" Tayari unaweza kwenda Sasa Yani unaonekana handsome kama kawaida yako "
" Usifanye kitu chochote bila kuambiwa wakati mwingine "
aliongea Elian kwa amri
" Sawa mkuu nimekupata ,ila usisahau ahadi yako "
alisema Winnie ,Elian alitingisha kichwa akaondoka
Kwa upande wa Levis akiwa chumbani kwake
" Mr Charles kile chumba Cha pembeni ya chumba Cha Dad Kuna mgeni ?"
Levis alimuuliza mr Charles
" Ndiyo Kuna mgeni amefika Leo pia "
alijibu Mr Charles huku anapanga nguo za Levis kabatini
"Ni nani huyo mgeni na jina lake ni nani na ana uhusiano gani na Dad?" Levis aliuliza maswali mfurulizo
" Siwezi kujibu maswali yako kwa nafasi yangu ningependekeza maswali yako ukamuulize Mr Elian "
" Mr Charles umeshaanza kuniudhi Sasa kwanini usiniambie tu au unamuogopa Dad ".
" Sio kama namuogopa ila ni Sheria ya kazi yangu mambo mengine ya kifamilia hayanihusu kabisa "
" Okay kama ndo hivyo nitaenda kumuuliza Dad mwenyewe "
Levis alienda dinning room alimkuta Elian anakula
" Dad Kuna kitu nataka kukuuliza naomba unijibu vizuri mana nahisi kuna mchezo unaucheza tena"
" Mmmh nakusikiliza niulize"
Elian aliacha kula akamuangalia Levis
"Nimesikia Kuna mgeni ni nani ?"
Aliuliza Levis
" Ni rafiki yangu "
" Dad huo ni Uongo najua una rafiki mmoja tu ambae ni uncle riffat na uncle riffat hawezi kuhamia hapa "
Kabla Elian hajajibu chochote Winnie alianza kushuka ngazi Levis alimuona
" Ewaaaa nilijua tu ndomana Mr Charles hakuwa na majibu ya maswali yangu usiniambie dad bado unabadilisha wanawake mpaka leo"
Levis alikasirika
" Hujambo "
Winnie alimsalimia Levis huku anatabasamu Levis hakujibu alimkata jicho Kali
" Wewe ni nani ? Na kwanini unatumia chumba changu Cha kuchezea game?" Aliuliza levis
" Mimi jina langu ni Winnie na kuhusu kwanini nipo hapa muulize baba yako " Winnie alichukua maji akarudi chumbani kwake
" Dad huyu mwanamke wa safari hii ni kichaaa subiri namfuata huko huko "
Levis alisimama kwa hasira
" Utamuacha amfuate miss Winnie vipi kama akimfanuia fujo ?"
Mr Charles alimuuliza Mr Elian
" Kwa muda alikuwepo miss Pinky kwenye hii nyumba unahisi anaweza kumuacha Levis amuonee "
Elian aliongea huku anatabasamu Mr Charles alibaki kushangaa imekuwaje Mr Elian kwa siku moja tu ya ujio wa Winnie amekuwa akitabasamu kila mara
Mlango wa chumba Cha Winnie ulifunguliwa bila hodi aliingia Levis kwa mikwara akiwa amekunja sura
" Mbona unaingia bila kubisha hodi ndivyo ulivyofunzwa hivyo kama ungenikuta navaa "
sauti ya Winnie alifoka ilifika mpaka sitting room Elian na Mr Charles waliangaliana
"Hilo sijali Kwanini upo hapa kwenye nyumba ya baba yangu na una issues gani nae ? Na kwanini katika vyumba vyote uchague chumba changu Cha kuchezea game ?"
Levis hakutaka kuwa nyuma anamvimbishia kifua Winnie na kumuuliza maswali mfululizo
" Nimeshakwambia hakuna swali naweza kukujibu kwanini hayo maswali yako usimuulize baba yako" Ugomvi ukiendelea lakini baada ya kama dakika tano walikuwa kimya sana
" Kitakuwa kinaendelea nini Mr Elian ?"
Mr Charles alimuuliza Elian
" Hata mimi sijui twende tukaangalie "
Elian aliongozana na Mr Charles mpaka chumbani kwa Winnie walikuta mlango uko wazi walichungulia walimuona Winnie na Levis wakicheza game Elian alitabasamu
" Sikuwahi kutegemea kuwa Levis anaweza kumzoea mtu haraka sana kiasi hiki "
alisema Mr Charles
" Nitaenda kujiunga nao "
Elian aliingia ndani Mr Charles alimsindikiza Elian kwa macho ya mshangao
" Tangia lini Mr Elian ameanza kutumia muda wake muhimu kwa vitu vya kitoto kama hivi ?" Mr Charles aliwaangalia kwa mara ya mwisho akaondoka
" Dad afadhali umefika uone jinsi tunavyocheza sikuwahi kujua kuwa Kuna mwanamke anaweza kucheza game vizuri hivi Yani nimefurahi sana na kwanzia leo nitamuacha aunt Winnie atumie kitu changu chochote anachokitaka "
aliongea Levis huku anatabasamu
" Usije ukasahau ahadi yako "
alisema Winnie Siku hiyo walicheza kila aina ya game kila siku baada ya Winnie kutoka kazini walicheza game hatimae week ilipita na Levis alitakiwa kwenda shule
" Dad nataka kuongea na wewe kitu muhimu kabla sijaondoka " alisema Levis
" Sawa niambie nakusikiliza "
" Dad kwanini usimuoe Aunt Winnie ni mzuri , ana roho nzuri na anajua kucheza game " aliongea Levis huku anatabasamu
" Hizo ulizozitaja hazimfanyi mwanamke kuwa mke na mama mzuri ukikua utaelewa " Elian alitangulia kwenye gari
" Aunt Winnie,kwanini hauji kuniaga "
Levis alimuita Winnie
" Sio kama sitaki Levis lakini naogopa ninaweza kulia kukuona unaondoka swaiba wangu "
Winnie aliongea huku anafuta machozi
" Aunt Winnie usilie bhana nikipata rikizo nitarudi kukusalimia " Winnie alimkumbatia Levis waliagana akaondoka
Siku hiyo hiyo Winnie na Elian wakiwa mezani wanakula chakula Cha mchana ilisikika sauti ya mwanaume akiongea na mr Charles nje
" Miss Pinky.."
aliita Elian
" Unataka nini?"
Winnie hakupenda Lile jina
" Simama sogea karibu yangu "
Elian alitoa amri Winnie alifanya kama alivyoambiwa
Alistukia amevutwa na kupakaywa na Elian
" Unafanya upuuzi gani ?"
Winnie aliuliza kwa kupaniki mapigo yake ya moyo yalianza kwenda mbio
Elian hakumsikiliza alipitisha mkono wake kwenye kiuno Cha Winnie akamsogeza karibu yake zaidi
" Haya ni maigizo ukifanya vizuri nitakulipa vizuri na nitafanya kila unachokitaka "
Elian alitabasamu akamkonyeza Winnie
Aliingia kaka mmoja kwa kumuangalia huwezi kuuliza kama ni ndugu yake na Elian walikuwa wamefanana sana
" Ezekiel nini kimekuleta nyumbani kwangu?" Elian alimuuliza mdogo wake, Ezekiel alimuangalia Winnie akatabasamu
" Huyu ndo mwanamke wako mpya ?"
" Naona huwezi kuacha kufuatilia maisha yangu hata mara moja ,kwanini usifanye yako "
aliongea Elian kwa ukali Winnie alitamani kuendelea kula lakini alishindwa
" Utaendelea kubadilisha wanawake hadi lini kwanini usimuoe loveness ni msomi na anatoka kwenye familia inayojiweza na ya heshima" .
" Ezekiel nilijua tu utakuja kuongea hizo pumba zako ,kwanini wewe usimuoe loveness kama unaona ni rahisi "
" Tatizo mimi sipo kwenye mambo yenu ya makampuni ila ningeweza kumuoa kama ningepewa nafasi "
" Ni wewe lakini sio mimi , umemuona huyu ndiyo tulizo la moyo wangu siwezi kuoa mwanamke mwingine ila yeye huo ujumbe ufikishe vizuri sana kwa Mr Marcel "
" Ila Elian unazingua kaka "
alilalamika Ezekiel
" Unaweza kuondoka Sasa mke wangu bado anataka kuendelea kula " Elian alianza kumlisha Winnie
" Okay nitaondoka lakini ukumbuke niliyokwambia "
Ezekiel aliondoka kwa hasira
" Nyanyuka "
Elian aliongea kwa amri
" Sawa kwani nilisema nitakaa milele kwenye miguu yako "
Winnie alienda kukaa kwenye kiti chake wakaendelea kula
Kesho yake baada ya kutoka kazini Elian alimkuta Winnie yupo nje
" Elian nataka kuongea na wewe "
Winnie alimfuata Elian
" Nimechoka sana Sina huo muda wa kuongea na wewe "
Elian alitaka kuingia ndani Winnie alimshika mkono
" Huwezi kuondoka namna hiyo ,nakukumbusha unatakiwa kutimiza ahadi yako "
alisema Winnie
" Ahadi ipi tena na tumeshacheza game pamoja hii inamaanisha hakuna ahadi nyingine yoyote "
aliongea Elian huku amekunja sura
" Oh kweli wewe na u CEO wako wote huo kumbe kichwa Nazi " aliongea Winnie huku anacheka
" Winnie tuheshimiane unaweza kuniita mimi majina ya ajabu "
alifoka Elian
" Ndiyo wewe kichwa Nazi ulikubali wewe mwenyewe ukiwa na akili zako timamu na bila kulazimishwa Sasa iweje saizi unikane bila hata aibu "
aliongea Winnie bila uoga hata kidogo Elian alimuangalia Winnie kwa hasira
" Wewe ...."
Elian alishindwa kuendelea
" Nini ?"
Winnie aliongea huku ameshika kiuno
" Okay kama nilikuahidi basi nitatimiza ahadi yangu lakini kwa muda wangu sitaki kukumbushwa kila wakati "
Elian alimpita Winnie akaingia ndani
" Mambo si ndo hayo Sasa
Full 1000
Whatsp 0784468229.