Mwewe anasema: nikijaribu kumtupa ataniuma!
Nyoka anasema: nikimuuma atanitupa!
Waliokua karibu wanasema: angalia urafiki mzuri kati yao!!!
Nb: hii ndio picha ya mafungamano mengi katika zama zetu.. kila mmoja anamshikilia mwenzake kwa maslahi na kuogopa madhara!.
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni
Click here to login and comments