wa kimataifa mwenye Beji ya FIFA toka nchini Mauritania @ffrim ameteuliwa kuwa Refa wa VAR
katika mchezo wa kesho Tanzania vs Morocco katika michuano ya CHAN @caf_online inayoendelea.
Huyu Refa ni Muuaji katika maamuzi yake ndani ya mpira kwa
Watanzania na historia inajua hivyo na hapendwi wala kutakiwa kuwepo katika michezo ya Tanzania maana tayari
nyongo zimetumbuka juu yake.
Mechi ya Mamelod vs Yanga alituuua waziwazi kule South
Africa katika CAF Champions league ila tukio la hivi karibuni ni la Fainali ya CAF Confederation Cup kule Zanzibar Simba vs
Berkane toka Morocco alitoa maamuzi anayojua yeye na kuacha vidonda sana kwa Tanzania baada ya ile mechi
hakuweza kuondoka na ndege alikuja nayo bali ndege binafsi iliyoandaliwa na Rais wa Soka la Morocco na Makam wa Rais
wa CAF bwana Ferouz Lekjaa @tft_morocco hii ni kuonyesha
ni refa wa Mipango anaelindwa na @caf_online
Sasa Katika mchezo ambao Tanzania inacheza dhidi ya Taifa la Morocco ameletwa tena yule Refa wa Mipango na kusimamia VAR katika mchezo ambao Morocco inatoka North
Zone ya CAF na Refa anatoka North Zone hiyohiyo ya CAF kupangwa ni ubatili hii ni dhairi kuonyesha kuna Mipango
inasukwa na Watanzania safari hii Hatutakubali.
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni
Click here to login and comments