Mume wa zamani wa Karishma Kapoor aitwae Sunjay Kapur amefariki dunia.
19th Jul, 2025 Views 13
Taarifa kutoka vyazo mbali mbali nchini India vimeripoti kuwa Sunjay amefariki leo akiwa kwenye mchezo wa polo nchini huko nchini Uingereza akiwa na umri wa miaka 53.
Sunjay/Sanjay Kapur alikuwa mume wa Karishma tangu mwaka 2003 na kuachana mnamo mwaka 2016 na Walipata watoto wawili ambao ni Samaira (2005) na Kiaan (2011)..
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
Mume wa zamani wa Karishma Kapoor aitwae Sunjay Kapur amefariki dunia.  >>> https://gonga94.com/semajambo/mume-wa-zamani-wa-karishma-kapoor-aitwae-sunjay-kapur-amefariki-dunia #Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war