Ingia

Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track

😊😊 *NAINGIZA MBELE YA BWANA AKO* *__________________________________* *SEHEMU YA 1&2* Leo nilikuwa bize salon natengeneza nywele, kesho ni siku yangu ya uchumba Kelvin

17th Sep, 2025 Views 24


wangu anakuja kunichumbia rasmi baada ya kumnyima utamu kwa mwaka sasa, kwa makubaliano mpaka anioe, nikakaza mpaka hapa tumefika, nikiwa salon wamama wa salon wakaanza. umbea, alianza mwenye salon, "mnamuona uyo mama aliepita hapa na mkoba wa kijivu? Watu wakajibu ndio, uku wengine tukianza kumtizama akiwa anaishia kwa mbali, "yani anahuyo mme wake, mwanaume hataki kupitwa na skirt yeye kila mwanamke anamtaka sasa pamoja na kusumbua wanawake lakini ni anahicho kibamia kama kidole sio vile vibamia vya kawaida, yani kakwake ni kama kidole, asΓ­vyo na aibu yaani mke wake kamvumilia na kibamia chake lakini ajabu mwanaume kaenda kutongoza marafiki wa mwanamke, anajua kabisa hawa ni marafiki wa mke wake, kawatongoza na kuwapitia, yani basi tu amzalilishe mama wa watu, apa kila anapopita, alikopita mmewe hawezi hata kutamba, ni aibu ni kama yuko single tu...

Wapili akajibu, "sasa si bola huyo mwenye kibamia lakini kinashughulika, kuna mbaba nakwambia ana hio yake imetepeta sio kulegea, yani mi naona bora kibamia na kinasimama kina nguvu, kinaweza kukufikisha, ila sio hawa mtepeto, ata ukiikunja inakunjika tu, unakuta una upwiru, umejiandaa jitu limelegea tu, yani awa viumbe sijui hawajui kama wanadhalilika. bora wabaki na hao hao wake zao wanaoweza kuwavumilia na vidude vyao mdebwedo, mwingine akajibu, "na nyie kwa nini mchukue vya watu, kwenu vinaweza kuwa vibamia ila mkumbuke tu kuna watu wana maumbile madogo sana, hatufanani, ukiona haikutoshi huenda umejiharibu mwenyewe kwa kuiachia ovyo ovyo, ama sio yako kila mtu na ridhiki yake, usijipeleke peleke, omba uliyoumbiwa, usiigawe Ichakae uite waume wawenzio vibamia, huenda yako iliandaliwa kwa nene, kuna mwingine yake ni ndogo kama ya mtoto na ni mkubwa, kuna wengine size yetu tuliyoandaliwa inakuja tayari tushazitembeza kila kona afu bado mnalalamika, kuna mda hatupaswi kuongea kabisa hasa ukijijua kabisa umeitembeza sehemu sio sahihi, we kwa mme wa mtu ulifikaje?...

Watu walipanic wakaanza kumchamba analeta ulokole hawajui wanaume, maneno aliyoshambuliwa yalizidi, 'wewe utakuwa uko kwenye penzi jipya sio bure, akajibu niko kwenye ndoa mwaka wa 15 huu, jamani wanawake tusikariri wanaume wanaojielewa wapo, na kuna muda wanajielewa kulingana na mtu walienae ndani, na kingine hakikisha unaolewa na mtu sahihi sio, umeolewa tu kwa sababu binafsi, kuna wanawake tunapenda vitu sio mtu, ukipata vitu anavyokupa basi tena ata hujisumbui, na unamuona wa kawaida, ukipata wakwako utakuja kunielewa, chako ata kikiwa hakina kitu hakikupi shida kama kisichochako upendo unavumilia, ila kama hukumpemda ulimpendea uchumi ama ustrike tu, hakuna namna utafurahia ndoa, kuna mambo utaona kama nikujichosha tu kumfanyia mwanaume, lakini kama ni sahihi huwezi kuchoka na yeye vile vile hawezi kuchoka, tunachotakiwa wanawake, nikuomba sana ukisha fikia umri wakuolewa hakikisha unaanza kuomba kwa ajili ya yule aliendaliwa kwa ajili yako, ata Δ°kikuchukua miaka kumi Mungu atakusimamia Ndoa ni jambo moja kubwa sana...

Tatizo tunalichukulia poa sana, hatuweki nguvu kubwa kuliombea, kama unaona wewe umechelewa mzazi anza kuombea uzao wako toka wakiwa wadogo, wasafishie njia, ukiona umri umefika shirikiana nao waelekeze namua yakuomba kupata mtu sahihi, na sio kuangalia status, kwanini kwako anakuwa mbaya ila kwa mwingine anakuwa mwema na bora?..

Aliongea vitu vizito sana na vya maana mno, nilitoka salon na wazo jipya japo kwakuchelewa lakini sikusita kuingia kuomba kwa siku nzima iliyobaki, nikimsihi Mungu anioneshe uelekeo na kunitengenezea njia kama sio mtu sahihi azue hili mapema, nilihakikisha naomba kama sitokuja kuomba tena, niliomba utazani nimeambiwa leo ndio mwisho wa dunia...

Siku ilipita kukakucha siku ya uchumba, nilikuwa na hofu mno, nilijiandaa, tukabariki uchumba zoezi likawa limeisha salama, nikaamini kumbe niko sahihi....

Kesho yake, Kelvin mchumba wangu akaniomba nimpelekee chakula ayuko sawa, alipiga simu kwa mama, akajieleza, mama akasema ni sawa nitaenda na dada angu kupeleka chakula, kweli tulijiandaa, tukampelekea, tulikuta anamajeraha akasema usiku alipata ajali, nilimhurumia nikaanza kufanya usafi angalau niweke mazingira sawa...

Ilivyofika mida ya jioni, kuna gari zikatia timu pale, Kelvin alishtuka akaniomba niondoke haraka na dada, mpaka dada akashangaa wakati tunafika getin, tayari gari tatu zilikuwa getin, Kelvin akatushauli tujifiche, hatukuwa tunajua chochote, nikamshauli kama anahisi ni majambazi tupige simu polisi, alisita akanizuia, kabla hatujajua cha kufanya, jemba zikaingia

Chapter 2

Tulikamatwa wote sebleni, baada ya muda kidogo akaingia pande la mwanaume, refu afu kauzu mno, lilikuwa limepiga suti limependeza sio poa, sema lilianza kuvuta sigara, na ni kitu sipendi aisee, lilifika na kumuuliza Kelvin nasikia na wewe umeoa wakwako yuko wapi, Kelvin hakujibu chochote, alipigwa lakini hakujibu, tulitizamwa mimi na dada, kisha akaomba kijana wake alete video za jana, alipewa akazicheki kisha akavuta tena sigara yake,akanitizama na kucheka sana alivyoona pete kwenye kidole changu, Kelvin alianza kupiga kelele kuomba nisiguswe nisiingizwe kwenye ugomvi wao, lakini yule jamaa hakumsikiliza badala yake, akamshushia ngumi nzito, nakumuuliza Mke anauma eeh?..

Nilisikia Kelvin anaomba msamaha, na kumwambia yule kaka hatorudia tena, nilishangaa kwani kaenda kuwachokoza kina nani, na kawa chokoza nini, lakini kwa jinsi walivyokuwa wanatisha mmh, kwanza wale wengine walikuwa na silaha, afu wako na mitatuu, yaani taflani tu,ilibidi kuwa wapole tu tusikilize, nikusamehe kirahisi tu,kijana nilikuonya zaidi ya mara nne achana na mke wangu, lakini nini ulifanya?, jana nimewafumania nikakupa adhabu kidogo tu, lakini leo umemuomba pesa...

Unamtumia kufanya mambo yako, yaani pesa zangu wewe umetumiwa kuolea mwanamke wako, bro hilo ni jasho langu hivyo huyu mke ni wa kwangu, kwa sababu posa na shughuli yote ni mimi nimegharamikia kupitia mke wangu, siunajua hana kazi ee, hivyo pesa anatoa kwangu, nyie tulitizamana na dada hatuamini, iki nini tena jamani, nilishindwa kuvumilia, nikaamua kumuuliza Kelvin iki nini? Mbona sielewi?..

Yule jamaa alinisogelea akanitizama sana, kisha akasema "pole mke wangu, huyu ni tapeli, hana kazi analishwa, anavishwa, na hata hii nyumba ni jasho langu, hio toyo unayoiona ni mimi, posa, mavazi anahongwa na mke wangu, sasa leo nimechoka kuongea nataka nitumie vitendo, "Bro mimi napita na mke wako mbele yako na wewe uone inavyopenya, Kelvin aliomba sana, akapiga magoti, lakini mwamba hakukubali, nilianza kulia na kumuomba yule mwanaume, aniachie niondoke, sitaendelea na Kelvin, kuliko anifanyie unyama, mwamba hakujibu chochote, alinikamata mkono, na kuamuru vijana wake wamlete Kelvin anaponipeleka, alinipeleka chumba cha Kelvin, walileta kamba wakamfunga miguu na mikono, tena kamba za minyororo ya chuma alifungwa adi shingo, akawekwa mkao ambao anaona kitandani na akijitikisa tu ule mnyororo, unapita na shingo, alianza kulia tu hawezi hata kusogea, wale wengine wakatoka, yule mwanaume akafunga mlango, akaja na minyororo mingine, kutoka pale kwenye sofa,alinivua nguo kibabe, akaniziba mdomo nisipige kelele..
JE NINI KITAENDELEAAA .....
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

😊😊 *NAINGIZA MBELE YA BWANA AKO* *__________________________________* *SEHEMU YA 1&2* Leo nilikuwa bize salon natengeneza nywele, kesho ni siku yangu ya uchumba Kelvin  >>> https://gonga94.com/semajambo/naingiza-mbele-ya-bwana-ako-__________________________________-sehemu-ya-1-2-leo-nilikuwa-bize-salon

#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Maoni

You're not logged in
Click here to login and comments
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
gonga94 official track
ZETU
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Tangazo - PROMOTE YOUR BUSINESS FOR FREE
PROMOTE YOUR BUSINESS FOR FREE
PROMOTE YOUR BUSINESS FOR FREE

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest