Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
02 Sep 2025
41 views
VYOTE NDANI GONGA94
NILICHOKIONA KWENYE MECHI YA LIVERPOOL NA ARSENAL
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Mechi ilikuwa nzuri kiasi chake japo matarajio ya wengi imekuwa tofauti, imezoeleka mechi ya Liverpool na Arsenal inatoa magoli mengi cha ajabu limepatikana bao moja pekee.
Kipindi cha Kwanza
Arne Slot alimwachia mpira Mikel Arteta akitegemea Arsenal waharibu na yeye atumie nafasi hiyo kufanya shambulizi la kushtukiza. Mikel Arteta mwenyewe alikiri kwa kusema:
"Liverpool haikuwa bora wala haikuunda hali zozote za hatari, wamekuwa na bahati kushinda mchezo."
Kipindi cha Pili
Mambo yalibadilika baada ya Alexis Mac Allister kutoka na nafasi yake kuchukuliwa na Curtis Jones. Kuanzia hapo, kiungo cha Liverpool kilitulia na wakaanza kutengeneza mashambulizi ya maana.
Dominik Szoboszlai - ukiondoa goli bado anastahili tuzo ya mchezaji bora wa mwezi wa nane ndani ya Liverpool. Ameanza msimu vizuri.
Allison Becker - msimu huu anamaliza mechi kwa mara ya kwanza bila kuruhusu bao. Performance ilikuwa bora.
Milos Kerkez - The Meaning of Jihad, anafurahia kushindana na kwenye battle lake na Madueke aliibuka mshindi.
Ibrahima Konate - amezima vzr sina uhakika kiwango chake kitakuwa endelevu au alikamia mchezo.
Captain Virgil - ameendelea kuongoza kwa utulivu.
Hugo Ekitike - hii mechi imemkaribisha rasmi uingereza, anapaswa kuwa fit kimwili na akili kila wiki.
Florian Wirtz - hakuwa na mechi mbaya sana wala nzuri sana yupo katikati. Anaendelea kuzoea mazingira taratibu.
Curtis Jones - kutunza maliπ₯
Madueke na Martinelli β Wameonyesha kiwango cha kawaida sana, wanapaswa kumpisha Bukayo Saka na Eberechi Eze.
David Raya β Licha ya kuruhusu bao, bado utulivu wake akiwa na mpira mguuni ni kitu cha kipekee.
Ricardo Calafiori & Jurrien Timber β Kwa sasa ndiyo mabeki bora wa pembeni Arsenal, wanashambulia vizuri na pia wanazuia ipasavyo.
Gabriel MagalhΓ£es β Amesimama kama ukuta wa Yeriko, ni vigumu kumpita.
MartΓn Zubimendi β Pasi zake ni daraja la juu, 10/10.
Viktor GyΓΆkeres β Hakuwa na huduma nzuri kutoka kwa viungo, hivyo hakuwa tishio.
MWISHO
Roy Keane "Hii ni dalili ya timu nzuri kwamba unashinda mechi hata ukiwa hujacheza kwenye ubora wako wa juu. Hivyo ndivyo mabingwa hufanya.
Mkweli Alcantara β
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
π¨ ππππππππ: Mechi ya Benfica dhidi ya Real Madrid IMESIMAMA kutokana na kisa cha kibaguzi dhidi ya VinΓcius JΓΊnior
AKIWA UWANJANI. β οΈπ« Mchezaji wa Benfica alimwita NYANI!!! βΌοΈ VINI AKATAA KUCHEZA!! π€β
Tangazo - from bangi to baby fully stories 1 to 21
from bangi to baby fully stories 1 to 21
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
NILICHOKIONA KWENYE MECHI YA LIVERPOOL NA ARSENAL
Mechi ilikuwa nzuri kiasi chake japo matarajio ya wengi imekuwa tofauti, imezoeleka mechi ya Liverpool na Arsenal inatoa magoli mengi cha ajabu limepatikana bao moja pekee.
Kipindi cha Kwanza
Arne Slot alimwachia mpira Mikel Arteta akitegemea Arsenal waharibu na yeye atumie nafasi hiyo kufanya shambulizi la kushtukiza. Mikel Arteta mwenyewe alikiri kwa kusema:
"Liverpool haikuwa bora wala haikuunda hali zozote za hatari, wamekuwa na bahati kushinda mchezo."
Kipindi cha Pili
Mambo yalibadilika baada ya Alexis Mac Allister kutoka na nafasi yake kuchukuliwa na Curtis Jones. Kuanzia hapo, kiungo cha Liverpool kilitulia na wakaanza kutengeneza mashambulizi ya maana.
Dominik Szoboszlai - ukiondoa goli bado anastahili tuzo ya...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nilichokiona-kwenye-mechi-ya-liverpool-na-arsenal
Maoni