Abby ALalionesha umahiri wake alionekana kuwa fundi haswa kitandani yani alikuwa romantic kupita maelezo ,alijali na kumuhendo ,alimgeuza geuza kamila kama chapati inapokuwa inapikwa jikoni.
Kamila alitoa miguno na sauti za mahaba huku akilitaja jina la Abby na hapo ndipo alipokuwa akimpa nguvu Abby ya kufanya shuhuri yake kwa umaridadi mkubwa.
Baada ya kwenda round kadhaa walikuwa wamechoka na kujilaza kitandani na kupitiwa na usingiz mzito.
Badae ya masaa kusogea Abby akakurupuka kutoka usingizini na kujikuta yupo kitandani tena chumbani kwa kamila akiwa hana nguo yupo kama alivyozaliwa na kamila akiwa Kalala karibu yake tena wakiwa wamekumbatiana.
" Hapana nimefanya kosa kubwa itakuwaje kama jiji akinikuta hapa?
Taratibu akautoa mkono wa kamila alishuka kitandani taratibu na kuvaa nguo zake haraka kisha akatoka nje na kwenda kuingia kwenye kibanda chake kilichopo karibu na getini.
Abby alikaa kwenye kiti huku mikono ikawa kichwani .
" Nimefanya nini sasa? Hapa kuna usalama kweli , yani chumba kimoja na boss wangu. Alivuta kumbukumbu akawa anakumbuka kila kitu kilichotokea.
" Ila madam ni moto mwingine yani mtoto laini , ila kusema ukweli leo nimefaidi tena mtoto wa watu hana hata shida kumpeleka kushoto anaenda kulia anafuata yani nilikuwa naenda nae sambamba hana hata ubishi.
Abby alijiibgwlea mwenyewe huku akitabasamu.
" Daaah kuna watu wana bahati sana lakini hawajui jinsi ya kuzitumia yani madam yupo safi kila idara . Sema hali yangu hairuhusu yani ningekuwa hakuweza mimi ningemmiliki mazima ningekuwa najiuliza vyangu.
Kulipokucha Kamila anaamka na kujikuta mwenyewe kitandani, lakini bado alikuwa na kumbukumbu za kilichotokea usiku anajikuta anatabasamu, alikuwa na furaha kupita kiasi mwili wake ulikuwa mwepesi... Kila alipokumbuka matukio alivyofanyiwa na Abby alijikuta mwili mzima ukisisimkia.
" Abby nitahakikisha na kushikilia kwa nguvu usichomike mikononi kwangu.
Alinyanyuka pale kitandani akaenda kuoga baada ya hapo alikaa kwenye dressing table akajipaka mafuta huku akiangalia kwenye kioo na uso wake ukiwa na tabasamu lisilofutika. Alichukua yainivyake fupi ya mauwa madogo madogo alivaa na kumjaa vizuri mwilini. Alibana nywele zake vizuri na kujiuliza marashi baada ya hapo alijiangalia kwenye kioo huku akigeuka nyuma. Alipoona yupo sawa alitika akaenda jikoni alimkuta Rehema anaendelea na kazi zake za usafi.
" Habari Rehema.
" Salama madam umeamkaje?
" Salama kabisa. Leo nataka uniandikie chai ya nguvu yani iwe na proteni ya kutosha.
" Sawa madam.
Asubuhi ile Abby akiwa akizunguka maeneo ya getini, kila mara moyo wake ulikuwa ukidunda kwa kasi kila aliposikia sauti au hatua ya mtu akitembea. Taswira ya kile kilichotokea usiku haikufika kichwani kwake mara kwa mara
Alikumbuka ilivyokuwa usiku ule jinsi alivyomshika Kamila, jinsi macho yake yalivyokuwa yamelegea huku akimlilia kwa mahaba na jinsi walivyozama kwenye dunia yao ya huba bila kufikiria lolote.
Kamila alitoka ndani akiwa na furaha tofauti na siku zote.
Abby alipomuona alishituka na kuangalia pembeni lakini kamila alienda kulekule alikokuwa.
" Habari yako abby.
" Salama madam....
" Tafadhali niite kamila.
" Mmmm...
Kamila alimsogelea karibu akamshika mkono
“Shukrani Abby, nashukuru sana kwa kile ulichonipatia jana usiku. Kamila alisema kwa sauti ya upole lakini yenye uzito wa hisia.
Abby akatikisa kichwa akageuka haraka kana kwamba kulikuwa na kitu pembeni.
“Abby…” Kamila aliita kwa sauti ya taratibu.
“Ndiyo madam…” kamila Akanyosha mkono wake na kushika kidevu cha Abby taratibu, akamlazimisha amtazame machoni.
"madam nahisi kukosea jana usiku nilivuka mipaka .
" Hakuna ulichokisea Abby mimi na wewe hatuko tena pale pale tulipokuwa mwanzo. Mimi na wewe ni watu wenye uhusiano mkubwa sana kwa rugha nyepesi naweza kusema wewe ni mpenzi na mwanaume wa moyo wangu . Jana umejua kunifikisha nilipokuwa nataka kufika . Kamila alisema kwa sauti tulivu ya dhati.
Abby akameza mate, akashindwa kujizuia kutabasamu kidogo kilichomliza usoni lakini akainamisha uso wake
“Mimi nilijikuta… nilikosea…”
“Hapana Abby,” Kamila alimkatisha.
“Wewe ndiyo umenionyesha upendo wa kweli, ulimwengu wa mapenzi kitu ambacho sikuwa nimekipata kwa muda mrefu. Na ulikonipeleka wewe hakuna mwanaume aliewahi kunifikisha.
Moyo wa Abby ulikuwa mzito kwa hisia.
Lakini kabla hajajibu, mlango wa geti dogo ukagongwa mara tatu mfululizo tena kwa nguvu na haraka.
Wote walishituka wakageukiana macho moyo wa Abby uliruka, na Kamila moyo ulidunda kwa kasi.
Je, ni Kijo amerudi bila taarifa? Au kuna jambo jingine jipya linakuja kuvunja ukimya huo wa kimahaba?
Full 1000
Whatsp 0784468229.
Maoni