sikujua kwanini Alex anafanya hivyo lakini niligundua yupo kwenye hsia nzito sana nilifumba macho nikawa nasikilizia tu dah alini🙈😌
Nilimshika begani vizuri nikaendelea kupata utram wa naniliu😍😍zilipita dakika 3 ,Alex bado yupo namimi wala sikutaka aache😌😌na the way alikuwa ananiliu vizuri mpaka anafanya "mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm"
"Alex uko sawa??" Nilimuuliza baada ya kujitoa niliona aibu sana kwa kilichotokea swali lenyewe niliuliza huku naangalia pembeni🙈🙈
Alex wala hakutaka kupoteza muda aliniambia "Salma I lav youuuu " nakpnda salma nakpneda i lav youu🥹❤️
"Alex mbona....." hata kabla sijamaliza alinishika mabega yangu yote mawili afu akani kic tena ,afu akanitazama usoni
"Salma ,nisamehe ukweli nakpnda nakupnda sana ila salma niliogopa kukukabili kwa sababu ya mazingira yetu tulio kutana mimi na wewe ,"
nilikuogopa salma ona salma nitazame machoni unahisi natania???'" Nilibaki kimyaa ninatetemekaa mwili ,moyo nao unaenda mbio hivi naota au?? Hiki ninachokiskia hapa kinatoka mdomoni kwa alex??
Hata sikujiuliza mara mbili nilimkmbtia kwa nguvu, huyu mwanme nampnda kwelii, baada ya kumkmbatia nilimwambia alex lakini mi sina sifa za kuwa mwanamke wako,
akasema kwanini nikamwambia we ni msomi na mie ni zero sina ninachojua , akanambia salma kwani sikukuambia kuna nafasi nyingine unayo kwenye maisha
tena Rahisi sana embu jipe muda please nakuahidi nitakuwa na wewe hizi elimu zimekuja wala hazikuwepo utu na utulivu wako ndio haswa kila mtu anatamani kuupata , salma naomba nitulie kwako nakuomba salmaa .
Nilishusha pumzi kwanza maneno ya alex yakanifanya walau niione upyaa thamani yangu ambayo sikuwahi kuona wala kuihisi
nikamuuliza na vipi kuhusu juddy akanambia come on salma ,niliachana nae...siyo kweli Alex we muongo hujawahi kuachana nae yule
akasema hii ndo mara ya kwanza naachana nae wacha niseme tu yeye ndio sababu ya mimi kuwa na wewe labda kama ningeachana nae huko nyuma labda nisinge kupata salama..
mi nakupnda walai sio utani , nilimtazama alex huyu mkaka anaenda kuwa alex wangu hata sikuamini kabisa nikamwambia nitaamini vipi kama umeachana na juddy
akanambia nataka nikuoe mapema yaan tufunge ndoa kabisa , hahaha nikacheka yaan huyu analeta utani aisee kwanza mimi nayeye dini tofauti tunaoana vipii??
Kweli mi nilikuwa nampnda alex sana tu yaan nilikuwa nampenda mnoo lakini sikuwahi kuliwaza swala la mimi nayeye kuwa wanandoa mana sie dini zetu ni tofauti kabisaaa.
Akaniuliza mbona unacheka huniamini Salma?? Nikamwmbia bado mapema sana kuongea swala la ndoa alex kweli nakupnda lakini kusema utanioa Huo ni uongo ,
akanambia salmaaaa kwanini nisikuoe , kwanza nikamwambia we ni mkristo afu mi ni mwislamu kwahiyo hatuwezi kuwa , alitulia kimyaa kama anatafakari kitu kwa muda ,
hamuwezi amini roho iliniumaaa yaani kitendo cha alex kubaki kimyaa niliamini ni kweli ndo inaenda kushindikana sisi kuwa pamoja daah niliumiaa nikatamani hata kulia .
Nikainuka wakati tunaongea tulikuwa tumekaa juu ya kochi akanivuta salma unaenda wapi ?? Nikamwambia si umeona mi na wewe hatuwezi kuwa akasema nani kasema??
Nikabaki kimyaa kasema kama kuhusu dini hilo sio shida mi nitakuwa mwislam
Hahaha nikacheka yaan huyu anaongea tu hapa ,Nikamwmbia embu acha mambo yako bwana ushakula akasema hata siwezi kula nambie kwanza kama uko tayari kuolewa namimi??
Nikasema sawa kama utabadili dinii akanikumbaatia hapo akawa ananikc kc
Akaniuliza kwahiyo salma sisi tayari ni wapnz au ,mi nikacheka kwa aibuu sasa swali gani hiloo , nilijishtukia mana hata hajanihangaikia kunitngza et yaan kidogo tu ashakuwa mpnz wangu jamaniiii mambo mengine ya aibu sana aiseee
"Salma naapa nakupnda"
"Muongo wewe si ulisema huna hsia na mimi "
"Inno amekwambia??" Baada ya kusema inno ndo kama akili sasa ikarudi si nilisahau kabisa kama tumepandishana na inno nikasahau habari za juddy kupigwa yaan mpnz nyie mie akili ilihama gafla kwelii
"Umetoka wapi kwanza kwanini umekuja gafla tu hapa , umegombana na Judd ???
"Salmaaaa !!! Kwanini juddy hapaa tenaa,"
Nilimuelezea ilivyokuwa baada ya mzee amos kuja alex alipanic akasema huyu mzee mshnz kiasi hichi namfata huko huko nampiga nayeye naona hanijui mpuzi huyu
Nikamzuia alex hapa hutoki mi sitaki matatizo bwanaaa nilijitajidi kumzuia mpaka akanielewa
Ndo akaw ananiambia yeye ndie aliempga juddy baada ya kwenda kwake kufanya fujo , akanambia kwanza nilikua na hasira zangu kwanini aliamua kukudhalilisha pale kwenye ile sherehe ,
nimemwambia akae mbali na wewe kumbe ameenda kumwambia mwanaume wake kuwa wewe ndo umemtumia watu ,huyu mwanamke mpuzi sana
Nikamuuliza haya na hapo umefanya nini usoni ndio juddy amekuumiza , akanambia aah hapa sio juddy naona tu siku ya leo ilikuwa nzito , akawa sasa ananikwepa kama hataki kuniambia amefanya nini
Nikamwambia we si umesema mimi na wewe ni wapnz?? Sasa kwanini huniambii nikawa kama nimesusa nikainuka akanivuta njoo basii nikasema we si huwezi kuniambia mambo yako basi mi naenda kulala
Akanambia huyu ni inno, hee nilishtuka baada ya kusikia jina la inno,nikarudi haraka nikamuuliza amekupigia niniii??
Kwa sababu yako akanijibu huku amenikazia macho ,niliona aibu kwahiyo inoo amemwambia kila kitu nilichosema
Nikamuuliza kwahiyo upo hapa kwa ajili ya inno na sio wewee??? Akasema noo salma naomba uniamni ,sikuwa na ujasiri wa kukuambia salma wakati nilipo kukic nilimaanisha kutoka moyoni
Siku nyingi nilihitaji kic kutoka kwako lakini mdomo haukuweza kuongea salma na siku zote unavoona narudi rudi hapa kwako ninakujaga kwa sababu nakpnda sema kuongea ndo nilikuwa nashindwa...
Nikamwambia kwahiyo inno kwanini amekupga ?? Akanambia njoo hapa nitakwambia kila kitu , Nikakaa kumsikiliza sasa , akanambia inno aliniambia nisije kuanzisha mahusiano na wewe kwa sababu hataki nimuumize mschana Mwingine ,
salma kweli kwenye maisha nilimuamini sana juddy sio kwamba nilimpnda sanaa hapana ,sikutaka kubadili wanawake leo huyu kesho yule ,
lakini juddy nilikuja kujua anatabia za ajabu sana , hata umpe kila kitu yeye hajui kuthamini, Sijui kama ni mwili wake unatamani sana ngn kuliko upendo hilo sijui
mana kama pesa nilimpa zaidi ya alizotakiwa kutumia ili tu atulie nilijua mwanamke anachotamani kwenye haya maisha ni pesa tu hakuna kingine .
nilimpa pesa juddy nikampa na kumpa ,lakini hakuacha tabia zake za ajabu ajabu ,mimi sina tabia ya kumfatilia mwanamke sina kabisa hiyo tabia lakini huwezi amini nilikua nakutana na matukio yaan ni kama lazima niyaone ,
juddy alikuwa hadi anamiliki vdeo za ... akiwa yeye mwanmke mwingine na mwanme mmoja sikujua anashida gani au ni pepo??
Nikaamua kuachana nae kila mtu aendelee na maisha yake , lakini alikuja kwangu na kulia na kuahidi amebadilika wakati huo inno alikuwa ameniunganisha na mschana mmoja anatoka nje ya nch walikuwa wakisoma chuo wote ,
ukweli yule bint alinipnda sana na alikuwa mtulivu kabisa ,lakin sikuwa bado nimeamua kuingia kwenye mahsiano mengine bado sikuwa nimemuvu on kutoka kwa juddy!!
Kipindi hichi ndio Juddy alikuwa akilia na kuomba kuwa amejua alipo kosea anahitaji kusamehewa ,
juddy alijuta kwa kila kitu na hapo alikuwa mjamzito akanambia ujauzito huo ni wangu, licha ya mengi mabaya niliyoyashuhudia kutoka kwake bado tu nilimpa nafasi nyingine..
Kitu hicho hakikuwahi kumfurahisha inno hata kidogo alinichukia sana ,hata kunisemesha aliacha kabisaaa zaidi ya mwaka mzima hakutaka ukaribu na mimi ,
alicho fanya judi ni kubadilisha tu staili yake lakini hakuwahi kuacha mambo yake na aliitoa ile mi mba baada tu ya kurudiana namimi akasema ye kwa sasa hayupo tayari kuwa mama ,
sikuwa na jinsi japo kulikuwa na kutokuelewana lakini baadae tuliyamaliza
Ukweli nilikuwa mpuzi sana sana ,yule mwanamke nilikuwa naogopa hata kumtambulisha kwa marafiki zangu mana alikuwa lazima atembee nao tu .
Mambo ni mengi sana salma tunaweza ongea mpaka kesho..ngoja nikuambie sababu ya Inno kunipiga leo..
Itaendeleaaaaa
Full 1000
WhatsApp 0742133100.