"
"Mmmh kwanini kaka?"
"Shemeji yako mpuuzi sana ananinyi**ma hii ni wiki ya pili sijapewa na hapa na ha**mu!"
"Sasa kwanini mnanyimana na nyie?"
"Wewe nawe uza matunda yako huko usifatilie mambo ya ndo..a za watu!"
Sauti ya mke wa Deo ilipenya mpaka nje na Pendo ilibidi anyamaze na kumuuliza Deo kama anachukua matunda.
"Leo hamna matikiti?"
"Leo hayapo?"
"Nipe hata matango yatatosha"
"Aya kaka nikupe mangapi?"
"Wewe unataka unipe mangapi?"
"Hahahahaha ila Kaka Deo bhana mimi hata yote tu nakuuzia"
"Basi niuzie yote!"
Pendo alimpatia matango yote na Deo aliingia ndani kwenda kuchukua pesa na kumkuta mke wake akiwa katulia tena hana habari kabisa.
"Paulina leo lazima unipe subiri nije!"
"Unaongea kwa nguvu ili iweje? au unataka kumfaidisha muuza matunda?"
"Utajua mwenyewe!"
Deo alichukua pesa na kutoka nje na kumpatia pesa Pendo.
"Asante kaka ila msinyimane jamani mwambie Dada akupe"
"Nyo**ko nyo**ko mbona unafatilia mambo ya watu wewe muuza matunda?"
Paulina alipayuka baada ya kumsikia Pendo akiongea upande wa nje.
"Sio hivyo dada ila tu nimeshauri?"
"Umeshauri nini kwanza umeolewa mpaka unipe ushauri mimi wa kumapa**nulia mapj mme wangu?"
"Mmmh basi yaishe!"
Pendo alibeba beseni lake la matunda ili kuepusha shari.
"Wewe ondoka acha nidili naye, leo ataitoa tu mbona!"
"Aya mkazanie akupe bhana kaka na wewe usiwe mzembe!"
Pendo alichochea moto nakuondoka na Deo akaingia ndani.
"Aya la..la kita..ndani haraka Paulina!"
"Silali!"
"Hulali eee!, subiri sasa"
Deo alimsogelea na kumshika kwa nguvu akaanza kumvuta kumpeleka kta..ndan.
"Niachie wewe mala**ya!"
"Sikwachii mpaka uni..pe!"
Alifanikiwa kumpa...ndisha kita..ndan na kuanza kuzitoa ngu...o zake kwa nguvu ila Paulina aliusogeza mdomo wake na kumng'ata kwenye mkono.
"Aiiii unaniuma?"
"Komaaaa mfate muuza matunda akupe sindio kakudanganya ila hapa hupati kitu!"
"Pu**mbavu kabisa unafikiri nashindwa!"
Deo aliongea kwa hasira na kuelekea nje, hakukitaka tena kitumbua mkewe na Paulina alivuta domo na kwenda ku..vaa nguo zingine.

Deo alifika nje na kuangaza sehemu ambayo Pendo amepita kama atamuona.
"Subiri sasa dawa yake ni ndogo tu!"
Alianza kutembea kumtafta Pendo, upwi..ru ulimwendesha na njiani alikuwa akiongea mwenyewe kama mweu!, alikutana na kijana mmoja na kumsimamisha na kumuuliza kama kamuona muuza matunda.
"Hapana sijamuona!"
"Basi sawa!"
Deo alimpita na kuendelea zake na safari ila kijana alikumbuka kitu na kumsimamisha.
"Nimekumbuka nilimuona!"
"Ulimuona wapi?"
"Kule mbele anauzia wateja!, pita kwenye hii njia ukaulizie utampata tu!"
"Sawa asante!"
Deo aliondoka na alipofika mbele alimuuliza karibu kila mtu aliyekuwa akimuona na alielekezwa alipoelekea Pendo.

Aliendelea kumsakua mpaka akafanikiwa kumpata.
"Nimehangaika mno kukutafta!"
"Ni wewe tena kaka Deo?"
"Eeeeeh twende tukae pale na maongezi na wewe!"
"Basi sawa!"
Walisogea kwenye jiwe lililokuwa pembezoni na kukaa.
"Nakusikiliza kaka!"
"Mimi sitaki nizunguke sana Pendo, mke wangu kaninyima na hataki kabisa kunipa mbaya zaidi kaniambia nije nikuombe wewe unipe!"
"Mmmh kaka umefika huko tena?"
"Sio kwa ubaya lakini ila nisaidie tu kwa leo, nipo vibaya hapa unavyoniona yaani sijiwezi kabisa!"
Deo aliongea huku aki...mkazia macho na Pendo alijikuta akiona aibu na kuangalia chini..........ITAENDELEA.

WhatsApp 0748697173
Full Tsh 1000, Namba ya malipo 👇🏻👇🏻

LIPA NAMBA 67027625 - VODACOM JINA JOHN ELIAS..
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MSINYIMANE 01 ❤❤.  >>> https://gonga94.com/semajambo/msinyimane-01

#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Maoni

You're not logged in
Click here to login and comments
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
gonga94 official track
ZETU
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest