Ingia

Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track

MTEGE MUMEO KAMA UNATAKA UTAMU WA NDOA YAKO

20th Aug, 2025 Views 59



Siku hiyo MWANAMKE anza kwa vimeseji vya kimitego umtumie mumeo huko alipo akijitafutia riziki ..acha uvivvu dadaaaangu
Mwambie mume wangu uwahi kurudi Leo Nina hamu na wewe kila nikikukumbuka ikulu inachezacheza...
Hapa nilipo mumewangu ikulu imezama chapachapa ..
Hamu mumewangu imenipanda yaani ukifika nyumban nikikukumbatia tu na kukubusu nitamwaga baby Nina hali mbay, nakumisss hubby....
Mwambie mume wangu nivae shanga au cheni ❓ Kama mlokole tulia tu asije pataa presha bure..
Mwambie mumewangu nataka ya mbuzi kagoma na kuchuma mboga ili unikune vizur SMS hizo tu zitamtia hamu huko aliko atawahi kurudi nyumban

NYUNBANI
Fanya usafi wa nyumba na mwili wako daadaaangu
Tafuta kamtandio tu kepeesi usivae👙
Tandika shuka nzurii nyeupe au ya pink

Hapo juu ya mto weka vitambaa / vitaulo vitatu vilivyokunjwa na kupasiwa vizuuri na marashi juu viwe vinanukia
Vipange kATIKATI ya kitanda mumeo akiingia chumban akiviona tu mkubwa atasimama mdogo atakaa.

Kisha chukua karatasi iandike UJUMBE NATAKA NIKUPE YOTE MUMEWANGU wewe iweke hapoo kitandani ataisoma kimya kimya siunajua wanaume hisia zao zinakuja haraka kwakutaaamaanishwaa.

Itandike juu ya kitanda weka na hiyo karatasi juu yake.

Mumeo akiingia tu chumbani hata kama alikuwa hana ratiba ya kukupa ata kupea utamu tu maana ADUI ushatega mitego yako 💋
Kikuku anavaliwa mumeo chumbani sio kuzurura nacho mitaani kama kuku mgeni shanga kiunoni za mumeo
✍️✍️✍️✍️✍️✍️.

Kama ukiachika ujue huyo sio chaguo lako maana kwa masomo haya chaguo lako halikimbii .

HII NIKWA WANA NDOA TU.

Tukutane kwenye group ..

Mwanamke na ndoa Bora 0769228130.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MTEGE MUMEO KAMA UNATAKA UTAMU WA NDOA YAKO  >>> https://gonga94.com/semajambo/mtege-mumeo-kama-unataka-utamu-wa-ndoa-yako

#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Maoni

You're not logged in
Click here to login and comments
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
profile
majario 20 Aug 2025 22:04
MTEGE MUMEO KAMA UNATAKA UTAMU WA NDOA YAKO
gonga94 official track
ZETU
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest