Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94

NIPE YOTE DADYπŸ’žπŸ’žπŸ’ž25

30th Jul, 2025 Views 26

NIPE YOTE DADYπŸ’žπŸ’žπŸ’ž25

Nilikaa vizuri baba mkwe akauliza" Nasra nikitu
gani kinaendela kati yako wewe na mama mkwe
wako ?"
Nilimuangalia Selim vizuri kisha nikajibu" Hakuna
kitu kikubwa baba ispokuwa tunapishana kidogo
tu"
"Mnapishana kidogo kama mngekuwa
mnapishana kidogo tungekuwa hapa ?

"Aunt alitaka kunijibia ila alikatazwa akakaa kimya
nikajibu Ndio ni madogo ila mama anahira sana
na ndio maana yanakuwa makubwa kiasi cha
kufika hapa

Amefanya kitu gani hadi kufikia hatua
unanyenyua mkono wako na kimpiga, hiyo ndio
adabu uliyofundishwa na wazazi wako?"

Hapana sikufunzwa hivyo ila sio kila kitu
unapaswa kufunzwa mi siwezi kukaa kimya mtu
akinionea ndio maana tulifikia hatua ya kujibizana

kingine sikumpiga bali tulipigana sema tu
nilimshinda nguvu kidogo ndio maana
nikaonekana kama nimempiga ila ukweli
tulipigana si ndio mama?"

Baba mkwe aliwaka na kusema sina adabu
kwann nipigane na mama mkwe ee mimi sasa na
akili yangu nikawa najibu utumbo mwanzo
mwisho si selim kaniruhusu.

Mwisho Selim aliamua kuingilia akamwambia baba yake Baba nazani umeona jinsi wasivyo elewana hivyo naomba unipe ruhusa niondoke na kwenda kuishi na mke wangu kwa amani

Selim huwezi kuondoka nyumbani wewe
utakaa hapa hapa siku zote lakin baba hakuna lakin huo ndio uamzi wangu wa mwisho
hauta ondoka hapa nyumbani na nyie kwanzia
leo nikiona au kusikia ugomvi wa aina yoyote
sitasita kuwapa adhabu nadhani nimeeleweka "

Aunt Suna na mama mkwe walijibu sawa mimi
Nikakaa kimya alinigeukia nakuniangalia jicho kali
nikabeua na kusema "sorry nishibe tu"
Baba aliinuka na kutaka kuondoka nikasikia
Selim anasema "Baba subiri"

watu wote tuligeuka na kumuangalia Selim maana aliongea kwa kujiamini selim aliinuka na kusema "Sorry leo kwa mara ya
kwanza naomba kwenda kinyume na kauli yako"
"Unataka kusema nini"
""Nataka uhuru wangu binafsi
namaanisha nataka kuwa na kwangu"

"Selim nimeshaongea wewe ni mtoto wa humu
ndani huwez kwenda kokote kule na nadhan
umenielewa.

"Baba unanikosea ni haki yangu kuishi maisha
yangu kwa uhuru na ndio maana nimetaka kuwa
na kwangu"

"kwa hiyo hapa hupati uhuru sisi tunakubana ?""Hamnibani bali nahitaji uhuru binafsi nahitaji kuwa baba wa mji wangu mwenyewe na kuwa mwamzi wa nyumba yangu na familia yangu"

"Kauli yangu huwa inatoka mara moja tu na
nimeshaongea mwisho"
"Naelewa namimi huo ndio uamzi wangu" mama
yake alianza kuongea akimbembele Selim.
Aunt alikuwa upande wa Selim mimi sikutaka
kuongea chochote,

baba aliondoka kwa hasira mama mkwe akabaki anabishana na aunt Selim alinishika mkono tukatoka na kwenda chumbani.

Tulifika akanikumbatia mapigo ya moyo wake
yalikuwa kasi sana,aliniita nikaitika akasema
"Norah naogopa moyo wangu unahofu sana leo
kwa mara ya kwanza nimesimama na kwenda
kinyume na baba

Selim ondoa wasi wasi haujakosea chochote
wewe tayar umeshakuwa mtu mzima huwezi
kukaa chini ya mbawa za baba yako milele
hivyo huu uamzi uliochukua ni sahihi najua kwake
itakuwa ngumu kuelewa ila naamini akikaa
akatafakari atakuelewa."
"unafikili niko sahihi?"
"Ndio tena sana"
"Asante sana kwa kuwa upande wangu"
"usijali tuko pamoja,

mh sasa tukiondoka hapa tunaenda wapi?"
"tutapanga ila kuna nyumba ninataka kuinunua
kama hautojali naomba kesho twende
tukaiangalie pamoja""Okay haina shida
"Asante "Tuliachiana akaingia bafuni na kuoga
mimi nikaa kitandani huku nikitafakari.

Baada ya kumaliza kuoga alirudi na kuwasha
mziki akaweka sauti ya chini kisha akapanda
kitandani na kujifunika shuka alikaa kimya kwa
mda kisha akauliza "Unachat na Skyler?"
Nikajibu "ushaanza umbea "
"Usiku mwema'
"mmmh leo kutakucha kweli maana sio kwa
usiku mwema hiyo"
""hautaki au
""Lala huko unanichosha mie
"uchoshwe na huyo kibenten wako alafu uje
kusema mimi unawazimu"
" kibenteniii muone embu nipishe nilale
zangu'Niliweka sim pemben kisha nikageuka
upande wa pili na kulala
Kesho yake asubuhi niliamka mapema nikajiweka
safi kisha nikatoka na kwenda jikon.

Huko nilimkuta mama mkwe akiwa kavimba
kama puto lililopulizwa ,nilimsalimia alivyonijibu
sasa khaa mama anakisirani kama nini .

Mtoto wa kike sikutaka shari asubuhi nikakaa
zangu kimya na kuchukua maji nakukaa
nikiangalia anavyofanya kazi

Wakati niko pale jikoni simu yangu iliita mpigaji alikuwa ni Nasra nilitoka na kuingia chumbani nikapokea..

Nilibaki nimesimama kama sanam sikuamini kile
nilichoambiwa na pacha wangu Nasra khaaa😳

Itaendelea....

Full 1000

WhatsApp 0742133100.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NIPE YOTE DADYπŸ’žπŸ’žπŸ’ž25  >>> https://gonga94.com/semajambo/nipe-yote-dady-25
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
offa ya msimu wa nanenane
offa ya msimu wa nanenane

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

MY LUNA SEHEMU YA : 06

majario rewards 100 Comments 0
 

NDOA YA MIE ... 8...

majario rewards 100 Comments 0
 

LUVIE binti wa malaya

majario rewards 100 Comments 0
 

A.J.A.D SE03 EP02

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest