Ingia

Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94

Punda mmoja alidumbukia kwenye kisima.

30th Nov, -0001 Views 18


Mmiliki wake akafanya jitahada za kumtoa lakini akashindwa.ikabidi aite wana kijiji wamsaidie .
Wanakijiji walipofika wakaona kule chini shimoni ni mbali sana isinge wezekana kumtoa yule punda.
Hata hivyo mmiliki wake akaona alisha kuwa mzee tayari hvyo hata ange fia mle kusinge kuwa na hasara yeyote ile

BAsi waka azimia wamwage mchanga mle shimoni wamfukie
SASA walipo kuwa wakifukia basi yule punda akawa anajitingisha kisha ule mchanga ulio kuwa mgongoni mwake unamwagikia chini.....ukimwagikia chini ukawa unampandisha juu yule punda basi wale wanakijiji wakawa wanashangaa kuona yale walio kuwa waki yaona hata hvyo hawakuacha kufukia.
BAADA ya kufukia kwa muda mwingi mchanga ukajaza shimo punda akafanikiwa kutoka nje.

👉Sikiza DUNia itajaribu kukufukia na changamoto za hapa na pale lakini hautakiwi kukata tamaa jitingishe kuondoa changamoto zako alafu endelea mbele.

bali wao wamngojeao Bwana watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia.
23 Isaya 40 :31.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

Punda mmoja alidumbukia kwenye kisima.  >>> https://www.gonga94.com/semajambo/punda-mmoja-alidumbukia-kwenye-kisima



#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #war

#love #photooftheday #fashion #beautiful #happy #tbt #followme #picoftheday #art #nature #travel #fitness #motivation #life #fun #instagram #friends #smile #food


 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Maoni

You're not logged in


Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi punda-mmoja-alidumbukia-kwenye-kisima
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
You're not logged in



Warning: Cannot modify header information - headers already sent by (output started at /home/u428456227/domains/gonga94.com/app/pages/includes/header.php:83) in /home/u428456227/domains/gonga94.com/app/core/function.php on line 258