Ingia

Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94

NIPE YOTE DADY💞💞💞22

30th Nov, -0001 Views 179

NIPE YOTE DADY💞💞💞22

Selim mshnz sana yani kanikuta u ch badala ya kufunga macho au kugeukia pembeni akakodoa macho huku akisema Astakhafilullah kama zote alafu kasimama tu😩

Niliinua kichwa na kumwambia "we paka
utasimama hapo au utatoka mimi nivae"
"Ndio upuuzi gani huo ulikuwa unafanya "
"nilikuwa nakula upepo bwana aa"
"unakula upepo kwa kuonesha sodoma?

"bwanae nipishe kwanza imekuwaje unaingia
bila hodi wakati nimekwambia nataka kuwa
peke yangu"
"alafu mbona kama sketi haina marinda ?"
"nimepiga pasi yakafutika Selim ondoka
bwanaa we unafikili kuhara ni kazi ndogo?"

"kuhara na marinda vinahusiana nini ?"
"Selim unanitukana ? we ni wakuniambia hivyo
mimi"
"embu vaa nichukue vyakuchukua niondoke
zangu "

"Nivae wakati umesimama hapo au unataka si useme tu🤣🤣 em ondoka mxiiuu"
"aliondoka nikainuka na kuvaa kisha nikamruhusu aingie sasa badala achukue kilichomleta akabaki
kunitolea macho🙈".

'unachukua hivyo vitu vyako au unanitolea
macho kama unanidai?"
"Nipishe"
"Kwamba nimekuzuia?"
"Norah bwana nipishe"
"We vp nikupishe kwani nimekuzuia au ndio
unawenge ""Nitaachaje kuwa nalo wakati nimeona Sadoma"

"mpuzi wewe hamu zimekujaa"
"Kweli hujakosea njoo basi nikwambie mke wangu"
"We nani mke wako? Usinichekeshe🤣"
"alitaka kunishika nikakimbia tukaanza kufukuzana
alinikimbiza hadi akachoka na kuamua kuniacha".

"Kwakuwa ilikuwa usiku nilipanda kitandani na
kujifunika shuka, Selim alitoka Sebleni na kuja
hadi kitandan nikamuuliza "
"Huyu vipi mbona mi simwelewi we unataka nini kwani?"
"Nakutaka wewe Norah"
"Aliongea huku ananipapasa we hebu niache"

"Selim unataka kufanya nini embu shuka
bwana "
"nishuke kwenda wapi, kwanzia leo nitakuwa
nalala kitandani"
"Khe huyu vipi😩mi sitaki kulala nawewe ndo kwanza akavuta shuka na kujifunika🙄"

"Yani siku zote hizo baada ya kuona tamu yangu ndo ujilete kitandani subiri nitakukomesha🤣utarudi mwenyewe huko unakolalaga"

Nililala nikajichanua miguu huku na huko selim
akanitoa na kuniweka vizur dakika mbili nyingi
nikarudisha tena akarudisha.

Sijui ilikuwaje bwana nikashtuka nasikia
kishindo puuuu kuamka nakuta ni Selim kaanguka
chini niliijifanya sijui kitu japo nishajua nitakuwa
nimempiga kibuti🤣🤣🤣

Selim Mungu wangu umeanguka😳😳
"we mshnzi nini nimeanguaka wakati
umenipiga teke mwenyewe alafu unajiafanya
nyonyonyooo"
"Haujaumia lakini?"
"embu sogea huko kama unafanya hivyo ili
nikuachie kitanda sikuachii "

"tutaona🙄🙄🙄 niliongea moyoni na kusogea
akapanda na kulala tena, safari hii nilifanya
makusudi nikasubiri kajisahau nikaanza vituko
kwanza niligeuka tukalala mzungu wa nne alafu
nikamuweka teke la tumbo ilisikia auuuuuu
kau nikajikausha"

Alianza kufoka mimi kau badae akakaa kimya
na kujifanya kalala nililala huku nikiwa najua
nimemueweza ningejua mh.

Mda ulisonga usingizi nao ukanoga
nikashangaa mtu anakuja kuni lalia mgogoni uuuwww nyieeee🙄🙄🙄kwahiyo selim kadhamilia kunifanya leo😩mi sitaki bwana

nilimuomba anipishe jamaa kimya nikaona huyu
ananitafutia kesi nilimshika nywele
na kuvuta akapiga yowe na msamaha juu
nikasikia aunt anagonga mlangoni kuuliza nini
shida nikamuachia haraka na kujibu.

"amejigonga kitandani"
"hajaumia sana?"
"hapana niko namwekea dawa"Aunt aliondoka nikamgeukia Selim hapo
kashika kichwa kwa maumivu nikasikia "we
mwanamke shetani kabisa si ilibakia kidogo tu
uning'oe nywele?"

"unasema nywele tu hata vingine nang'oa we
rudia ulichokifanya sogea huko kwanza"
"shnzi wewe"
"mwenyewe embu nipishe nilale"
"nikupishe ulale kwamba nitoke kitandani au
"Sasa miguu yangu ndio kitanda Selim bwana
toka unanichosha"

"Norah usinifanyie hivo jaribu kuwa na utu basi"
"Utu unaujua wewe niache kama nilivo"
"Alichukia na kugeuka upande wake na mimi
nikageuka tukalala"
"Selim hakuacha kunisumbua aliona nimeanza kupata usingizi akaanza kunishika shika😩"

Niliamka tukaanza kugombana usiku mzima et anataka haki yake haki gani🙄🙄hatukulala hiyo siku🤣, inafika asubuhi analalamika balaa
nikamwambia pole kaoge uende kazini

nilipewa neno hilo nikabaki mdomo wazi maana
sikuamini kama ni Selim ndio kaongea hivyo au
mwingine natamani niseme ila mtanicheka
Alijiandaa na kuondoka huku akitukana mimi
hoi kucheka,

baada ya kuondoka nilipanda
kitandani ili kulala si akaja Jabir na kunitaka
niamke."Jabir bwana niache nilale nimechoka "
"Binamu bwana amka kuna ishu nataka
tupange
"tupange nini bwana nataka nilale"
"najua umekesha ukihudumia ndoa ila amka
tupange kwanza alafu utarudi kulala "

niliamka na kukaa maana niliona huyu ni kiazi
mwenzangu haondoki hapa mpaka nimsikilize, basi akaanza kunipa mpango
alivyomaliza kuongea usingizi uliisha
nikamwambia " twende tukafanya saizi maana
huyu mama nina hasira nae balaa "

"hatuwezi kufanya saizi bwana bado mapema
mno we lala kwanza mida flan hivi nitakuja kukuamsha alafu mama na Sauda
wameshapika vitu vya chai toka saa kumi na
moja "
"heee
"ndio hivyo vp nikakuletee"

"aaa subiri nilale kwanza nikiamka tufanye
hicho ulichosema alafu nikae ninywe chai kwa
amani"
"poa"
Niulize nililala
niliamka na kumfuata Jabir
nikamwambie siwezi kulala

basi tukaongozana hadi chumbani kwake akanionesha Unga wa
upupu aloooh leo atasema.

Basi tulitoka na kwenda kuchungulia jikon
tukakuta mama mkwe yuko anamalizia kunywa chai tukatoka na kuingia chumbani kwake mara
nyingi mama mkwe huwa akimaliza kunywa
chai anaogaga

basi nikaingia bafuni na kuweka ule
upupu kwenye dodoki huku Jabir alikuwa
anaweka kwenye nguo aliyokuwa amechagua kuivaa akanyunyuzia kisha akachukua kichupa
kingine na kumimina yale maji yake kwenye
shampoo

nikamuuliza ni nini hicho akanambia
kuwa nisubiri nitaona.
Baada ya hapo tulitoka na kuingia vyumbani
Mwetu tuliii haikuchukua mda tukasikia uwiiiii uuuwwwiiiiii uwiiiiiiiiii

Nilitoka mbio na kwenda kumuona mama mkwe kakutwa na nini🙄🙄mbona analia kama mtu anaekata roho🤣🤣🤣nyieeeeee nilichokutana nacho🙌🙌

Itaendeleaaaaaa

Full 1000

WhatsApp 0742133100.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NIPE YOTE DADY💞💞💞22  >>> https://www.gonga94.com/semajambo/nipe-yote-dady-22



#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #war

#love #photooftheday #fashion #beautiful #happy #tbt #followme #picoftheday #art #nature #travel #fitness #motivation #life #fun #instagram #friends #smile #food


 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Maoni

You're not logged in


Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nipe-yote-dady
NIPE YOTE DADY 40
NIPE YOTE DADY 40
NIPE YOTE DADY* *51~60* _______  SEHEMU YA 51
NIPE YOTE DADY* *51~60* _______ SEHEMU YA 51
NIPE YOTE DADY 39
NIPE YOTE DADY 39
NIPE YOTE DADY FINALY KWETU MOROGORO FUN  SEHEMU YA 60
NIPE YOTE DADY FINALY KWETU MOROGORO FUN SEHEMU YA 60
NIPE YOTE DADY* *SEASON THREE* *41~45*
NIPE YOTE DADY* *SEASON THREE* *41~45*
NIPE YOTE DADY SEHEMU YA 50
NIPE YOTE DADY SEHEMU YA 50
NIPE YOTE DADY????????????8
NIPE YOTE DADY????????????8
NIPE YOTE DADY* *46~50*
NIPE YOTE DADY* *46~50*
NIPE YOTE DADY  SEHEMU YA 43
NIPE YOTE DADY SEHEMU YA 43
NIPE YOTE DADY????????9
NIPE YOTE DADY????????9
NIPE YOTE DADY 58~59
NIPE YOTE DADY 58~59
NIPE YOTE DADY💞💞  SEHEMU YA 02
NIPE YOTE DADY💞💞 SEHEMU YA 02
NIPE YOTE DADY💞💞💞  SEHEMU YA 18~~20
NIPE YOTE DADY💞💞💞 SEHEMU YA 18~~20
NIPE YOTE DADY  SEHEMU YA 44
NIPE YOTE DADY SEHEMU YA 44
NIPE YOTE DADY  54~55
NIPE YOTE DADY 54~55
Nipe yote  Dady 52~53
Nipe yote Dady 52~53
NIPE YOTE DADY💞💞💞15
NIPE YOTE DADY💞💞💞15
NIPE YOTE DADY  56~57
NIPE YOTE DADY 56~57
NIPE YOTE DADY????????????10
NIPE YOTE DADY????????????10
NIPE YOTE DADY????????????12
NIPE YOTE DADY????????????12
NIPE YOTE DADY SEHEMU YA 47
NIPE YOTE DADY SEHEMU YA 47
NIPE YOTE DADY💞💞💞33
NIPE YOTE DADY💞💞💞33
NIPE YOTE DADY💞💞💞30
NIPE YOTE DADY💞💞💞30
NIPE YOTE DADY💞💞💞31
NIPE YOTE DADY💞💞💞31
NIPE YOTE DADY  SEHEMU YA 45
NIPE YOTE DADY SEHEMU YA 45
NIPE YOTE DADY💞💞21
NIPE YOTE DADY💞💞21
NIPE YOTE DADY SEHEMU YA 49
NIPE YOTE DADY SEHEMU YA 49
NIPE YOTE DADY 34
NIPE YOTE DADY 34
NIPE YOTE DADY💞💞💞32
NIPE YOTE DADY💞💞💞32
NIPE YOTE DADY  SEHEMU YA 48
NIPE YOTE DADY SEHEMU YA 48
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
You're not logged in



Warning: Cannot modify header information - headers already sent by (output started at /home/u428456227/domains/gonga94.com/app/pages/includes/header.php:85) in /home/u428456227/domains/gonga94.com/app/core/function.php on line 258