Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  never give up harmonize

NIMECHOKA KUKAA KIMYA WACHA LEO NISEME 🔊💔 MAPENZI

7th Aug, 2025 Views 31

YA ZAMANI NA YA SASA HAYANA UTOFAUTI NA UMBALI WA MBINGU NA ARDHI AMBAZO DAIMA HAZIWEZI KUKUTANA

Zamani, mapenzi yalijengwa juu ya uaminifu, uvumilivu, na heshima. Watu walithamini ahadi walizotoa, walikuwa tayari kupitia changamoto pamoja, na waliona thamani ya kujenga maisha ya pamoja polepole. Neno nakupenda lilikuwa halitumiwi ovyo kama linavyotumika saizi, subira ya miezi au miaka bila kuonana, na kujali hisia zaidi ya mali, vilikuwa msingi wa uhusiano. Ndo maana zamani watu walikuwa wanadumu ukiangalia ndoa za miaka ya nyuma mpaka leo bado zipo lakini ndoa za siku hizi leo tunasherekea kesho mtu anarudi kwao .....

Siku hizi, mapenzi yamechanganyika sana na udhaifu wa mawasiliano ya haraka, mitazamo ya kifedha, na mvuto wa mitandao ya kijamii. Watu wengi wanapenda kwa kuangalia mwonekano au faida wanazoweza kupata, Neno nakupenda halina tofauti na salamu ya shikamoo ambako kila mtu anajua jibu ni marahaba . Sahizi mwanamke au mwanaume kukuvunja moyo ni kama sifa au ni kitu kinachompa furaha .

Ukifuatilia mitandao yakijamii wengi wanalalamika kuhusi mapenzi kwa kuigiza au uhalisia lakini kwasasa mapenzi yamepotea. Kila mtu analenga faida tu .lengo yuko na huyu kesho na yule matokeo yao ni magonjwa ,kujidhalilisha na kupoteza heshima yako ....

Mahusiano yamekuwa ya haraka kuanza na haraka kumalizika, kwa sababu uvumilivu umepungua na tamaa za muda mfupi zimeongezeka.

Kwa kifupi, zamani mapenzi yalikuwa safari ya moyo, lakini sasa mara nyingi yamekuwa mbio ya kupata faida. ❤️.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NIMECHOKA KUKAA KIMYA WACHA LEO NISEME 🔊💔 MAPENZI   >>> https://gonga94.com/semajambo/nimechoka-kukaa-kimya-wacha-leo-niseme-mapenzi
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

never give up harmonize
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
offa ya msimu wa nanenane
offa ya msimu wa nanenane

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest